Search results

  1. kapama shauritanga

    Nunua na Aliexpress: Tuelimishane manunuzi mtandaoni

    Samahani mkuu hivi hizo bidhaa zinakufikia ktk posta yoyote uliyo tumia hata Kama ni mzigo wa jumla?
  2. kapama shauritanga

    Nunua na Aliexpress: Tuelimishane manunuzi mtandaoni

    Mkuu naomba kufahamu kuhusu manunuzi kwanjia ya mtandao ktk mambo haya:- 1.Kuhusu kodi, TRA. 2. Mzigo naupataje Kama ni mtu wa mkoani ( kwa jumla na reja reja)
  3. kapama shauritanga

    Mapendekezo ya wananchi: Muundo wa Baraza la Mawaziri kwa Serikali ya Awamu ya Tano

    Njoo uchukue soda maana hata mie nataman iwe hivyo nahic wanaopenda mdebwedo watakoma.
  4. kapama shauritanga

    Haya mazoezi ya ndege za Kijeshi mjini (Dar) yanatia shaka kipindi hiki!

    Amka! acha kulala wewe, mbona nikawaida kufanya hayo mazoezi au ulikua umekufa kimawazo kwa muda?
  5. kapama shauritanga

    Kashfa ya Richmond: Lowassa, Karamagi na Dkt. Msabaha Wajiuzulu

    Subiri arejeshe fomu ndiyo utafahamu.
  6. kapama shauritanga

    Mada moto Channel 10: Edward Lowassa ndani ya UKAWA. Polepole amfananisha na malaya...

    Acha mawazo finyu wew! polepole hatetei chama bali anatetea maslahi ya Taifa. Ndio maana watu kama ninyi mnajumuishwa katika ile asilimia 95% ya watanzania wasio jali ufisadi kama alivyo sema msigwa. Jamaa katutukana kabisa watanzania, eti ooh tumemleta lowassa ili tupate ushindi maana tumeona...
  7. kapama shauritanga

    Prof. Lipumba ajiuzulu Uenyekiti CUF

    hivi mbona naona huwa mnabisha tu, afu mwisho wasiku mnabaki kulia lia. Dr.slaa yupo wap leo? nae simlibisha pia
  8. kapama shauritanga

    Yaliyojiri Mkutano wa UKAWA na Wahariri, Makao Makuu ya CUF

    Jama hivi Chadema nichama cha watu wenye majungu na lawama sana eenhe? Nalishuhudia anguko kuu la chadema. Hiki chama kitakua imara endapo tu, uongozi wa juu ukibadirishwa.
  9. kapama shauritanga

    Mke anashinikiza talaka ili anufaike mgao wa mali, imekaaje hii kisheria?

    Jamani wanajamii kuna kaka yangu anasumbuliwa sana na mke wake na anachohitaji yeye ni mume wake ndiye aende mahakamani na kuhitaji kutoa taraka ili apewe masharti magumu iwe faida kwake. Kitu kingine ni kwamba imefikia hatua ameficha hadi vyeti vya kazi. Na sasa anamwambia yuko radhi kumdhuru...
  10. kapama shauritanga

    Wema Sepetu abwagwa kwenye kura za maoni ubunge wa viti maalum Singida

    Hata kama ata anguka lakin acha uongo wew wao uchaguzi mpaka tar 1/8
  11. kapama shauritanga

    ACT - Wazalendo wazidi kuvuna wanachama CHADEMA jimbo la Kawe

    mbona unachokiandika hakifanan na jina lako?
  12. kapama shauritanga

    Yaliyojiri Mkutano wa Kihistoria wa CHADEMA Mwanza, Ulirushwa live kwenye TV na Radio

    inaonekana macho yako sio mazima umebaki na mapambo tuu!
  13. kapama shauritanga

    Yaliyojiri Mkutano wa Kihistoria wa CHADEMA Mwanza, Ulirushwa live kwenye TV na Radio

    chakushangaza kwenye hizo picha nmeona malori. sasa sijajua yalileta nn? ila kama yamebeba watu vilee ..!
  14. kapama shauritanga

    Mbowe amkaribisha rasmi Lowassa CHADEMA

    Huu uchaguzi mwaka huu ni shida
Back
Top Bottom