Search results

  1. chumvichumvi

    Mwenye connection na kampuni au viwanda vinavyozalisha sukari hapa Tanzania nipeni nipeleke miwa yangu

    Kwema wana jamvini. Nimelima miwa ya sukari kampuni niliyokuwa naitegemea wameyumba kibiashara. Naombeni msaada kwa mwenye connection na kampuni au viwanda vinavyozalisha sukari hapa Tanzania nijaribu bahati yangu.
  2. chumvichumvi

    Ni kweli kuna mabadiliko katika taratibu za kujifungua?

    Wa jamvini habarini jaman naomba kuuliza hivi taratibu za mama mjamzito zimebadilika nasikia siku hizi wanatakiwa kwenda na khanga mpya kwa ajili ya mtoto pekee zisipungue pair 5 pempams pamoja na nguo mpya zisipungue pair 3 je no kweli jaman
  3. chumvichumvi

    Hatimae taifa latolewa kimasomaso na taifa stars

    Hatimae kikosi cha taifa stars cha ilaza bafana bafana kwa moja bila hadi raha jaman
  4. chumvichumvi

    Mh. Sheria haiko general kiasi hicho

    Kwema wana jamvini Mh. Kariuki sheria haiko general kiasi hicho na imekusudiwa isiwe hivyo sababu miaya ya makosa na ingekuwa mingi kama ilivyotaka kuwa. Kwa mfano wakuu wa mikoa wilaya na kadhalika je ni viongozi wa kisiasa au kiserekali? Jibu la moja kwa moja lipo kwenye uteuzi wao...
  5. chumvichumvi

    Kwa yeyote mwenye shida ya sheria za kazi

    Wanajamvini wenzangu kwa yeyote. Mwenye shida na masuala ya sheria za kazi awe huru kuniuliza. Karibuni!
  6. chumvichumvi

    Employment ordinance

    Wanajamvini na shida jaman na employment ordinance
  7. chumvichumvi

    Risiti Halali ya TRA, mbona wao hawatumii

    Wanajamvini wenzangu inashangaza sana na kustaajibisha pale mmoja wa mhimili wa serekali hafanyi au kutekeleza kile ambacho raisi wa nchi anasisitiza swala la ulipaji kodi na utolewaji wa risiti Halali za TRA. Traffic kanda ya kaskazini haswa Arusha na Moshi wao wamekuwa wakitoza faini bila...
  8. chumvichumvi

    Shule walizopangiwa darasa la saba 2014

    wana jamvini habarini za saa hizi jaman na mdogo wangu kamaliza la saba cjui kapangiwa shule gani yeyote mwenyewe link ya matokeo/ selection hizo tafadhali naomba nitumie au nielekeze nijue mapema kipi nifanye Asanteni
  9. chumvichumvi

    Nataka kujua why sex before and not after marriage

    Wajamvini mimi nataka kujua kwanini siku hizi swala la sex limekuwa kama ni sehemu ya awali au tendo tangulizi kabla ya ndoa sababu kubwa inaweza ikawa nini? Naombeni michango yenu.
  10. chumvichumvi

    Tatizo letu sisi wa Africa ni NINI

    Hivi izi timu zetu za ki-Africa zina shida gani jaman kwa mfano Nigeria wameshindwaje kuwa funga Iran jaman huku sikupeana maudhi aisee au nyie ndugu zangu mwaonaje
  11. chumvichumvi

    Kikwete Kafanya Vyema Wapi?

    Katika uongozi haswa nafasi ya juu ya ukuu wa nchi muongozaji wa nchi kwa maana ya raisi huwa na mamlaka makubwa sana ila zaidi na zaidi mamlaka hayo ugawanyika katika sehemu kuu mbili mbazo ni HEAD OF STATE na HEAD OF GOVERNMENT. Swali langu kwa wanaojua ndugu yetu raisi wa Muungano wa...
  12. chumvichumvi

    Qualifications Za kujiunga na JWTZ

    Katika pita pita yangu kwenye website mbali mbali za serekali nilikuta vigezo vinavyoitajika kwa mtu kuweza kujiunga na jeshi la wananchi wa tanzania ambazo ni Askari Mtu yeyote ataandikishwa kujiunga na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kwa sifa zifuatazo: - Awe raia wa Tanzania...
  13. chumvichumvi

    unataka rafiki

    hello mambo .... nipo humu kwa ajili ya kuchat na kutafuta marafiki wa ina yeyote ile kwa ajili ya chat na kubadilishana mawazo wale ambao wapo interested just add me plz
  14. chumvichumvi

    Hivi kugoma ni haki ya kikatiba kweli

    nilikuwa nasoma katiba siku chache zilizopita ili hali kutafuta kipengele kinachosema migomo au mgomo ni haki ya mwananchi wa Tanzania sasa cjui ni overlook as hicho kipengele sikukiona instead niliona kimoja kilichosema right to assemble ambapo tafsiri yake kwa haraka haraka naweza sema ni haki...
  15. chumvichumvi

    Law school of Tanzania Mwaka huu ya tia fora

    Law school ya Tanzania ya tia fora mwaka huu baada ya kuchagua wanafunzi wengi zaidi kuliko miaka iliyopita kama ilivyokuwa ada huko miaka ya nyuma. Ni leo jioni majina ya wanafunzia waliochaguliwa na chuo hicho yametolewa katika mfululizo wa batch 3, ya kwanza ikiwa inaingia mwezi april ambayo...
Back
Top Bottom