Search results

  1. D

    Nyalandu agoma kutoa katavi kwa AP

    safari ya waziri Nyalandu nchini afrika kusini akiongozana na mwenyekiti wa Kamatiya maliasili na mazingira bwana Lembeli na Sarakikya kwa mintarafu ya makubaliano na African Parks Network kuipatia uendeshaji wa Mbuga ya katavi Kikao kimekwenda harijojo baada ya waziri Nyalandu kuwaambia wazi...
  2. D

    Nyarandu kumuondoa Dr Nzuki?

    BAADA ya kuwaondoa kwa dhulma wakurugenzi wa idara ya wanyamapori Prof. Songoro na Prof. Kideghesho, uonevu unaendelea taarifa zinasema waziri Nyarandu kesho saa tatu asubuhi ameita waandishi wa habari pamoja na wajumbe wa bodi ya utalii ambapo atatangaza kumuondoa Dr Aloyce K Nzuki katika...
  3. D

    Wafitini TPA wafichuliwa!

    BAADA ya kupigwa chini kwa ufisadi mkubwa walioufanya TPA aliyekuwa mkurugenzi msaidizi bwana Ahmad Koshuma hajakata tamaa anahaha kila kona kuhakikisha anavuruga mema yote yanayofanywa na waziri Mwakyembe kupitia menejimenti mpya ya bandari, katika kampeni yake hiyo analitumia gazeti la...
  4. D

    Lembeli vipi kashfa hii ya Burigi na Kimisi

    mleta uzi yuko ok sanaa Lembeli ni hovyo anauhadaa umma kujitia mkosoaji si lolote ni shetani asubuhi jioni malaika, hajiulizi tembo wetu wangapi wameuliwa, hao waliotajwa na namba zao za simu ni wafugaji wakubwa wa ng'ombe hifadhini Lembele akanushe kama hawajui na hawasiliani nao kwa karibu...
  5. D

    JK ateua wakuu wa TIRDO, NGORONGORO na MAKUMBUSHO ya TAIFA

    kongole prof.Madundo Mtambo nakumbuka enzi yako ukicheza mpira Reli ya morogoro.
  6. D

    Ufisadi Wa Mwakyembe na Eng. Madeni Kipande !

    Mwakyembe,Kipande na bodi mpya kazeni buti endeleeni kusawazisha mambo kwa faida ya taifa puuzeni haya majungu yasiyo na mashiko, mlalamikaji keshaleta ubaguzi na kujiona bora kwa kujiita ni mke wa mzungu si inadhihirisha ni mtumwa na ana fikra za kutawaliwa na watu weupe. sasa punguani wa...
  7. D

    Usalama wa Taifa feki akamatwa akimsogelea JK

    mhhh kazi kubwa hiyo, nakumbuka tulitangaziwa msiba wa kigogo wa TISS bwana Majige ndio tuko hapa mbezi msakuzi tunasubiria kumzika anazikiwa mbele ya nyumba yake na si kinondoni miamba yote iko hapa akiwemo ro.
  8. D

    Bodi ya Bandari yamuondoa Kipande, Mwakyembe aizuia

    Ahhh mnachekesha si mlisema mnataka kujizulu sasa nini kinawazuia? chezea posho za vikao wewe!!!
  9. D

    Bodi ya Bandari yamuondoa Kipande, Mwakyembe aizuia

    Huyu Tina anadhihirisha chuki yake dhidi ya Mwakyembe na Kipande inamtia upofu, mwenye macho haambiwe tazama Watanzani mpaka wateja wa nchi za jirani ambao walikuwa wanaikimbia bandari yetu Dar kutokana na wizi uliokithiri enzi ya aki a Mgawe lakini kwa wanakubali kweli mabadiliko yaliyofanywa...
  10. D

    Rasimu hajakidhi bado sana

    RASIMU YA KATIBA MPYAMAONI NA MSIMAMO BINAFSI WA AWALI KUHUSU RASIMU SEHEMU YA KWANZA: MAONI YA JUMLARasimuhii ukiangalia juu juu tu na kwa kupitia propaganda ya vyombo vya habari ambavyovinalipwa kufanya hivyo, kupitia fedha za wafadhili za 'watch dog’ utaisifiakuwa ni nzuri na haina kasoro...
  11. D

