Search results

  1. Wa Mjengoni

    Ilogi na Bugarama Bulyanhulu: Tunakuhitaji Lukuvi

    Tunakuhitaji Mh. Waziri wa ardhi William Lukuvi ili utatue kitendawili cha sisi kupewa hati miliki zetu za nyumba tulizomaliza madeni Ilogi na Bugarama. Process ya kupata title deed inachukuwa miaka mingi sana. kuna watu wamemaliza madeni toka 2010 lakini bado wanasotea hati; - sijui tatizo...
  2. Wa Mjengoni

    UKAWA anzeni mipango ya kutoa mafunzo kwa mawakala, Nchi imeshaondoka hii

    Naunga mkono hoja, USHINDI NI WAZI,sasa ni wakati wa kuangalia tutajihami vipi nchi nzima kutokana na mabao ya mkono!
  3. Wa Mjengoni

    Kupofuka ghafla

    Na mauchawi nayo yapo msibeze. Nguvu za giza zipo toka zamani na zimeandikwa hata kwenye bible, najua mtanibishia....... ukiona hospitali hawaoni kitu stuka! Mpeleke akaombewe.
  4. Wa Mjengoni

    Slaa kuibuka Jangwani 90%, Kupanda jukwaa moja na Magufuli kummaliza Lowassa

    We ndio una maono yenye akili kubwa, SLAA sio waku kaa huko
  5. Wa Mjengoni

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Nina Honda CRV nimeanza itumia siku za karibuni, nataka kubadili oil kwenye ka diff. kadogo katikati nyuma. Oil hiyo ndo iliyokuja nayo toka Japani sasa naibadili. 1) Oil gani bora? Nipe spacefications zake. 2) Baada ya kuiweka niibadili tena baada ya km ngapi? Nitashukuru kwa majibu yenye...
  6. Wa Mjengoni

    Dr. Slaa hata ukipewa ugombee urais, huwezi itoa CCM madarakani, Lowassa anaweza..

    Dr. usijali na matusi ya watu wahuni wa book seven, nadhani unawajua wanatoka chama gani. BAVICHA hawezi kukutukana hivi... Tunakutakia afya njema mpaka siku utakayoamua kuzungumza nasi baba.....
  7. Wa Mjengoni

    Ntampigia Lowassa, lakini kwanza..

    Nadhani si mimi tu lakini Wana CHADEMA wengi na UKAWA kwa ujumla tupo njia panda kwenye kura za Urais, ingawa za ubunge majibu tunayo. Kwa washauri wa Mh. Lowassa akiwemo Mh. Mbowe, Prof. Lipumba na timu yote ya viongozi UKAWA tunaomba wamshauri Laigwanani arekebishe mapungufu yake kama...
  8. Wa Mjengoni

    Mgombea Urais UKAWA atatetea ILANI ipi?

    Na ndio maana ya UKAWA - lengo kuu ni kuing'oa CCM mengine baadaye. halafu mbona kila siku inaelezwa kuwa hii ni coalition tu na sio muungano kabisa wa kiitikadi hamuelewi nini?
  9. Wa Mjengoni

    Hukumu ya jana, haimzuii Mwenyekiti Mbowe kugombea nafasi yoyote ile

    Tukumbuke kuwa Rage Aden wa CCM na kufungwa jela kwa kosa la jinai mwaka ule lakini yuko mjengoni!
  10. Wa Mjengoni

    Dk. Slaa: CHADEMA tutashiriki midahalo yote ya Uchaguzi Mkuu

    Watayarishaji mdahalo wamekurupuka....! Slaa yuko makini duu...
  11. Wa Mjengoni

    Hivi Mengi ni Team Lowassa?

    Kwa siku za karibuni amekuwa akipewa airtime kubwa ITV hadi inakera kuliko watangaza nia wengine...
  12. Wa Mjengoni

    Wrong number imenivurugia ndoa

    Komaa usoni kuwa so we we!
  13. Wa Mjengoni

    Muungano wa Ukawa, CUF, NCCR Mageuzi, NLD, kukosa wabunge wa viti maalumu

    Ritz, elewa kwamba tunaposema Chama fulani cha Upinzani kimeachia jimbo fulani kinaachia kweli kweli, sio kuchaguliwa tu, hadi viti maalumu, kinakuwa hakina kinyongo. Tatizo lako nini hasa we mpinzani mtarajiwa? Ya UKAWA waachie wenyewe!
  14. Wa Mjengoni

    Kwanini Lowassa anakwepa kuzungumzia ufisadi?

    Kosa lenyewe ni kuchagua Rais aneyetoka kwenye sapoti kubwa ya aina fulani ya mtandao wenye nguvu ya pesa, kama ule wa Friends of L. Mgombea Mtarajiwa ashasema wazi kuwa hela huwa anatoa kwa marafiki zake. Nawahakikishieni kuwa litakuwa kosa kubwa la kujutia kumpa nchi mtu wa aina hii kwani...
  15. Wa Mjengoni

    Mtoto wa Mabere Marando akutwa na kashfa ya UFISADI chuo kikuu Mlimani

    Halafu huyu Dogo eti msomi wa Chuo kikuu...!
  16. Wa Mjengoni

    Ajali iliwaletea furaha!

    Wakati wimbi la ajali likiendelea kutufuata fuata nchini huko nchi jirani ajali hii imewaletea furaha kama wanavyoonekana...!
  17. Wa Mjengoni

    Kilwa Road baada ya kumalizika imeanza kuharibika!

    Mh. Dr. Magufuli sijui kama una habari kuwa kijipande cha barabara ya Kilwa sehemu ya Mtoni kwa Aziz Ali hadi Mtoni Mtongani kama km 3 au 4 hivi, sisi tunaoishi na wenye biashara along this road tunaumia na vumbi, tunakohoa kutokana na kutokuwekwa lami kijipande hiki kwa muda mrefu sasa, sijui...
  18. Wa Mjengoni

    Pengo awalipua Maaskofu, asisitiza uamuzi wa aina ya kura ni wa mtu binafsi

    Kwa maoni yangu kauli ya Mwadhama Kadinali Pengo kuwa Maaskofu wasiwachagulie wananchi cha kufanya katika kura za NDIYO au HAPANA kwenye Katiba pendekezwa sio sahihi sana. Nasema hivyo kwa sababu kauli imeangalia upande mmoja tu wa hao Maaskofu walichosema na kusahau kuwa kila siku Viongozi...
  19. Wa Mjengoni

    Kinana ampongeza Lukuvi, Nape amtaka Nyalandu kuacha kutafuta watu wa kumtetea

    Kwa hiyo hii ni bifu kati ya Mzee wa Tembo na Waziri wa Tembo....Hahahaaaaa!
Back
Top Bottom