Search results

  1. Kishongo

    Afukuzwa kazi baada ya kujiunga na CHADEMA

    Hiyo shule aliyokuwa headmaster ni mali ya CCM. So mwenye kampuni ana uwezo wa ku-hire na ku-fire. Akamlilie Slaa.
  2. Kishongo

    CHADEMA kama mnataka kushinda Arumeru Mashariki kuweni makini na huyu jamaa!

    Acheni woga, hizi ni rasharasha tu, mvua zenyewe bado. Kama mmeanza kuweweseka hivyo, mvua zikianza si mtazimia?
  3. Kishongo

    ARUMERU: Kutokana na mambo kuwa magumu Green Guard waanza mazoezi

    Huyu Crashwise alikuwa akiandika ***** kama huu wakati wa uchaguzi wa Igunga. Anaonekana ni mtaalam wa kutunga story za kijinga ili asifiwe na magwanda. Hana ushahidi wa ****** alioweka hapa. Tumezoea usanii wako.
  4. Kishongo

    Chadema, CCM yametimia

    Si vizuri vilaza wanaoigiza uzalendo wakajilinganisha na Mwl Nyerere. Nyerere ndiye mwasisi wa CCM.... Sera za majimbo za CDM zilipigwa vita na Nyerere tangu uhuru.
  5. Kishongo

    Mh Godbless Lema amjibu Tendwa

    CDM msituletee umwagaji damu kama mlivyofanya Igunga. Amani mliyoikuta Meru iacheni. Inaonekana mmeanza kutapatapa, ... na bado....jimbo la ARUMERU mtalisikia redioni kama ilivyokuwa kwa majimbo mengine ya Igunga na Uzini. Ama kweli, CDM ni full shari.
  6. Kishongo

    Sioi Sumari achaguliwa na CCM kumrithi baba yake Arumeru Mashariki!

    Bush senior na George Bush, former Pres Clinton na Madame Clinton, Indira Gandhi na Rajiv Gandhi......and the list goes.
  7. Kishongo

    Tujikumbushe: Dr Kamala aitetea PhD yake!

    This is recycled rubbish aimed at achieving character assassination. You could post something better.
  8. Kishongo

    Nape Atunukiwa Shahada Ya Pili Ya Utawala Mzumbe

    Na wewe mkuu una roho ngumu kumtetea mtu kama Lema. Ni output gani ametoa? kuhamasisha vurugu na kuvuruga utendaji wa manispaa ya Arusha? Unamwona shujaa kwa hilo? Mimi bado naamini kuwa Lema anafanya hivi vitimbi na viroja kutokana na elimu yake ndogo. Unamkumbuka alipohojiwa na Chanel 10...
  9. Kishongo

    Nape adandia digrii za kibongo zinazomea kama uyoga

    He is showing the way..... half cooked potatoes in cdm can borrow a leaf.
  10. Kishongo

    Chadema Arusha wasusia kikao cha Madiwani

    Malipo yao ni 2015. HATUDANGANYIKI TENA KUWAPA KURA WASANII, WAPENDA MIGOGORO.
  11. Kishongo

    Nape Atunukiwa Shahada Ya Pili Ya Utawala Mzumbe

    Athubutu kupeleka NECTA cheti cha diploma yake feki aone kama hajafunguliwa kesi ya kughushi.
  12. Kishongo

    Dr Slaa hajui kutofautisha mvao wa kichama na wa shughuli za kitaifa?

    Hali ya kifedha ya Slaa kwa sasa si nzuri kuweza kununua suti. Hii imetokana na kubanwa na TRA kurejesha pesa ya kodi aliyokuwa akikwepa kulipa kwenye posho zake. Kwa sasa posho inakatwa kodi, familia imeongezeka, hivyo haitatosha kununua suti. Magwanda ndo kimbilio ili kumlinda katika uvaaji.
  13. Kishongo

    Nape Atunukiwa Shahada Ya Pili Ya Utawala Mzumbe

    Mipango ya kupata umeme, maji, barabara na afya hufanywa na wasioenda shule? Mwishoni tutaishia kutetea ujinga kwa nguvu zote.
  14. Kishongo

    Nape Atunukiwa Shahada Ya Pili Ya Utawala Mzumbe

    Sina uhakika na unalosema. Ila nijuavyo mimi kuna tofauti kati ya aliyesoma na asiyesoma. Kwa mfano, kama Lema angekuwa ameenda shule, asingekuwa anafanya baadhi ya mambo ya kitoto anayofanya sasa kama ya kujipeleka gerezani ili apate mtaji wa kisiasa.
  15. Kishongo

    Nape Atunukiwa Shahada Ya Pili Ya Utawala Mzumbe

    Aliipataje diploma wakati hakumaliza Form Four? Hiyo itakuwa ya kuchakachua.
  16. Kishongo

    Nape Atunukiwa Shahada Ya Pili Ya Utawala Mzumbe

    Huu ni ujumbe tosha kwa Mbunge Lema. Yafaa aige wanavyofanya wanasiasa wenzake na yeye angalau aboreshe hako ka Form Two kake.
  17. Kishongo

    Hivi ndivyo Mbowe anaadhimisha miaka 50 ya Uhuru na Kuzaliwa kwake!

    jInakuwaje unamwita kiongozi wako 'JEMBE'? Kiinachoitwa jembe hutiwa mpini.
  18. Kishongo

    Mwandishi Mayage S. Mayage umepotoka hatudanganyiki

    Ana haki ya kutoa mawazo yake. Hasira za nini? Mnataka kila mtu aisifie CHADEMA?
  19. Kishongo

    Jenerali Ulimwengu: Hakuna cha maana cha kusherehekea miaka 50 ya Uhuru

    Achana na hiyo roho ya kishetani. Unawatakiwa Watanzania wenzako wauawe na Al Shabaab?
  20. Kishongo

    Ziara za Lowassa na coverage anazopewa, ni utetezi?

    Lowassa ni: ...Mbunge ...Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama. ...Waziri Mkuu Mstaafu. ...Mjumbe wa CC na NEC CCM. ...Mtanzania mwenye kuitakia mema nchi yake. Hivyo, anastahili kupewa coverage ya kutosha na TBC.
Back
Top Bottom