Search results

  1. Tonge

    KICHEFU CHEFU:SAKATA LA RADA:Kina Ndugai wataka kina Chenge washitakiwe

    TIMU ya wabunge walioenda nchini Uingereza kufuatilia malipo ya rada kwa Serikali ya Tanzania imekabidhi ripoti yake kwa Spika wa Bunge inayopendekeza mambo mawili, ikiwamo kushtakiwa kwa wahusika wa sakata hilo hapa nchini.Timu hiyo ya wabunge wanne ikiongozwa na Naibu Spika, Job Ndugai...
  2. Tonge

    Che che cheeee....SUNGURA KAMKABA TEMBO.

    Wandugu wapenzi, kwanza niwape pole watanzania wenzangu wa gongo la mboto, Mungu awape moyo wa uvumilivu kwa yaliyotokea.Pili nitoe HONGERA zangu kwa ARSENAL kuwafunga Barcelona 2-1, najua wapenzi wa Man U na wale wasioitakia Arsenal mema wameumia sana, ila kubali msikubali arsenal ya sasa ni noma.
  3. Tonge

    Pedesheee A LIYUMBA out

    Jana Mh DR JK alitangaza kuwapa msamaha baadhi ya wafungwa wapatao 3000 kwa vigezo mbalimbali, lakini kina nikichunguza sioni ni wapi Pedeshee Liyumba amebanwa hasa ukifauatilia hukumu yake si ya kifisadi kwa mujibu wa mahakama na muda wa kifungo ni miaka miwili tu na sasa ameshatumikia mwaka...
  4. Tonge

    Tanzania hii:kila waziri shangingi gx v8 jipyaaa.

    WAKATI mawaziri na manaibu wawaziri wakikabidhiwa magari mapya, baada ya kuapishwa Jumamosi iliyopita, serikali imeibuka na kusema sio mapya ni ya zamani. Kauli hiyo inaibua utata kutokana na kuwa baada ya kuapishwa viwanja vya Ikulu na Rais Jakaya Kikwete, kila waziri alikabidhiwa dereva...
  5. Tonge

    J e huu ni uungwana MASTERS miaka minne?

    Wajameni wanaJF, kweli hii inasikitisha, rafiki yangu amemaliza course work yake kama kawaida na kusoft bind thesis yake mapemaaaa miaka miwili iliyopita, tatizo limekuja pale kazi haikupelekwe kwa wakati kwa external supervisor au hata haikupelekwa kabisaa matokeo yake kuchelewa kurudi kwake...
  6. Tonge

    Leticia Musore wa CHADEMA ahamia NCCR

    Muda si mwingi redio Maria imeripoti kuwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake CHADEMA Taifa amekihama chama hicho na kuhamia NCCR Mageuzi kisa anasema CDM kinaongozwa kindugu na kibaguzi kwani yeye alikuwa kati ya wabunge ishirini wa viti maalumu lakini jina lake likakatwa. Mwenyekiti...
  7. Tonge

    Hatimae SUA wapata DVC(AF) mwingine

    Ni siku, wiki na miezi ilipita kwa Prof Pereka kuwa DVC (AF) na leo hatimaye amemaliza muda wake na Profesa Matovelo ameteuliwa na search team kuwa DVC(AF) mpya wa SUA. Tunampongeza Profesa Pereka kwa uongozi wake imetosha sana na tunamkaribisha Profesa Mtovelo kutuongoza, yale mabaya ya...
  8. Tonge

    Mzomeeeeni, huyoooooooooooo.

  9. Tonge

    Elections 2010 BUNGENI: Upinzani upo ndani ya kambi ya upinzani?

    Kwa mtazamo wangu nimeyapokea matokeo ya uspika (makinda kura 265 na marando kura 53) kama kuna upizani ndani ya kambi ya upinzani ambao ulianza wakati wanachagua kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni. Nimesikia CUF nao watachagua kiongozi wao licha ya chadema kumchagua mbowe kutokana na...
  10. Tonge

    Dvc (af) sua: Hili la geti linatuumiza.

    Kwa watanzania wengi madaraka yamekuwa ulevi, mtu akipata madaraka basi kazi yake ni kujiona yuko juuuuuuuu juuuuuuuuu kabisaaa kuliko wengine matokeo yake ni kuwanyanyasa wengine, mfano ni pale mkuu (ADMIN and FINANCE) kuamua kufunga geti la kuingia main campus kwa muda mrefu kisha...
  11. Tonge

    Janja ya CHENGE, yamng'oa Sitta na mafisadi washangilia ushindi

    Duuuuuuuuuh kweli dunia tambara bovu, Kwa maoni yangu Sitta si mtu wa kunyimwa uspika katika bunge hili ila kwa kitendo cha Chenge kuandaa press conference ya kumponda sitta tena kwa taarifa iliyoandikwa kwa mkono ni dhahiri kulikuwa kuna kundi lilijipanga ili kuonyesha kuwa Chenge na Sitta...
  12. Tonge