    Mrema aomba ukurugenzi TPA

    Ridhwan kama kweli mdogo wangu basi unajipaka matope, Mrema hafai hata kulumangia shukran bwana Sabato kutugusi hilo, mimi namjua vyema huyu mmoja wa wajumbe wa bodi bwana Julias Mamilo ni mtu wa majungu sanaaaaaaaaaaaaaaaaaa
  12. D

    Devid Mranda atimuliwa rasmi TPA

    Mwekyembe safi sana timua wezi hao ninavyoijua TISS misingi yake ni uadilifu vipi jambazi kama huyo afugwe na TISS naamini nako huko watamtimulia mbali
  13. D

    Yanga wamemkosea mzee mwasokwa

    Mzee Joseph Mwasokwa amezikwa kwao Kyela watu wengi wamehudhuria akiwemo R.O, mzee Apson,Mwakipesile,Mwambulukutu n.k hayati Mzee Mwasokwa pamoja na kufanya kazi idara ya usalama wa taifa pia alikuwa mkereketwa mkubwa wa klabu ya Yanga na akijitolea na kushauri mambo mbali mbali lakini jambo...
  14. D

    Mtonyaji serikalini; Usalama wa Taifa wampa JK mtihani mzito kuhusu CHADEMA kuelekea 2015

    Upuuzi mtupu nadhani mletaji wa taarifa hii hajui kabisa hata muundo wa idara ya usalama wa taifa na vitengo vyake, hao Chadema wana kipi kipya? si ufisadi huo huo tu na ubepari uliotuacha na makovu kutokana na mijeledi ya unyonyaji wake, Chadema imejaa mabepari ambao hayati mwalimu alipambana...
  15. D

    Devid Mranda wa TPA achia ngazi

    Mranda namjua tangu 1978 alikuwa pale Ilemelamwanza dili zake ilikuwa kulahgua sukari enzi za ukata wa bidhaa hiyo, sijui uadilifu wa kupewa majukumu makubwa kama hayo hapo bandari aliyapataje!!!!?
  16. D

    Hongera Dr. Mwakyembe, hongera TRC

    Kweli Mwakyembe chuma cha puwa kwanza alipothubutu kuwaondoa akina wale mafisadi akina Mgawe pale bandari nikaamini kweli Mwakyembe dume
  17. D

    Devid Mranda wa TPA achia ngazi

    Mranda namjua huyo hafai kabisaaaaaaaaaaaaaa anzeni kumfungia ofisi abaki nje ya geti fisadi mkubwa huyo kibaraka wa Efraem Mgawe yuko hapo kwa umbea kuuza maneno na kusaidia wizi wa makontena
  18. D

    Mchungaji Msigwa amesema waziri Kagasheki anawakumbatia majangili

    Msigwa ni longolongo tu, kazi yake kukurupuka Kagasheki oyee chapa kazi mkuu achana na wazushi hawa akina Msigwa waliokosa usaidizi wa roho mtakatifu, kila kukicha kupika majungu wakikatiwa wanafunga mdomo.. Heri wenye upendo maana hao watarithi nchi
  19. D

    Dau umesikia vituko vya Nafuwe Nyange na Omar wa Legal Dept?

    Dau ni mtu muadilifu maadamu umemtahadharisha bila shaka atachukua hatua za haraka kuweka sawa pamoja na kuwa mambo ya mapenzi ni suala la mtu binafsi
  20. D

    Gen. Ndomba amrithi Shimbo

    MANENO ya kuokoteza hayana mpango mzee shimbo alikuwa mtu muadilifu sana jeshini, kosa lake kubwa aliwabana walaji ndio ikawa chuki kubwa dhidi yake, hata Ndomba NI MTU MUADILU SANA kaondoka kule JKT jamaa wanashangilia kwa sababu aliwabana sana walaji.
Back
Top Bottom