Search results

  1. Ringo Edmund

    Account ya Dogo Jembe imeingiliwa, Je sisi wengine tutapona?

    Kuna tetesi hata mikataba mpya ya uwaziri hayupo.
  2. Ringo Edmund

    Shiriki shindano la #ChinaMade kujishindia simu ya Huawei au Xiaomi Arm Band

    #ChinaMade Naanzia juu kushuka chini: 1. Nimeweka black dye kwenye nywele (made in China) 2. Nimepiga glass boss (made in China) 3. Nimepiga cheni English silver(made in China) 4. Nimepiga pollo t shirt (made in China) 5. Nimewasha coast (made in China) 6. Nimelamba pensi (made in China)...
  3. Ringo Edmund

    Jichagulie fursa ya biashara na miradi hapa (Fursa 150)

    Kuanzisha kampuni ya kukusanya mabeki Tatu mikoa ya singida na iringa na ku suply dar.
  4. Ringo Edmund

    Home Shopping Centre ndio waliolipia Mabango ya Kampeni ya Magufuli Nchi nzima

    Mh mi simwamini magu mpaka nione ametumbua majipu yaliyo kinenani.
  5. Ringo Edmund

    Rais Magufuli acha kumdhalilisha Kikwete

    Mlishangilia wakati anaiga m4c. Mkafikiri nini? Linyweni.
  6. Ringo Edmund

    Hivi kwanini Wachagga wanapenda kuuza duka?

    Hiyo biashara ya kuuza maduka sijawahi kuisikia, duka moja sh ngapi wanauza?
  7. Ringo Edmund

    Mahakama Kuu yampa ushindi Baba wa Mawazo, Mawazo kuagwa na kuzikwa kwa heshima zote

    Yoote mliyoandika hapo ni porojo kubwa ni KUSHINDWA KWA SHETANI.
  8. Ringo Edmund

    Hatari: Zanzibar ni zaidi ya inavyonenwa!

    Mtoa post siku ukigundua uwezo wako utatoa kitabu na si hivi vimaandishi ambavyo nimesoma kwa dk 10. Ila nimepata kitu kwa wa changamoto (shetani hapendi unafiki kwake nyeusi ni nyeusi na nyeupe ni nyeupe)
  9. Ringo Edmund

    UKAWA sasa mpo tayari kufuta posho za wabunge kupunguza matumizi ya serikali?

    Watu wameua mama zao leo unawashauri nini? Pesa? Unaota mchana.
  10. Ringo Edmund

    Tamko la jukwaa huru la wazalendo kuhusu posho za Wabunge na baadhi ya Taasisi

    Mtela aligombea akakosa sasa nashindwa kujua ni nia njema au hasira za kupigwa chini. Naomba hili lisimamiwe na watu huru.
  11. Ringo Edmund

    Hivi unajua bia moja kwa siku inaweza kubadili maisha yako?

    Baada ya miaka 30 yaani 2045 baiskeli Phoenix itakuwa inauzwa 30 milion je Nani atakuongeza hiyo million 2 japo upate hata hiyo baiskeli?
  12. Ringo Edmund

    Ukweli Kuhusu Dini (Hasa Uislam na Ukristo)

    I need to think and learn more about maasai culture.
  13. Ringo Edmund

    Zitto mbabe wa Bungeni, hakususia hotuba ya Rais

    Mbona sijaiona mahali popote kiongozi wa ukawa akimzungumzia zitto kwenye hili?
  14. Ringo Edmund

    John, stuka au utaachwa solemba pale Ubungo mataa!

    Yohane hatoboi wallah.
  15. Ringo Edmund

    Tanzia: Aliyekuwa mbunge wa Dodoma mjini Padre Severino Supa amefariki dunia

    Kijiji ni ng'ong'ona, mbunge ni sara mwenge, Donald kusenha na kijiji kingine ni chizi tukawasamehe. Tulia uandike vizuri haraka ya nini?
  16. Ringo Edmund

    Polisi Maswa kuweni makini kuna mtu atapoteza kazi,tena mzito!

    Waache wafakamie wazitapike hadharani.
  17. Ringo Edmund

    Dereva wa muda (temporary driver)

    Pigeni hiyo simu hapo kama mko serious.
  18. Ringo Edmund

    Zanzibar na hatima ya Muungano ni hatari...

    Uchaguzi uluoharibika ni wa zanzibar unaosimamiwa za zec yaani baraza la wawakilishi, sheha na Rais wa zanzibar. Ule wa wabunge na magufuli ulikuwa Safi. Chezea nyinyiem wewe?
  19. Ringo Edmund

    Game ya euro truck simulator

    Na mimi nasubiria majibu hapa.
  20. Ringo Edmund

    Dereva wa muda (temporary driver)

    Asante, tunataka watu wanaoweka mambo wazi kama wewe ili mtu ajipime sio wengine wanakuja na mbwembwe za kiingereza huku.
Back
Top Bottom