Search results

  1. M

    Spika Makinda awachefua Wazee wa Kibena na Njombe

    Hao wazee wawili wa Njombe, hawawezi kuwa ndo kipimo cha wana Njombe wote juu ya Mbunge wao. Nimekuwepo Njombe hali halisi ni kwamba kwa ujumla watu wanataka mabadiliko. Lakini mabadiliko thabiti yanahitaji maandalizi yaliyoratibiwa vilivyo. Kazi kubwa bado inahitajika kufanyika hususani...
  2. M

    MATOKEO kutoka vituo mbalimbali, Arumeru Mashariki

    Tuhabarishe, huamini unachokiona na unachokisia hapo Arumeru, vipi mambo yameendaji tupe updates
  3. M

    Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

    Nimeulizwa swali hilo"kuongeza Nguvu za Kiume hasa ni nini kinacho lengwa?" Je, i) Ni kuongeza uwezo wa kucheza round nyingi ktk mechi? ii) Ni kuongeza uwezo wa kuhimili kwa muda mrefu ili kukamilisha raound ktk mechi? iii) Ni kuongeza kiasi (volume) ya vitu vinavyokuwa discharged wakati wa...
  4. M

    Vitengo hivi vipo Wizara gani? Elimu ya Juu, Utamaduni

    Nampongeza JK kwa muundo wa baraza lake japo kuna sura moja (Sophia)kwa maoni yangu ingeachwa ili iendelee kuwajibika ktk maeneo mengine. Nimeshindwa kuelewa Elimu ya Juu ipo chini ya wizara gani? msaada wana JF
Back
Top Bottom