Search results

  1. martial arts

    Boxing clubs ndani ya dar es salaam

    Habari zenu wakuu, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu,ningependa kujua ni maeneo gani hapa dar es salaam ambapo kuna boxing club nzuri,au kuna mwalimu mzuri wa mchezo wa boxing(masumbwi). ikiwa mitaa iliyo kati ya mji itapendeza zaidi,nawasilisha.
  2. martial arts

    Gevey card

    Habarini za muda huu,nahitaji gevey card kwa ajili ya i phone 7+ yenye carrier lock,aliyenayo tuwasiliane au anaejua sehemu ninapoweza kupata tuwasiliane. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. martial arts

    Naomba msaada wa kuondoa lock kwenye iPhone 7+

    Wakuu msaada jinsi ya ku-unlock iPhone 7+ yenye carrier lock ya sprint USA. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. martial arts

    Kutoa network lock ya i phone 7+

    Habarini za usiku wakuu,ninahitaji kujua je hizi simu ambazo zina network lock au carrier lock zinatolewa vipi? na bei gani kutoa hiyo lock? na zipo njia za aina ngapi? na je njia hizo ni 100% effective? Nawasilisha. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. martial arts

    Gym nzuri maeneo ya Kariakoo au Upanga

    Kama nilivyokwisha kusema hapo juu, mwenye uelewa wa gym ya kawaida tu ambayo ina dips bars,pull ups bars na vifaa vingine kwa ajili ya weight na strength exercises ambayo bei yake haizidi 3000 per day kwa maeneo yote karibu na fire,unaweza kunijulisha! Nawasilisha.
  6. martial arts

    Gym yenye bei affordable

    Habari za muda huu wakuu,kama kichwa kinavyojieleza,kwa wale wazoefu wa jiji ningependa kuuliza ni gym gani ambayo ni nzuri with affordable price kwa maeneo ya kariakoo,upanga,msasani na masaki.Bei isiwe zaidi ya 50000 kwa mwezi au ikienda sana 60000. Nawasilisha
  7. martial arts

    Natafuta convertible pc(2 in 1),spectre,envy or pavillion

    Rejea kichwa tajwa hapo juu,natafuta mtu anaeuza laptop yoyote ambayo ni convertible au 2 in 1,kwa maana inaweza kutumika katika mode zote either tablet mode au pc mode. Nawasilisha
  8. martial arts

    Natafuta Convertible pc(2 in 1),either hp envy or pavillion

    Rejea kichwa tajwa hapo juu,natafuta mtu anaeuza laptop yoyote ambayo ni convertible au 2 in 1,kwa maana inaweza kutumika katika mode zote either tablet mode au pc mode. Nawasilisha
  9. martial arts

    NAFASI ZA KAZI,WALIMU WANAHITAJIKA!

    "NAFASI YA KAZI MWALIMU WA PHYSICS NA CHEMISTRY - ENGLISH NA KISWAHILI TUMA CV NA VYETI HAPA gilisecondary@gmail.com" Changamkieni fursa wakuu, Sent using Jamii Forums mobile app
  10. martial arts

    Nchi ya Hungary!

    Habarini za muda huu wana jukwaa,nianze kwa kuwatakia kheri ya sikukuu ya x-mass. Ningependa kujua zaidi kuhusu nchi ya hungary,maisha yao,miji mizuri kuishi,chakula,culture,nk nk Karibuni sana kwa michango yenu!
  11. martial arts

    Naomba kufahamu kuhusu nchi ya Hungary!

    Habarini za muda huu wana jukwaa,nianze kwa kuwatakia kheri ya sikukuu ya x-mass. Ningependa kujua zaidi kuhusu nchi ya hungary,maisha yao,miji mizuri kuishi,chakula,culture,nk nk Karibuni sana kwa michango yenu!
  12. martial arts

    Usafiri binafsi kuelekea dodoma leo kutoka Dar es salaam!

    habari zenu wakuu,kama kichwa kinavyojieleza hapo juu,kama kuna mdau yoyote humu anaelekea dodoma siku ya leo kwa usafiri wake binafsi naomba msaada wa kiungwana,nitamlipa nauli...hali ni tete hapa dar!
  13. martial arts

    Lodge au hotel nzuri ndani ya mkoa wa Arusha!

    Habarini wakubwa zangu,kama kichwa kinavyojieleza hapo juu ninahitaji kujua hotels au lodges nzuri kwa mkoa wa arusha kwani ninatarajia kwenda huko kwa siku kadhaa.Badget ni 30000-50000.
  14. martial arts

    Linux,unix etc

    Habarini za muda wakuu,kama ilivyo ada ningependa kufahamu au kupata maelezo kuhusu linux,kali linux na unux. Karibuni!
  15. martial arts

    Ushauri wa bure!

    *Dear Anko,* Naomba msaada wako nifanye nini? Mimi ni mke wa mtu, na mume wangu tunapendana sana. Juzi niliondoka kwenda kazini nikamuacha mume wangu ana angalia TV. Sikufika mbali gari ghafla likazima, nikalazimika kutembea kwa miguu kurudi nyumbani nikamwambie mume wangu anisaidie. Nilipofika...
  16. martial arts

    Courses gani za muda mfupi ambazo mtu anaweza kusoma wakati anasubiri kujiunga chuo?

    Habari zenu wana jukwaa la elimu. Ningependa kufahamishwa ni course gani za muda mfupi ambazo mtu anaweza kusoma maybe kipindi akisubiri kujiunga rasmi na chuo?
  17. martial arts

    Nchi ya Uturuki (Turkey)

    Habari wana jf!Ni matumaini yangu mu wazima wa afya.Kama title inavyojieleza hapo juu,ningependa kupata ufafanuzi au data kuhusu nchi hiyo ya UTURUKI kuanzia MAISHA,ELIMU,CHAKULA,na maswala mengine yote.Kwa yeyote mwenye nondo za kutosha anaweza kunishushia hapa!Natanguliza shukarani zangu.
  18. martial arts

    Gym na fitness centers dodoma

    Habari zenu wakuu!Ningependa kufahamu mahali zinapoweza kupatikana gyms au sehemu za fitness centers kwa ajili ya mazoezi mbalimbali ya mwili katika manispaa ya DODOMA..Ahsanteni!
  19. martial arts

    Wagonjwa wa cancer!

    kwa nini wagonjwa wa cancer (through my experience) wamekua wakinyoa vipara? Hii ina maana gani?..msaada tafadhali
  20. martial arts

    Ni wapi nitajifunza Karate mkoani Dodoma?

    Ni sehemu gani ndani ya mkoa wa Dodoma kuna 'dojo' nzuri kwa ajili ya mafunzo ya Shotokan Karate? Msaada tafadhali..
Back
Top Bottom