Search results

  1. Rudbway

    FT | Power Dynamos 2-2 Simba SC | Levy Mwanawasa Stadium | September 16, 2023

    Unyama sana [emoji1374] 2/0 [emoji123]
  2. Rudbway

    KWELI Ndege ya Rais yaonekana Dubai, leo Julai 28, 2023

    Labda post za taarifa huko twirani na IG’ni zimekataa ‘kwenda’ kwamba bando limekata. ‘Wananchi’ tukiwaambia waboreshe huduma za net na gharama nafuu wanakaza shingo.
  3. Rudbway

    Mpaka leo hakuna theist aliyeweza kuthibitisha Mungu yupo, cha ajabu bado wanatuhubiria Mungu wao

    Tuanzie hapo kwanza, hiyo bigbang imetoka wapi? chanzo chake nini?
  4. Rudbway

    Watumiaji wa king'amuzi cha Canal Plus, tupeane updates za matangazo ya mpira

    Hakuna wakala Tanga? nahitaji canal +
  5. Rudbway

    Miguel Angel Gamondi atangazwa kuwa Kocha mpya wa Yanga

    Makocha vilaza wengi huko duniani wanakimbilia huku afrika, wazawa wanabezwa
  6. Rudbway

    Bei ya mpunga Kwa mkoa wako ipoje?

    Bei gunia sh. ngapi mkuu
  7. Rudbway

    Hizi ndio sababu zinazofanya Makocha na Wachezaji wengi kuondoka Yanga

    Ila mwanangu balibabambonahi umenichekesha kinoma daaah
  8. Rudbway

    Mimi ni nani? Siri ya 2085

    Ushubwada [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  9. Rudbway

    Hivi hii issue imekaaje viongozi?

    Unanikumbusha wife wangu siku moja eti amevimba baada ya kuona kwny simu nimemsave mamake (mama mkwe wangu) jina lake halisi, aka-mind eti nikaona ufala huu duh niliishia tu kutikisa kichwa [emoji23][emoji23]
  10. Rudbway

    Uzi wa vyakula tu

    Ugali wa muhogo na mlenda Picha sina
  11. Rudbway

    Kilichotokea usiku huu kimenisikitisha sana, life is not fair

    Shusha episode tajiri [emoji23][emoji23][emoji23]
  12. Rudbway

    The 12th Planet by Zecharia Sitchin

    Alikuwa hajaweka huyo Nawewe ni wale wale
  13. Rudbway

    The 12th Planet by Zecharia Sitchin

    Tusummarizie basi tuokoe muda
  14. Rudbway

    The 12th Planet by Zecharia Sitchin

    Kuna soft copy? Si ungeweka kabisa hapa mkuu
  15. Rudbway

    DR Congo: Watoto wawili waokolewa ziwani baada ya kutokea mafuriko

    Mabadiliko ya tabia ya nchi. Ni hatari sana, tahadhali zaidi inabidi zichukuliwe hasa kuepuka kujenga mabondeni na kwny njia za maji.
Back
Top Bottom