Search results

  1. Z

    Hii sasa Sifa na leo tena Nyama?

    hee JF ina mambo :confused2: Tunatuma kupitia namba gani
  2. Z

    Ladies ndani ya ndoa piteni hapa

    wangu mie labda niendelee kumuombea Maana yuko busy na michepuko sio FB na watsupp ni shida Mungu tu aingie kati katika ndoa hizi
  3. Z

    Miss Reds Tanzania 2014 Sitti Mtemvu kazi anayo, Umri wake utata mtupu

    Ni sheeeda ..Tanzania ni utapeli ,siasa ,Michezo ,mapenzi kila sekta ni sheeeeda
  4. Z

    Hivi unajisikiaje umeoa /umeolewa na uko busy na michepuko

    Fungukeni bandugu msiiogope thread maana ndio hali halisi iliyo tawala sasa
  5. Z

    Hivi unajisikiaje umeoa /umeolewa na uko busy na michepuko

    Leo nimekaa nimewaza na kuwazua wewe umeoa au umeolewa lakini michepuko kwako haikatizi ukitoa vijisababu viiingi mradi tu kujustify kwa nini una michepuko. Hivi unajisikiaje unaporudi nyumbani umetoka kwenye mchepuko wako Unafika nyumbani mme au mkeo anahitaji na yeye kupata haki yake...
  6. Z

    Vitu vinavyonikera ndani ya ndoa

    nimesema mme wangu ana mwaka na nusu sasa kazi iliisha sijasema ndoa ina mwaka na nusu Siwezi kumnyanyasa na yeye anajua hanyanyasiki hata kidogo sema ni hivyo vimatendo vyake ndio vinanikera
  7. Z

    Vitu vinavyonikera ndani ya ndoa

    jamani hivi kweli ni sawa unaamka asubuhi unamwacha amelala unarudi jioni hata net haijatolewa hiyo ni sawa??mmmh
  8. Z

    Vitu vinavyonikera ndani ya ndoa

    Sijawahi kuwaza kwa vile hana kazi kwani najua hii kitu inaweza kumtokea mtu yoyote, Ninachojiuliza hapa hata Kutengeneza Chai yako mwenyewe ni ngumu? Mbali na hapo huoni mwenzio ananyonyesha mtoto anasumbua ,mama hulali hata kusema mke wangu ngoja nimsaidie hata kutandika kitanda? ama mtoto...
  9. Z

    Vitu vinavyonikera ndani ya ndoa

    Hivi nyie wanaume kweli hauwezi kufika kipindi uone mkeo kazidiwa na wewe upo hata kumsaidia tu kuweka chai kwenye Kikombe ni ngumu? Hata kufua nguo zako za ndani ni kazi?? Mie sijasema aje kuosha vyombo no..basi wakati mie nadeki na kupika kuna ugumu wa kufua Boxer zako mwenyewe? Kutoa net...
  10. Z

    Vitu vinavyonikera ndani ya ndoa

    Last week nilikuwa naosha Vyombo ,akaniita mama F naomba unitengenezee coffee akiwa ameshika remote anaangalia TV Nikamwambia naosha vyombo my dear ila kila kitu kipo mezani please nisaidie kutengeneza wala hakunyanyua mguu anasubiri nikatengeneze ,na hapo mtoto nimeweka mgongoni wangu...
  11. Z

    Vitu vinavyonikera ndani ya ndoa

    Hivi Ladies kuolewa maana yake ni nini? Mimi kuna vijambo vinanichosha mpaka imekuwa kero na kuona kama ndoa ni ngumu. Ni takribani mwaka mmoja na nusu sasa mme wangu kazi iliisha yupo nyumbani huku akiangaika kutafuta kazi sehemu zingine . Hiyo sio big deal mie nafanya kazi thanks God...
  12. Z

    Naumwa hata sijui nini, Nipeni ushauri mbadala

    Pole suburi waje wataalam wa afya labda watajua tatizo lako ni nini
  13. Z

    William Malecela vs Flora Lyimo (Mbuta Nanga)

    hahahaha kazi kweli kweli
  14. Z

    Vannesa Mdee: Sipendi kupika

    Kasema hapendi sio hajui Okey
  15. Z

    Kabila Vs Shepu (angalia Picha)

    Wahaya naona hapo balaa
  16. Z

    Male Bikini ha!ha!ha!ha!

    hatari aibu hakuna?
  17. Z

    Niwe upande gani?

    Maswali gani haya ya kuleta JF?
Back
Top Bottom