Search results

  1. E

    Naomba ushauri wenye experince na kisima

    Nunua tank hata lita 1000, efadhi maji humo, so hiyo mashine yako ya kuosha itachukua maji kutoka kwenye tank ,, kuhusu pump itakubidi upige hesabu kutoka chini ya kisima hadi kwenye tank ni mita ngapi, mfano hapo umesema kisima ni mita 35, so tuseme kutoka kwenye kisima hadi kwenye tank ni mita...
  2. E

    Mungu (Jehova), baba yetu aliyembinguni amekataza kuchora tatoo katika Mambo ya Walawi 19:28

    Leviticus 19:28 “Do not cut your bodies for the dead or put tattoo marks on yourselves. I am the Lord.”
  3. E

    Naomba ushauri wenye experince na kisima

    hizo ukubwa wa hp sio suruhisho hizo pump zote zinaonyesha maximum head ni ndogo kuliko urefu wa kisima, mfano hiyo shemge max head naona imendikwa kama 32 hivi, sasa haiwezi kupeleka maji kwa pressure, badilisha pump
  4. E

    Salaah (Silent Ocean) mrejeshee Kijana uliyetaifisha mali zake, nakupa saa 72

    Masaa 43 kamili to Go Posted yesterday 11:52 J4 Now is 15:53 J5
  5. E

    Huduma za visima vya maji imeboreshwa

    Pump zipo ,karibu.
  6. E

    Just eat and run: Msemo wanaotumia vijana kuchezea watoto wa kike kwa tamaa za mwili

    Hit & Run, Kama kurusha kitenesi ukutani, au kudondosha chini, it can hit several times but finally it will run away, kama ujakidaka.
  7. E

    Naomba ushauri kuhusu umwagiliaji kwa kutumia sola

    Bei ya hizi solar pump inategemea na urefu wa kisima; 0.5 hp , maximum mita 44. Bei ni 1.2M 0.75 hp, maximum mita 65. Bei 1.6 M 1 hp, maximum mita 80,bei 1.8 M 1.5 hp, maximum mita 120, bei 2.2 M Pump zinakuja na control box yake na solar panels zake. Karibuni dukani , Gerezani KARIAKOO, mtaa wa...
  8. E

    Hii ndiyo Fursa utakayoingiza 50,000 kwa kila siku bila kutumia nguvu

    Hii ni kwa DSM tu mkuu, huku tunakula rost kwa 12k hadi 18k inategemea na kiwanja..
  9. E

    Hii ndiyo Fursa utakayoingiza 50,000 kwa kila siku bila kutumia nguvu

    Keko bora na Mbagara Sabasaba. Unalindaje unyeti wa mawasiliano ya mteja wa mtu, maana wakurugenzi mnawazunguka sana marketia wenu baada ya kupata contact za mteja,,
  10. E

    Natafuta imersible water pump (shimge) 0.75hp

    Njoo Gerezani mtaa wa Kiungani, Nicheki 0699494650
  11. E

    Vuna maji ya mvua

    200k
  12. E

    Vuna maji ya mvua

    Hamna mkuu, tunaelekezana tu, unajua kuna muda fundi anaweza kukupa concept kutokana na mazingira au kutengeneza faida kwake, so kila kitu kina condition zake, ndomana kule shuleni tukisoma physics tuambiwa other factors remain constant..
  13. E

    Uzi maalum wa ku-boost biashara zetu

    Water wells drilling LPG gas fittings Water fittings +255 699 494650
  14. E

    Vuna maji ya mvua

    Sasa kama pump haitoshi hilo underground water tank linatoaje maji? Pump pekee inatosha as longer as maji yapo kwenye tank.
  15. E

    Vuna maji ya mvua

    Solar zipo pia.
  16. E

    Vuna maji ya mvua

    Hii ni gharama sana mkuu.. Water purification system pekee si chini ya 6M
  17. E

    Vuna maji ya mvua

    Hiyo Tank tu,,
  18. E

    Vuna maji ya mvua

    Ha ha ha umetisha, umejiongeza njee ya box.
Back
Top Bottom