Mojawapo ya changamoto kwenye haya mambo ni ulinzi Wa mali. Miezi kadhaa iliyopita kuna mchezaji alikuwa na kesi, aliyoshitakiwa na mtu ambaye inasemekana aliwahi kuwa mpenzi/mke wake. Lengo la huyo mwanamke lilikuwa kupata mali za yule mchezaji. Walakini baada ya kesi, ilikuwa kugundulika kuwa...
Kuwajenga watoto tangu wakiwa wadogo... nimekuelewa mkuu.
Nimeona maelezo ya mzee Wa NJEE YA BOX (Mh. Kigwangala) mitandaoni, nimeona maelezo yake jinsi alivyoibiwa, na watu aliowaamini. Pia ulisoma michango (comments) za watu wengine nao wanalalamika kuibiwa na ndugu nk. Suluhisho kwa watu...
Automating...!!!
Bila shaka ni kitu muhimu sana kwenye biashara, vilio vya kuibiwa vimekuwa vingi sana,watu wanaibiwa na ndugu Wa damu, njia nzuri zaidi ni ipi mkuu? Mfano mtu una duka la kawaida tu, au mtu anatuma pesa anunuliwe mali mfano mazao, Lakini anatapeliwa, katika vitu kama hivyo; nini...
[emoji23][emoji23][emoji23]
Hasa ninyi wandani (introverts)
Tatizo kuna Raha sana kuwa mwenyewe mwenyewe, hakuna usumbufu, ni Raha tu. Naweza kuamua kutafuta sehemu iliyotulia mfano kwenye miti nikatulia zangu, au kukaa ndani siku nzima...yaani kuna Raha sana...hayo mengine sasa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.