Search results

  1. Zurie

    Kitu gani kilikushangaza mara baada ya kuingia kwenye ndoa?

    Likinifungia linani hilo?? Huyu mpenzi wangu mtamu mtamu??
  2. Zurie

    Kitu gani kilikushangaza mara baada ya kuingia kwenye ndoa?

    Sio kila mwanamke ni mzinifu
  3. Zurie

    Kitu gani kilikushangaza mara baada ya kuingia kwenye ndoa?

    Ma-lastborn wanatunyoosha huku ndoani.
  4. Zurie

    Kitu gani kilikushangaza mara baada ya kuingia kwenye ndoa?

    Nikaenda hotel karibu na nyumbani nikapiga usingizi. Matokeo yake yeye ndo hakulala kupiga simu mara 20+ usiku wakati mwenzie nimelala. Siwezi kuwapa stress ndugu, marafiki kwa vitu visivyo na kichwa wala miguu.
  5. Zurie

    Kitu gani kilikushangaza mara baada ya kuingia kwenye ndoa?

    Kwamba mwanaume anaweza kufunga mlango wa nyumba tunayoishi pamoja nisiingie eti sababu nimechelewa kurudi. Na kwamba anategemea akinifungia hivyo niende kulala kwa wazazi wangu😂😂😂😂😂.
  6. Zurie

    Mamba waonekana Bwawa la Chemka

    Mmhhh
  7. Zurie

    Unyanyasaji kwenye ubalozi wa Marekani

    🤣🤣🤣
  8. Zurie

    Dogo amenikera mpaka nahisi kumchukia mazima

    Mimi nashangaa mwanamke mwenye mume kuombaomba hela wanaume wengine (hata kama ni kaka zake) imekaaje. Mimi hata baba yangu mzazi simuombi pesa maana ni kumchoresha mumeo.
  9. Zurie

    Shilingi ya Kenya inaimarika sana dhidi ya Dola ya Marekani. Vipi kuhusu Shilingi ya Tanzania?

    Naomba mtu mmoja akili kubwa anielezee haya maamuzi ya dola kuimarika sijui kufubaa nani anayafanya na kwa sababu gani. Sio kwamba sina akili, ila nina akili za aina nyingine😅. I swear nitaelewa
  10. Zurie

    Nimeamini wanaume hawaaminiki

    Uzi wangu unaoneshaje kutoaminika?? A single woman kumtamani a single man ni kutoaminika?
  11. Zurie

    Naomba mbinu (zisizo dhahiri sana) za kumfanya mwanaume akutongoze

    Wanachat kazi, wako profession moja na same sector so updates na kadhalika. Kampuni zao pia ni kampuni rafiki so kuombana ushauri hapa na pale on how to handle things. Socially sio sana, ni kumcheck tu hujambo, au jokes za hapa na pale but sio sexual au romantic jokes. Akiweka picha ya chakula...
  12. Zurie

    Naomba mbinu (zisizo dhahiri sana) za kumfanya mwanaume akutongoze

    Hataki kuolewa naye lakini. Sio kwamba hafai ila hajamfikiria kuwa mume sababu ni kijana mdogo (tunahisi mdogo wetu kiasi)
  13. Zurie

    Kuna wanawake wanajua mapenzi utadhani ni majini mahaba

    Haki ya nani imagine a whole man misuli nini lakini analalamika na kulia kitandani. Unyama sana
  14. Zurie

    Kuna wanawake wanajua mapenzi utadhani ni majini mahaba

    Kwa jinsi alimlilia Zama kwenye ile audio i can imagine. Kuna raha ya malalamiko ya mwanaume bwana; so sexy
  15. Zurie

    Kuna wanawake wanajua mapenzi utadhani ni majini mahaba

    Ukaamua supu uitie nazi au sio?
  16. Zurie

    Kuna wanawake wanajua mapenzi utadhani ni majini mahaba

    Piga keleleeeeee... The way I love a man who moans during sex nimekutamani ghafla.
  17. Zurie

    Naomba mbinu (zisizo dhahiri sana) za kumfanya mwanaume akutongoze

    Wanaume maharage ya Mbeya au sio😹
  18. Zurie

    Naomba mbinu (zisizo dhahiri sana) za kumfanya mwanaume akutongoze

    Technique nzuri ingawa kwa case yao sidhani kama inafanya kazi
Back
Top Bottom