Search results

  1. B

    Zanzibar: Padre apigwa Risasi na watu wasiojulikana

    nani kakwambia kafa wee chizi?? Au hujui maana ya r.i.p unajiandikia tuu...umeambiwa kapigwa risasi..hakuna mtu kasema amekufa wee unakimbilia r.i.p.....ungeandika kiswahili wala usingekosea kujishaua tuu na lugha za watu...
  2. B

    Gazeti la MwanaHalisi lafungiwa kwa muda usiojulikana!

    nashukuru sana mkuu!!
  3. B

    Gazeti la MwanaHalisi lafungiwa kwa muda usiojulikana!

    umesomeka afande...ova
  4. B

    Philipo Mulugo nusura amalize hasira zake kwa mwanafunzi

    wa kupimwa jinsia mwingine huyu ahahahaa...
  5. B

    Philipo Mulugo nusura amalize hasira zake kwa mwanafunzi

    nyie wawili mnatakiwa mkapimwe jinsia sio bure.....maake sio wavaa suruali wote ni wanaume ahahahah sawa tutastaafu tuje fanya kazi yenu iyo.....
  6. B

    Philipo Mulugo nusura amalize hasira zake kwa mwanafunzi

    sikia wee kenge, watz mna shida sana kuambiwa ukweli..ukiwa na mawazo ya kikenge watu watadhani wee kenge au wafanana na kenge..so hapo tusi liko wapi?? ni kama kumwita mwanaume wanayemnanihii shoga..utakuwa umemtukana wakati ndo jina lake??kwa mawazo yako hapo juu hata kenge wenzio...
  7. B

    Philipo Mulugo nusura amalize hasira zake kwa mwanafunzi

    kwaiyo cc wenye bosi wetu unatuambiaje wee kenge???
  8. B

    Eti Ikulu imesema kuwa yaliyosemwa na Dk Ulimboka ni upuuzi

    nasikia jamaa wanakusubiri hospitali, ukiumwa hata kichwa tuu utajua....
  9. B

    Dr Ulimboka atoa tamko, amtaja Ramadhani Ighondu

    we ndo ulomteka nn mbona povu dogo!!!
  10. B

    UCHUNGUZI KUTOKA POLISI: Jacky Daniel" imechangia kifo cha Kanumba

    jack Daniel's ni whisky inayoitwa Jack Daniel's wee mamdogo..
  11. B

    UCHUNGUZI KUTOKA POLISI: Jacky Daniel" imechangia kifo cha Kanumba

    wee ndo ukakojoe ukalale....maake kwa jinsi ulivoijibu msg ya jamaa inaonekana kabisa ndo unajifunza kufikiria...
  12. B

    Kamanda Kamuhanda: 4 Songea, 1 Iringa

    ila fiesta ruksa mkuu si ndio maake na ulinzi unakuwepo ati ahahaha...au??
  13. B

    Prof. Muhongo ammaliza rasmi Mhando; Mama Rwakatare naye alipuliwa!

    ahahaha nakuona mama lwakatare....
  14. B

    Prof. Muhongo ammaliza rasmi Mhando; Mama Rwakatare naye alipuliwa!

    nasikia alifika tanesco akauliza mnaendeshaje shirika bila hata ya PhD moja...akauliza yaani tanesco shirika kubwa PhD za kutafuta ahahahahaha daaah...sawa yako Prof. tunyanyase tulioshia saint kayumbaz...
  15. B

    Gazeti la MwanaHalisi lafungiwa kwa muda usiojulikana!

    ivi radio imani ndo ipi iyo>??naombeni masafa yake namm niisikilize nijue icho wanachotangaza...
  16. B

    Zitto: Sijahongwa, ni siasa za urais na hasira za posho!

    kaka zitto wee si upo ndani huko so unajua hata kampuni iliyoiuzi tanesco matairi ya chini ya kiwango na kwa bei iliyoongezwa jamani si ungetujuza ni ipi hiyo daah??afu kwenye suala la kusema utaratibu ufuatwe yaani waziri anasema ameokoa billions then wee bado umeng'ang'ania kuwa utaratibu...
  17. B

    Zitto: Sijahongwa, ni siasa za urais na hasira za posho!

    laziwa uwe umeandika haya kutoka wodi mojawapo pale milembe..mi nilishasema zitto kuwa raisi labda ni kwa sababu mbili kubwa! 1. kwamba asilimia zaidi ya themanini ya watanzania ni vichaa,... 2. nchi nzima tumekufa na wamebaki wanyama kama simba, kunguru, mbuzi, nyau n.k...(oops sorry kunguru...
  18. B

    UHALISIA: Kilichomtokea Dr. Ulimboka mwanzo-mwisho...

    na bado mtajibebaje mwaka huu!!!
  19. B

    UHALISIA: Kilichomtokea Dr. Ulimboka mwanzo-mwisho...

    ahahaha na bado yatakutoka mapovu mpaka ufe....nalipendaga lile tangazo la kiss fm ambalo mr ebbo ameweka sauti linasema ....pikei na kikei ..kitu juu ya kitu niachie mwanangu niachieeeee!!ahahahaha hii ndo inaitwa kitu juu ya kitu....na mtajibeba mwaka huu!!
  20. B

    UHALISIA: Kilichomtokea Dr. Ulimboka mwanzo-mwisho...

    ahahah mikwara mbuzi hii!!!mikwara kama hii wanapigana watoto wa english media wakati wanagombania magari yanopita barabarani kwamba lile langu....
Back
Top Bottom