    Elections 2010 Mollel wa CHADEMA amtoa kamasi Lowassa

    KUTOKANA NA MATOKEO YALIYOTANGAZWA NA MSIMAMIZI WA UCHAGUZI JIMBO LA MONDULI FISADI LOWASA AMEPATA KURA 32,362 NA MGOMBEA KWA TIKETI YA CHADEMA AMEPATA KURA BWANA MOLLEL WA CHADEMA AMEPATA KURA 23,584, HII INAMAANISHA KUWA UPINZANI ULIKUWA MKUBWA SANA HAPO MONDULI NA JIMBO HILI NI LA CHADEMA...
  13. Tonge

    Elections 2010 Kura yangu si siri ni kwa dr slaa tu, je wewe?

    WANAJF, MI SINA LA KUFICHA NAHITAJI MABADILIKO YA KWELI KWA HIO KURA YANGU SI SIRI TENA ILA NI KWA DR SLAA, JE NYNYI? DR SLAA NDIO MPANGO MZIMA.:israel:
  14. Tonge

    Mishahara mipya vyuo vikuu vya umma ni longo longo

    NI MIEZI MINNE SASA WANAZUONI WA VYUO VYA UMMA HAWAJAPATA MISHAHARA MIPYA,NAWAZA LABDA WAO SI MUHIMU KAMA WATUMISHI WENGINE WALIOKWISHA KUPATA. JAMA WANAFUNZI HAWATAPIGA KURA NA WAHADHIRI WAO HAWAJALIPWA MISHAHARA YAO MIPYA, DAAAAH KWELI NCHI NI WANA SIASA SIO WATAALAMU.BASI NGOJA TUMPE PILAU...
  15. Tonge

    Elections 2010 Tangazo: Rais dr slaa ndani ya moro saa 8 mchana wa leo

    Leo ndio leo, moro patawaka moto wakati rais dr slaa atakapo kuja kuhutubia wananchi wake pale kwenye uwanja wa fire uliopo masika kuanzia saa 8 mchana.njooni mumuone rais sio msanii. Aksanteni sana. Peoples powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr.
  16. Tonge

    Msaada: Software za huawei pc suite c3000

    WanaJF naomba msaada kwa mwenye PC software za huawei C 3000 nina shida nayo maana CD yake haisomwi na CD ROM yangu baada ya kupata scratches, tafadhali nisaidieni ili niweze kutumia computer yangu ya nyumbani kwa internet na hii modem yangu.Aksanteni
  17. Tonge

    Atn kuonyesha epl jumamosi hii.

    Kwa wale wapenzi wa sposisis spotisisis..... Ghaaa sport ni kwamba kesho jmosi agape television network wataonyesha live mechi ya english premier league kati ya fulham na spurs, na huu ni mwanzo tu watakuwa wanaendelea kutuonyesha mechi nyingi zaidi.karibuni.
  18. Tonge

    Muhimbili: Kweli mishahara mipya ni kiini macho.

    NASHINDWA KUAMINI NCHI HII TUMEFIKIA KULIPANA MISHAHARA KWA WATUMISHI WA SERIKALI KIMAFUNGU, MISHAHARA MIPYA INASEMEKANA WAMELIPWA BAADHI YA WATUMISHI KAMA WA TAMISEMI NA MAJESHI, NA WALE KAMA WA VYUO VIKUU NA MAHAKAMA HAWAJALIPWA.JANA NILIONA MUHIMBILI(TUGHE) WAKISEMA WATAGOMA AU KUWA NA...
  19. Tonge

    Watumishi wa vyuo vikuu:"serikali inatunyanyasa"

    KWA UCHUNGU MKUBWA TUNAUTOA MALALAMIKO YETU KWA SERIKALI, WAFANYAKAZI WA VYUO VIKUU TULIPATA WARAKA UNAOONYESHA KUWA MSHAHARA UMEPANDA KUANZIA JULY 2010, LAKINI CHA AJABU HATA SALARY SLIP ZILIZOTOKA LEO ZINAONYESHA MSHAHARA WA ZAMANI WAKATI WENZETU WA SERIKALI KUU NA HALMASHAURI WAMESHALIPWA...
  20. Tonge

    Elections 2010 Wafanyakazi tunasema: Hatudanganyikiii

    JUZI SERIKALI IMETANGAZA KUONGEZEKA KWA KIMA CHA CHINI NA WARAKA UANONYESHA KUWA KIMA CHINI KIMETOKA KUTOKA TSH 135,000/= ALICHOTANGAZA JK SIKU ANAVYUNJA BUNGE HADI TSH 260,000/= AMBACHO NDICHO KILICHOPO KWENYE WARAKA MPYA WA WATUMISHI WA SERIKALI. KWA MAONI YANGU. 1.) JK NA SERIKALI...
Back
Top Bottom