Soma tena vizuri katiba kwa kuangazia ibara ya 40 kifungu kidogo cha 4.
Uchaguzi mkuu ni 2025 kwa mujibu wa kifungu hicho. Pia, Rais Dr Samia akigombea 2025 na kushinda, hataruhusiwa tena kikatiba kugombea.
Haujakosea kwani kuna msemo 'uzuri upo kwenye jicho la mtu.' Tafadhari, jaribu kuchamua huo uzuri wake, mfano, midomo, miguu, na kadha wa kadha.
Halafu mbona eneo la V pamevimba kidogo, au ndio uzuri wenyewe? Hajabana tumbo kweli na yale mamikanda yao?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.