Search results

  1. kenge 10

    PICHA: Yanga SC hili kombe la GSM mlishinda lini

    Habari wakuu, Kwenye picha iliyonaswa katika utambulisho wa Khalid Aucho back ground kuna kombe linaonekana lina nembo ya GSM. Ningependa kujua hili ni kombe gani na walishinda lini au kule kaunda kuna ligi ilipigwa?
  2. kenge 10

    Nauza used moderm

    Wakuu kama heading inavyoeleza, haina haja ya kubaki na kamba wakati ng'ombe kachinjwa Used moderm Inasoma line zote Bei Tzs 30,000/= Brand HUAWEI Popote nakuletea kwa Dar es salaam.
  3. kenge 10

    Tuliowahi kupuuza maonyo ya wazazi na yakatukuta, tukutane hapa

    Habari Wakuu.. Nataka wale ambao waliopuuzia maonyo ya wazazi alafu yakawakuta ya kuwakuta watoe ushahidi. Hii nimeshuhudia kwa mdogo wangu kiasi inaniogopesha na mimi. Ipo hivi, mdogo wangu wa kiume wa mwisho 20 years uhuni na usela mwingi so ana misala misala mingi na moja kati ya vitu...
  4. kenge 10

    Good expectations vs Reality: Wakuu msaada wenu hii biashara siielewi

    Habari Wakuu, Baada ya ban ya mifuko ya plastic, wajasiriamali wengi walichangamkia fursa ya mifuko mbadala. But mimi kama mjasiriamali pia kuna gap nililiona, kwa sababu mifuko ya plastic ilikuwa multipurpose kuanzia kubebea bidhaa, kuwashia moto uswahilini na baadhi ya abiria kutapikia au...
  5. kenge 10

    Unsung Heroes

    Ebhana niaje wanaJF. . . ! Naandika thread hii special kwa ajili ya kutambua mchango wa watu fulani hivi ambao wanafanya vitu vizuri kwa jamii but kama hatuwapi heshima au sifa zao stahiki kama tufanyavyo kwa watu wengine kama walimu, nk. Hawa kwangu nawaita Unsung heroes. Mimi nianze na...
Back
Top Bottom