Search results

  1. StingRay

    Kama Mbowe, Rais mteule wa Zambia Hichelema aliwahi kufunguliwa mashitaka ya Ugaidi

    Kuna kitu ACT mzalendo wanajaribu kukionesha ambacho ni tarajali kwa wao wanajiita "chama kiongozi cha upinzani" /leading opposition party kwa Tanzania. Hii imekaaje hii?
  2. StingRay

    Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Mheshimiwa Rais aliangalie swala la KATIBA Mpya kwa staha sana na maamuzi yake yawekwe kwenye maslahi mapana zaidi ya nchi kuliko chama chake...... [emoji3070] [emoji3070] [emoji3070]
  3. StingRay

    Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Mh. Rais aunde timu (think-tank) mahsusi ya wataalam watakaomsadia katika sekta zote kubwa nchini kubwa zaidi CAGs wote wastaafu wawepo kwenye timu. Itasaidia sana yeye kama ovwrseer wa nchi kupata kuwa proactive na kuwa na mielekeo mizuri ya ki-nchi nyakati zote.
  4. StingRay

    Shule binafsi kulazimisha darasa la 4&7 kulala bweni

    Duh..... Gadjie qagawit... Garma. [emoji3070] [emoji3070] [emoji3070]
  5. StingRay

    Shule binafsi kulazimisha darasa la 4&7 kulala bweni

    I loved this views of yours....
  6. StingRay

    Shule binafsi kulazimisha darasa la 4&7 kulala bweni

    Kwakweli nchini kwetu kuna sekta mbili muhimu sana kwa ustawi wa jamii na taifa letu zinachezewa sana;hizi Sekta ya Elimu na Kilimo...yaani haikuwahi kutokea zikapata wasimamizi wazuri. Everything is going zigzag with these sectors.
  7. StingRay

    Shule binafsi kulazimisha darasa la 4&7 kulala bweni

    Bwana tafadhali sana, mbona unafunga mjadala kabla ya mtoa hoja... [emoji3070] [emoji3070] [emoji3070] [emoji3070]
  8. StingRay

    Shule binafsi kulazimisha darasa la 4&7 kulala bweni

    Nimetamani sana nikutane nawe Pendo, lakini kwa kina inahitajika mjadala wenye maslahi ya elimu kwa taifa letu. Endelea kutafakari.....
  9. StingRay

    Shule binafsi kulazimisha darasa la 4&7 kulala bweni

    Sasa YEHODAYA hapo kwenye jina lako hili weka "Wizara ya Elimu" kwamba ndiyo imejibu.... Unaonaje hilo jibu?? Umejibu hoja au kipengele kwenye hoja? Think don't rush.... [emoji3070] [emoji3070] [emoji3070] [emoji3070] [emoji3070]
  10. StingRay

    Shule binafsi kulazimisha darasa la 4&7 kulala bweni

    Okay lakini jaribu tena ku-revisit post yako kwa kuangalia vipengele hivi; 1-"Elimu ya Msingi" kwamba ni lazima aipate 2- Darasa la 4&7 3- Ada kupanda 1,500,000/=>>>>2,500,000/= But be critical to the argument, from local to global.... [emoji3070] [emoji3070] [emoji3070] [emoji3070]
  11. StingRay

    Shule binafsi kulazimisha darasa la 4&7 kulala bweni

    Wahusika wa Wizara ya Elimu mnaosimamia Kata, Wilaya, Mikoa na ngazi ya Taifa yaani Waziri, hili suala la shule binafsi za msingi kulazimisha watoto wa darasa la Nne na Saba kulala bweni ni halisi na linafaida kubwa kiwango cha kubadilisha maana halisi ya "Elimu ya Msingi" kuwa la lazima...
  12. StingRay

    Historia hii itatubadilikia mbeleni kama tutaacha Tundu Lissu ashauriwe na mabeberu

    Hata sisi kama Tanzania [emoji1241] hatukuwahi kufanyiwa haya tunayofanyiwa sasa, ni mageni lakini si ya Kiutu wa Kitanzania, upooo?? Kama unanufaika kwa njia zisizoumiza mwili wako kama sisi huwezi ona umuhimu wa haya. [emoji3070] [emoji3070] [emoji3070]
  13. StingRay

    Chonde Chonde CHADEMA, pelekeni wabunge bungeni. CCM wanajuta hata kuwapa hizo idadi ya kura iliyowafanya mpate nafasi 19

    Wakizungumza rough bungeni kwani hawajui walafanya rough? Victories umebakwa na mwanaume bila kuleweshwa halafu unambeleleza mbakaji wako akiri akwambie amekubaka ili umshtaki?
  14. StingRay

    Sera za uchumi za Magufuli sio rafiki na haziwezeshi upatikanaji wa ajira nje ya mfumo wa Serikali

    He's coping Chinese economic models.....just the worst of it.
  15. StingRay

    Siwaelewi Jaji Mkuu, Mwanasheria Mkuu, TLS, Tume ya Haki za Binadamu

    NEC hii inawahusu sana.....!!!!! Hivi kabisa kabisa kabisa watanzania pamoja na tunu zetu zooooote tunakubali hili kwa gharama sifuri? Mgombea yupo kwenye kampeni za kiti cha uongozi wa juu kabisa katika nchi hii anaahidi wapiga kura watarajiwa na wananchi kwamba, "Mkichagua upinzani sitaleta...
  16. StingRay

    Uchaguzi 2020 Karatu: Shughuli imeanza, mgombea Ubunge wa CHADEMA aendelea na kampeni

    Erythrocyte, Wairaq hawa ni Waethiopia kabisa, hawa watu wanakili sana huwa namshangaa Slaa alikwama wapi. Lakini chimbuko lao wanakaribiana sana na Wanyaturu mfano muangalie Lissu au Nyalandu.
  17. StingRay

    Serikali inapopendelea maeneo yaliyokipigia kura chama kinachounda Serikali: Ubaguzi huu ni sawa na ule wa Watusi na Wahutu!

    Yes hii ni simple tu ....'Discrimination based on the political affiliation or alignment ' ..
  18. StingRay

    Ni sahihi kunyimwa maendeleo kwa kumchagua muwakilishi ninayemtaka?

    Hebu tuje tuje hapa tusemezane ninyi nyote Wanasheria, Wanaharakati, Wanazuoni, Maendeleo na Ustawi wa Jamii, WanaSera, Wanasiasa, WaDini nk. Think of the Utter statement in the Law Acts that every power and function, every resource here in our beautiful and lovely country is vested to the...
Back
Top Bottom