Search results

  1. Felsic

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Mashabiki wa Man Utd inabidi tutambue ya kuwa haiwezekani kucheza zaidi ya players 11 uwanjani. Ligi tumechacgeza match tano tuu tunalalmika VdB hachezi? Nilichokiona watu wanalalamika kuanza kwa James lakini wanatumia kivuli cha VdB kukosa minutes. Ingekua kaanza let say Rashy kushoto then...
  2. Felsic

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Axel Tianzebe hajacheza tangu December 2019, ila alianza match dhidi ya PSG na kuwa face Neymar, Mbappe na Di Maria. He did His job great. Toa sababu nyingine.
  3. Felsic

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Unaweza kuwa sahihi lakini vigezo ulivyoweka havitoshi ku justify point yako.
  4. Felsic

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Hiyo namba ya juu ndipo anapocheza Bruno. So ni either Bruno au Pogba. Sent from my VS835 using JamiiForums mobile app
  5. Felsic

    Mwalimu Mwakasege yupo Mbeya kwa Huduma ya kiroho (MANA)

    "Tafsiri ya tofauti ya Roho Mtakatifu" Ninachojua Roho humwelekeza yeyote amuombaye na amtakaye, wewe kwa tafsiri yako ambayo umeongozwa na Roho ndiyo inakufanya ukemee wazinzi, walevi, wala rushwa kwenda kwenye neno la Mungu? Hukumbuki Yesu aliposema mwenye afya hamuhitaji tabubu bali aliye...
  6. Felsic

    Mwalimu Mwakasege yupo Mbeya kwa Huduma ya kiroho (MANA)

    Spiritually impractical? Umetumia kigezo gani au kifungu gani cha biblia kufikia hii conclusion? Yaani unashangaa mtu anayehubiri neno la Mungu kwa walevi, wazinzi et al kwa kisingizio ye ni mwalimu afundishe watu waliolishika neno zaidi? Hata Mafarisayo na Waalimu wa sheria walikua na...
  7. Felsic

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Ulivosema ninyi mna afadhali ndio sijelewa labda, ninyi kama nani?? Sent from my VS835 using JamiiForums mobile app
  8. Felsic

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Nashangaa bado kuna watu wanamuita hiyo jina Hahah. Mtu anayembeza Fernandes huwa naangalia na kumuona kuwa chuki ime cloud his judgement. Sent from my VS835 using JamiiForums mobile app
  9. Felsic

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Hiyo nafuu ya Chelsea kwa Man Utd ni ipi? Mmecheza mechi 5 mna points 8, Utd kacheza mechi 4 ana points 6. If you know the math and probability, then huwezi kusema Chelsea anaizidi Utd. Hii ni bila kuangalia ya last season. Sent from my VS835 using JamiiForums mobile app
  10. Felsic

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Pogba hakubadili game ya jana, at least kwa nilivyoona. Watu waliopiga mwingi sana jana no Mata na alipoingia VDB mchezo ulikua more direct. VDB hakai na mpira, akipokea anatoa na hata goli la Bruno ali play part kubwa tuu. Jana timu ilicheza kwa morali, sema magoli yalikuja late. Kiungo cha...
  11. Felsic

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Sasa mtu kaja January unalinganisha na watu waliocheza tangu August msimu unaanza? Man, you are better than that I believe. Let us agree to disagree.
  12. Felsic

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Sijawahi kuitwa hilo jina, na wala nikiitwa hainisumbui kichwa as long as hainipunguzii chochote. Back to the topic, umeulizwa tangu aje Bruno EPL zaidi ya KDB nani mwingine kamzidi assist? Ukajifanya hujaelewa ukaji confine kwa msimu huu tuu, sasa nani anatumia takwimu kujifurahisha hapo...
  13. Felsic

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Acha kukaza kichwa Sheikh, mbona jamaa anakuelekeza vizuri tuu.
  14. Felsic

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Duncan Castle is a filthy lier, he never say anything good about #MUFC.
  15. Felsic

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Yaani window hii tulikua tunahitaji 2 CBs? Something fishy.
  16. Felsic

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Kuna mawili kwenye hiyo scenario. Either ni kweli first targets zake hazikupatikana kwa ubovu as bodi au inaweza kuwa ni story imekuwa fabricated ili mambo yakienda kombo kwa Ole kidole anyooshewe Ed. Yote ni possible. Still nasimama na bodi na whoever ambaye hakubaliani na manunuzi ya Sancho...
  17. Felsic

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    [emoji113][emoji111][emoji115]
  18. Felsic

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Middle finger sign sio issue, troll kistaarabu.
  19. Felsic

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Hapo Sawa. Hizi sajili zinaonesha ni jinsi gani hatuna mipango ya nini tunataka and when. Hatuwezi kusubiri hadi deadline day kusajili watoto wa academy. Ila siwezi kutoa hukumu ya uwezo wa hao madogo, let us wait and see.
  20. Felsic

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Shabiki wa Chelsea anashauri kuhusu kufukuza makocha, yaani Chelsea.!
Back
Top Bottom