Search results

  1. onechromosome

    TANZIA Sophia Leone afariki dunia

    Kuna bria Marie,na Harley dean acha kabisa.
  2. onechromosome

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Hii shida na mie ninayo Sana,sielewi nini tatizo,nili download google ila sijui imekuwaje
  3. onechromosome

    Kauli ya Julius Malema kuhusu kifo cha Malkia Elizabeth inasikitisha na kuhuzunisha

    Na kukata kichwa Cha marehemu kupeleka ulaya kisa kawasumbua katika mipango yenu ya kumtawala na watu wake,ni ushetani usiosameheka,labda kwa wasio na akili wanaona sawa
  4. onechromosome

    Kauli ya Julius Malema kuhusu kifo cha Malkia Elizabeth inasikitisha na kuhuzunisha

    Kwa hiyo aliyoyasema ni uongo au nikweli ila hakupaswa kusema kumheshimu malikia?
  5. onechromosome

    Kauli ya Julius Malema kuhusu kifo cha Malkia Elizabeth inasikitisha na kuhuzunisha

    Kwa mtazamo wako inawezekana ila sio wote wanamtazamo wa kijinga
  6. onechromosome

    Kauli ya Julius Malema kuhusu kifo cha Malkia Elizabeth inasikitisha na kuhuzunisha

    Wapi katika haya uliyoleta wamesema waafrika waliwatawala wazungu,wa England, Ireland na Scotland?
  7. onechromosome

    Kauli ya Julius Malema kuhusu kifo cha Malkia Elizabeth inasikitisha na kuhuzunisha

    Leta hicho kitabu uliposoma haya unayosema
  8. onechromosome

    Kauli ya Julius Malema kuhusu kifo cha Malkia Elizabeth inasikitisha na kuhuzunisha

    Karopoka Nini mkuu au ulitaka awe mnafiki kusema anasikitika kwa kifo Cha malikia ila moyoni historia inamuuma,juu ya niniawe mnafiki?
  9. onechromosome

    Kauli ya Julius Malema kuhusu kifo cha Malkia Elizabeth inasikitisha na kuhuzunisha

    Roho mbaya wamekufanya Nini au wamewafanyia mabaya Gani hao unawajua?
  10. onechromosome

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Mkuu sijawahi kuchangia huu Uzi ni msomaji tu na pro east,nakuhakikishia wewe ni kama Mimi tu napenda ugomvi sana ila china Leo kazingua sana sijui atafanya Nini nimuelewe mbwa huyu.
  11. onechromosome

    Zitto Kabwe: Wahariri waulizeni CHADEMA wana mikakati gani ya kumtoa Mbowe jela

    Kwanini sasa anawalipa mawakili wa mbowe?
  12. onechromosome

    Peter Kibatala Wakili wa CHADEMA, Mungu akubariki sana

    Uhalifu gani kafanya hapo Sent from my Z81 using JamiiForums mobile app
  13. onechromosome

    Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

    Ila hata iweje kwa hii baridi Mida ya kulala ikikaribia hansochoice itahusika ndio nilale
  14. onechromosome

    Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

    Nianze na nyepesi kwanza
  15. onechromosome

    Wateja wa Halotel tunaiomba kampuni kama haina uwezo wa kutoa huduma, isitishe

    Hawa mbwa nina wiki sasa internet yao inajivuta sana,nikipiga huduma kwa wateja hawapokei zaidi ya mara kumi,nawahama nyoko hawa.
Back
Top Bottom