Search results

  1. B

    Joining instruction Lufilyo sec school hii hapa

    hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahatwende hvyo hvyo tu mzeiyah
  2. B

    Please naomba mawazo yenu, ni kazi gani nzuri inayopatikana kwa kusoma kombi ya HGL?

    Nilikuwa nasomea Science kwa kombi ya PGM, but wizara imenipanga kwa kombi ya HGL. naombeni kujua ni kazi nzuri gani zinazopatikana kwenye hiyo kombi coz sikuwahi kufikiria ni mtu wa aina gani unakuwa kwa kuchukua hiyo kombi.
  3. B

    Naomba ushauri: Nilipata math D, physics D na Geography C, watanikubalia?

    Ahsanteni wakubwa kwa ushauri wenu..but cjawahi kufikiria ukichukua HGL unakuwa m2 anayefanya kazi gani?naombeni mnisaidie na hilo
  4. B

    Kuna m2 yeyote anauza ktb cha fundamentals of physics au anajua sehemu kinauzwa?

    KWA WATU WA ARUSHA Plz nisaidieni,kuna m2 ambaye anakitabu cha fundamentals of physics ambaye angetaka kuniuzia au labda kuna ambaye anajua sehemu kinapatikana anitaarifu,please nakihitaji.
  5. B

    Naomba ushauri: Nilipata math D, physics D na Geography C, watanikubalia?

    poa man,ila ameniambia hajafanya lolote kuhusiana na hilo
  6. B

    Naomba ushauri: Nilipata math D, physics D na Geography C, watanikubalia?

    ahsante mwana..nimemuuliza ameniambia hajafanya chochote kuhusiana na hilo
  7. B

    Naomba ushauri: Nilipata math D, physics D na Geography C, watanikubalia?

    Ninachukua combination ya PGM, na pass marks zake nilipata ni DCD na mimi nataka kubadilisha coz wamenipangia HGL kwa pass mark ya CCB, nimetuma maombi ya kubadilisha comby mkoani na sasa hivi nasubiria jibu kama watakuwa wamenikubalia ili nihamie PGM. kuna friend wangu alikuwa anachukua...
  8. B

    Methali mpya

    Hahahahaha.. 1.simba mwenda pole,basi huyo atakuwa sharobaro
  9. B

    Mtu anayechukua PGM anaweza akawa Engineer wa Ndege(aerotical Engineer) endapo atashindwa Geography?

    Habari zenu wanajamii forum.mimi ni kijana ninayesoma Minaki high School,dar es salaam kwa combination ya PGM.nilikuwa naomba kujibiwa swali langu kuwa,mtu anayechukua PGM and then labda akafeli Geography,anaweza kuwa Engineer wa Ndege(aerotical Engineer)? Na huwa anasoma miaka mingapi...
  10. B

    Msomi na mwanazuoni

    Msomi ni mtaalamu katika tawi kutokana na maarifa yake. Msomi ni mtu aliyejifunza, ambaye anajua taaluma fulani ya kusoma vizuri sana; mtu ambaye ana ujuzi mkubwa na ana utafiti wa kina katika shamba.ili Kuwa mwanazuoni mkubwa unapaswa kufanya utafiti wa kina na siyo tu kufanya utafiti bali...
Back
Top Bottom