Search results

  1. S

    Hugo Chavez, fiery Venezuelan leader, dies at 58

    Ndo stor ya wiki hii.. Jk huenda akatua Venezuela. R.I.P JK angekufa kanumba angeenda limekufa jembe atajifanya yupo busy kamanda pumzka kwa amani HUGO
  2. S

    Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana...

    ni kwamba kova amezoa kukurupuka hata issue ya jerry muro alikuja mpaka na kitabu cha sheria leo hii tumeona. sasa ya dk ulimboka nadhani jeshi hakuja jipya itakalo toka nalo kwani wanajua bana. uonevu hauwezi kushinda haki
  3. S

    Maoni Binafsi: Ujio wa Bwana James Ole Millya ndani ya CHADEMA

    that is very true . anatakiwa afanyiwe uchunguzi nz uangalizi wa kina sana. asije akatugeuke kama SHIB....DA
  4. S

    Vigogo wengine kutimkia chadema

    M4c! Well done
  5. S

    Mh. Livingstone Lusinde akimwaga Sera za CCM Arumeru

    kweli lusinde i marehem anae tembea pole sana bwana livingstone
  6. S

    Foleni ya magari barabara ya Mandela mradi wa matrafiki

    leo majira ya saa mbili kasoro mpaka saa mbili na nusu nimethibitisha kili nilichokua nakifikiria kila wakati ninapokuta foleni kubwa barabara ya mandela. maeneo ya songas kuna u turn. Ilikua gari NO T470 BNT TOYOTA CORONA PREMIO yenye tinted walikua trafic waili wakivizia daladala zinazogeuza...
  7. S

    BAWACHA kuichelewesha CHADEMA kuingia IKULU?

    safi mkuu kzi nzuri
  8. S

    Regia Mtema is No More!

    its true tumepoteza moja ya makanda hodari kwenye vita na wakoloni weusi da!!!! inauma sana
  9. S

    CHADEMA waanzishe na kumiliki News Media zao

    wazo zuri viongozi cdm tupen mkakati wa swala hili
  10. S

    Picha: Viongozi wa CUF watinga Ikulu leo!

    sasa wameenda kufanya nn wakati wapo wote kwenye vikoa vya kupitisha muswada wa katiba haramu cuf bwana wanachekesha kweli ila wajuie ndo wanajifuta kwenye medali za kisiasa. nawakumbusha kilicho wakuta igunga ...
  11. S

    Kulikoni huko NEC Dodoma

    nahisi magamba yamegoma kuvuliwa ndo maaana hakuna kilicho jiri mpaka sasa
  12. S

    Kamati Kuu CCM yawaka moto; Taarifa ya Kamati ya maadili yaumiza kichwa wajumbe

    ckipendi hicho chama kwa nn kisife kama leo
  13. S

    Nape kadhihirisha uongo wake Dodoma leo

    natamani nigekua hapo karibu kama alivyo kaa huyo mwenye t shirt ya kaki, ningemchapa kelbu ndo akome kuongea uongo wake mara kibao alikua anawataja kwa majina leo waandishi ndo waongo waandishi ikifika mahali muwe mnawapiga kelbu viongoz wanoaongopa wanakera sana hawa
  14. S

    CCM/CUF washambulia Wanaharakati- CDM wapinga kupitisha Mswada wa Mapitio ya Katiba

    jkei ndo amesoma eheeee !!!!?? wabungeeeee wa magamba nipata tabu kuwafikiria mchum jkei nchi imemshinda kila siku anapewe digree hata hajui ni za nn kweli magambaaaaaaaaaa chama
  15. S

    CCM/CUF washambulia Wanaharakati- CDM wapinga kupitisha Mswada wa Mapitio ya Katiba

    Simshangi kwani anajua katiba ikatina yeye ndo atakua mhuni. na siku za kurudi mogadishu zitakua zimefika . hatafanikiwa hiyo si simba bana hii ni nchi hatuwezi
  16. S

    CHADEMA yapeleka majeshi ya ardhini Igunga

    safi sana peoples powerrrrrrrrrrr!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  17. S

    Jairo apokewa kwa mbwembe wizarani, aelekea Ikulu na Ngeleja

    wezi wamejionyesha ila mwisho wao umefika
  18. S

    Jaji Werema ageuka waziri wa mambo ya ndani

    nae mwizi tu hana lolote mpuuuuuuuuuuzi kabisa
  19. S

    FULL TEXT: Hotuba ya Lema bungeni

    Naunga mkono hoja 100% god bless tanganyika............. God bless zanzibar ......... God god bless cdm!!!
  20. S

    Kashfa ya Jairo: Malipo ya zaidi Billioni 1 kusaidia Bajeti ipitishwe - Adai MP Beatrice Shelukindo

    kama serikali inatoa rushwa nani atapona nchi imeoza wajameni kweli jk wamekuvua nguo ukweni
Back
Top Bottom