Search results

  1. mpiganiaukweli

    Viongozi wa dini wakijibu, Lowassa atageuka "lulu" kwa watanzania

    Mwaka huu tutasikia mengi. Kwa hili Dr slaa kuvuta mpunga haswaa
  2. mpiganiaukweli

    Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Naomba Dr slaa unijibu gharama za ukumbi na matangazo ya tv na Redio kakulipia nani?kwanini tusiamini anayemliipa Mpiga zumari ndiye anayechagua wimbo?
  3. mpiganiaukweli

    Urais 2015: Jina la Augustino Ramadhan lajitokeza

    Jaji Augustino Ramadhanii anachukua fomu ya urais Kesho kikmkakati kama mzanzibari, mkristo ili Kuweka hali shwari ndani ya Chama Mhe Lowassa atapewa umakamu wa Rais. Hivi sasa Rais ni muislam na Makamu Rais muislam imeonekana hiyo ndiyo njia ya kuinusuru Ccm
  4. mpiganiaukweli

    Edward Lowassa-Tuhuma za ufisadi dhidi yake na unafiki wetu watanzania

    Edward Lowasa hana kashfa yeyote zote ni mambo ya kutunga tu.
  5. mpiganiaukweli

    Salaam kwa Mh. Edward Lowassa na wenzake

    Team membe at work. Njoeni na hoja si propaganda aeleze usafi wake hapa membe
  6. mpiganiaukweli

    Baraza la Washauri la Wazee CCM: Majina yote ya wagombea yaingie NEC

    Safi pawepo uwanja sawa na Membe atazamaaaa
  7. mpiganiaukweli

    Waziri Amos Makalla anaishi katika nyumba isiyokuwa na milango wala madirisha

    Mleta uzi huu ni uongo wa mchana. Wewe ni miongoni mwa vishoka makalla alivyokamata kwa wizi wa maji. Jamaa mpambanaji sasa umeleta umbeya wako humu kuchafua watu. Halafu unajichanganya yeye naibu Waziri anakaa nyumba za serikali ataishije tena huko mabwepande?uoongooooo mkubwa.makalla hawezi...
  8. mpiganiaukweli

    Amos Makala akipiga kazi na bodaboda

    Amos makalla jembeee jamaa anakubalika sana. Mimi natoka madizini huyu jamaa mtu wa watu sana kachangia na kufika ktika vijiji vyote 130 rekodi hii hatujawahi kuiona. Miaka mitano huwezi kufanya kila kitu ila bora anavyowafikia wananchi ht kwa bodaboda. Mafunzo ya bodaboda kagharamia yeye na hao...
  9. mpiganiaukweli

    Nani anafaa kuwa rais wa Tanzania 2015?

    Kwa hali ilivyo ndani ya ccm urais sasa ni wazi kwa hawa wafuatao mizengo pinda ambaye amerndelea kujiiimarisha zaid kupitia usukwaji wa baraza jipya la mawaziri akidhibiti nguvu za edward lowasa ambaye kila kona anatajwa kama Rais ajaye na dr kama mbadala wa makundi yote yanayohasimiana ndani...
  10. mpiganiaukweli

    Mali za Kapteni Komba kupigwa mnada na CRDB

    Pole kaka komba
  11. mpiganiaukweli

    Ole Sendeka adaiwa na mfanyakazi wake Sh. 27,600,000

    Kwanini hakusema miaka yote anasema leo mwaka wa uchaguzi kama siyo fitna ni nini? Hapa jf ni mahakama ya kazi?
  12. mpiganiaukweli

    Mnyika: Tutaandamana kweka Ikulu kudai maji

    Unahangaika na maghembe kwa lipi mawaziri hutaki wafanye ziara watupe majibu unachochea fujo hapa goba ulikuwa unamlinda bibi yako
  13. mpiganiaukweli

    Mnyika: Tutaandamana kweka Ikulu kudai maji

    Mnyika hivi husomi nyakati huna nafasi ubungo. Ahadi zako zinakukaanga, hujafanya lolote hizo unazofanya ni sarakasi.mawaziri wakifanya ziara watupe majibu.kimara goba ,kimbamba hatutalki hata kukuona.huyu bibi yako uliyempa mradi hapa goba amekula hela za mradi. Wewe aga kabisa
  14. mpiganiaukweli

    Nchemba, Wassira, Pinda 3 bora CCM katika kinyang'anyiro urais

    Jamani nyie vibaraka wa wasaka acheni uchuro wa kuleta uzi wa kishabiki hao mnaowataja anayeingia katika 3 bora ni pinda, mzanzibari mmoja na mwanamke mmoja. Haingii akilini kuendelea kukomaaa na ushabiki wa mara sokoine wa pili? Hivi sokoine ni lini alikodi helkopta,? Ni lini sokoine aliwahi...
  15. mpiganiaukweli

    2015 unawamaliza hawa

    Naongezea mnyika hana lolote analofanya ubungo siku zake zinahesabika,nasari naye anaagaaga kuhusu lema mbona wazi vijana wa arusha wamechoka kunyweshwa viroba
  16. mpiganiaukweli

    CHADEMA na UKAWA fanyieni Kazi taarifa hii kuna hila ndani yake!

    Ni kweli wana jf wenzangu na ukawa tahadhari ni muhimu kuchukuliwa Dr slaa ni tishio kwa ccm na wanandoa hapa nchini Kwanza ni tishio kwa kukwapua wake za watu bila woga anazunguka naye nchi nzima mchumba lazima alindwe atacharangwa mapanga afunge zipu Ni hatari kwa maamuzi mfano alimteua demu...
  17. mpiganiaukweli

    Vita ya urais 2015,

    Kikwete anajua nani atakuwa Rais wa awamu ya nne punguzeni kuchafuana mitandaoni, epukeni matumizi ya fedha kusaka urais, acheni tamaa na madaraka,epukeni kujivalisha sifa msizokuwa nazo. Nawaaasa sana mnaotamani ofisi namba moja pale magogoni muache na muepuke kuchafuana maana kufanya hivyo...
  18. mpiganiaukweli

    Kila Waziri busy na Urais, nani anamsaidia Rais Kikwete?

    Kila kukicha wanaibuka watangaza nia ya urais.Ndani ya baraza la mawaziri wafuatao wametangaza nia na wengine kwa matendo yao wameashiria. Katika baraza la mawaziri wafuatao ni wagombea; Wassira, Mwigulu, January ,Nyalandu wapo wazee wa kimyakimya. Sasa kwa hali hii kila waziri hapo yupo busy...
Back
Top Bottom