Search results

  1. PAS

    Bibi Titi Mohammed: Historia, harakati na wasifu wake

    nipe historia ya DOSSA azizi kwa urefu zaidi. Pia kuna jamaa sikumbuki jina naskia nae alizimwa, alikua wa zenji hadi akawa waziri nadhani. Baadae akafa kiutata
  2. PAS

    Hatimaye Yanga yakabidhiwa kwa Manji aiendeshe kama club Binafsi

    Hujui unachoongea, Hao wanachama kwa miaka zaidi ya 50wameshindwa kufanya ayo unayoyasema. Wameshindwa kudhibiti nembo inatumika ovyo, jezi,. Sasa acha apewe mtu ambae atadhibit kibiashara, CHA msingi ni mikataba ikae sawa tu
  3. PAS

    US sanctions Tanzania's largest Commercial Bank, FBME over suspected ties to Money Laundering

    kimbunga ukiambiwa largest commercial bank unaelewa vipi kaka?? Kwa uelewa wangu uwa wanaangelia sana deposit ya iyo bank bank kuu(bot). So nakumbika 2013 iyo bank ilikua na 33% out of 100% alafu ndo zinakuja nmb 18% alafu crdb na zingine. Ivyo ukubwa awaangalii matawi kaka
  4. PAS

    FastJet: Mwanza - Kilimanjaro nauli tsh 32,000... (Bila VAT)

    alipoongea asubui kwene clouds alisema ukieka vat na garama za viwanja jumla mtu utalipua 89000 tu one way
  5. PAS

    Waraka wangu kwa chuo kikuu cha dodoma na bodi ya uhasibu nbaaa

    Udom ni chuo cha kata kama zilivo zile shule za kata,,, na kilanzishwa ili kichukue vilaza wa kta..
  6. PAS

    Institute of Accountancy Arusha

    Jaman, hw abt comptr scnc IAA?
  7. PAS

    Institute of Accountancy Arusha

    Habari wandugu.. Vip kuhusu comptr scienc apo chuon?
  8. PAS

    LL.B 1st class holder

    KUKU KUKU TU JOGOO JINA,UDSM ZAMANI, SIKU IZI WA2 KUTOKA VYUO VINGINE WANAKIMBIZA... ALAFU WANAOKUWA NA LIFE ZURI UWA NI WA VYUO VINGINE NA NDIO WAJANJA, ILA WA UDSM KIUKWELI WENGI WAO NI WALUGA LUGA YANI WAKUJA, WASHAMBA.. "samahani kwa maneno yangu yanye ukweli ndani yake"
  9. PAS

    Msaada wadau kwa samsung gt- c3303k

    namaanisha kuwa kuna simu zingine ambazo mtu akiwa kwenye net anakuona upo ewani.... sasa mi sijajua kusu samsung yangu inakuwaje setting
  10. PAS

    Msaada wadau kwa samsung gt- c3303k

    wadau naombeni mnisaidie ni jinsi naweza seti simu yangu aina ya samsung gt- c3303k ili niwe net online kote ata kwenye fec buku niwe ewani.
  11. PAS

    Siri nyingine ya Ngeleja: Wamarekani tayari wanachimba Uranium Tunduru kisiri siri?

    kila mbuzi atakula kwa urefu wa kamba yake.... Ivo malalamiko hayaasaidii cha msingi jitaidi kamba yako iwe ndefu
  12. PAS

    Mgomo mkubwa wa wahadhiri Ustawi wa Jamii

    kila mbuzi atakula kwa urefu wa kamba yake.... Ivo malalamiko hayaasaidii cha msingi jitaidi kamba yako iwe ndefu
  13. PAS

    WanaJF! Msaada wenu jamani hapa! Tofauti kati ya hz Gas ya ORXY, MANJI'S na GREATgas!

    ni bora utumie jiko la umeme kuliko gesi siku hizi maana garama... nilijaribu kutumia gesi na umeme nikagundua umeme ni chini sana.. Ila umeme ni taratibu, wakati gesi ni araka araka
  14. PAS

    Maharamia wa Kisomali na majumba mapya Mbezi

    Big up mkuu..... Nakuunga mkono
  15. PAS

    Gazeti la mtanzania

    Mmiliki wa mtanzania ni rostam.. Na mkurugenzi ni husen bashe. Ivo picha halisi inaonekana
  16. PAS

    Internship

    ata kwa wewe kuilipa kampuni hupati kizembe,,,, uasibu kuna kubebana
  17. PAS

    Sifa za wanawake wa DSM, utaoa au huoi?

    sizitaki mbichi hizi....
  18. PAS

    Wabunge hawa wa CHADEMA

    ao wamefanya mengi tu,,,,,, ata ufisadi ni jambo zuri, lisingekuwa zuri alilofanya bas ata watanzania wenzio wasingewapitisha kwa kishindo majimboni mwao
Back
Top Bottom