Mimi kwa kweli nimechoka kabisa. Wakati wote ninafanya kazi kwa bidii, nalipa kodi zote, lakini kila mwaka kuna matatizo, yaani tangu tupate uhuru. Vitabu vya historia vinaonesha matatizo tu.
Sasa leo Mhe. Makonda anazunguka nchi nzima na kuibua matatizo tu. Au labda haya matatizo ni kidogo...
Kwa mujibu wa sayansi ya siasa, chama cha siasa kina nia moja tu, kukamata dola na kuwahudumia wananchi wote.
Mhe. Rais amesema kuna vyama vina nia tofauti. Je, ni tofauti na hiyo nadhalia ya sayansi ya siasa? Au tofauti na nia ya CCM?
Je, nia ya CCM inarandana na nia iliyopo kwenye sayansi ya...
Katibu Mwenezi, Bwana Makonda anafanya ziara huku na kule na kusikiliza kero za wananchi (sijui ni wana-CCM tu au la) na kuwa-task watendaji wa serikali ya CCM na watu kumshangilia.
Ingawaje sijui kama analofanya ni sehemu ya job description ya kazi aliopewa. Swali, kwa mendo huu sio...
Hii namna ya uenezi inanitia hofu.
Hivi adidu rejea za nafasi hiyo ndio zinamwelekeza kusema haya?
Halafu wakati huo huo anazungumzia uboreshaji wa demokrasia! Upendo baina ya wana-CCM au watanzania?
https://youtu.be/CwkIX4svNRk?si=R_Cl1Q9ttomNVBp-
Unakuta kwenye gari imening'inia rozari au tasbihi kuonesha mwenye gari - labda kama ni mwajiriwa - ana mtukuza Mungu ambaye anamtaka ampende jirani yake.
Jirani ni mtu yeyote aliye karibu yako. Sasa inakuwaje umkatarie mtumiaji mwingine wa barabara kuingia barabara kuu au kutoka barabara kuu...
Kuna sheria za barabarani zinazowaongoza madereva wa vyombo vya moto na baridi, pamoja na watembea kwa miguu. Ili kuokoa uhai, hasa wa watembea kwa miguu, ni vyema madereva kuzingatia kusimama kwenye alama ya pundamilia pale wavuka kwa miguu wanapokuwepo, hata akiwa mmoja. Na hii ni lazima...
Kila mwaka hawa wakurugenzi walio wengi wanakutwa na tuhuma za ubadhilifu wa fedha za umma kwenye halmashauri zao.
Swali: jeuri hii wanaipata wapi? Na aliyewateua mbona kama anawagwaya hivi? Nionavyo mimi ni kuwa wakiondolewa kwenye kusimamia uchaguzi mkuu, ndipo tatizo hili litapungua au...
Ukiangalia 'origial comedy', Joti, Triple Funny, Steve Mweusi, kitimtim, na wengine wanaume kucheza character za wanawake kama Kiboga, sio promotion ya mapenzi ya 'kisasa' ya Ulaya na Marekani ambayo ni kinyume na mila, desturi, na tamaduni zetu?
Kama wizara ya elimu ilivyopiga marufuku vile...
Mara kadhaa nimeona magari yenye utambulisho Jaji wa Mahakama kuu ya Tanzania na ule wa jaji wa Mahakama ya Rufaa ya Tanzania kuzipita gari nyingine wakati alama ya barabarani hairuhusu.
Pia, kuzipita gari nyingine kwenye alama ya kuvuka barabara watembea kwa miguu. Je, kama majaji hawa...
Yaani mpaka mwaka jana Zanzibar ilikuwa na Sultani ambaye alikuwa Uingereza na kustaafu mwaka jana akiwa Omani. Je, akuna mwingine aliyechaguliwa?
'The last Sultan who ruled Zanzibar was Jamshid bin Abdullah, who was deposed in a coup in January 1964. In April that year, Zanzibar united with...
Mara tu baada ya kuvuliwa uanachama, Halima Mdee na wenzake walitinga mahakamani na kufungua kesi na mmoja wa walalamikiwa ni Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).
Chadema wanapinga NEC kushitakiwa kwa sababu ni kinyume na katiba. Ila NEC ndio wangetanzua mzozo wa mamlaka iliyowateua akina Halima...
Jijini Dar es Salaam, mwezi wa nne mwaka huu Padri wa Shirika la White Fathers, Kanisa Katoliki, alitoweka na mwili wake kukutwa kwenye tank la maji akiwa hana uhai.
Padri huyo alikuwa ni Raia wa Zambia. Jijini Mbeya, mwezi huu Padri mwingine wa shirika hilo hilo kutokea Malawi alitoweka na...
Kusema ukweli hili ni jipya sana kwangu kuona Rais anacheza sinema na raia wa nchi nyingine.
Nilitarajia kuona sinema imechezwa na Watanzania tu, na kuongozwa na Watanzania, na si vinginevyo. Hivi shida ni nini hasa, kama shida sio mimi?
Hapa kiongozi huyu wa dini yupo ndani ya nyumba ya ibada anasali. Ila, kwenye dakika ya 17:40-17:43 inaonekana kama ndani hakuna kitu. Hivi huwa awavai ndani?
Tabia mbaya ya wengi wa madereva Bongo, hasa Dar es Salaam ni kutokuruhusu madereva wengine kuingia barabara kuu ingawaje sheria inawapa wao maamuzi hayo. Lakini, kuna wakati mwingine nao utaka kuingia njia kuu.
Yawezekana hawa ndio wanaolazimisha. Na inawezekana wanabania wengine kulipiza...
Mara tu baada ya kushika kiti cha Urais kwa kula kiapo, Mhe. Rais Samia Hassan Suluhu alisema 'kazi iendelee'. Na kufanya msemo huo kuwa mwitikio wa salamu ili msemo huo udumu na kusikiksa mara kwa mara.
Sasa kuna maswali yafuatayo:
Kwa kuzingatia lugha ni kwamba kazi hiyo si zaidi ya moja...
Askofu Gwajima mwenye 'upako wa kutosha' aka 'Jasusi wa mbinguni' anawaambia waamini wake kuwa Stocholm ni mji mkuu wa Denmark! Mimi nijuwavyo, Stocholm ni mji mkuu wa Sweden, halafu Copenhagen ndio mji mkuu wa Denmark.
Huyo mama wa kizungu anaonesha mtazamo wa wazungu walio wengi dhidi ya Afrika, ingawaje hata huyo mtoa mada ni mzungu. Lakini, mtoa mada inaonekana anaongea hivyo baada ya nchi yake, Ugiriki, kupigika kiuchumi. Mama huyo anahofia maisha yao ya mbeleni endapo Afrika itaamka kiakili, kiuchumi, na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.