Search results

  1. H

    Naomba ushauri wa namna ya kuanzisha biashara

    Naomba mwongozo katika kuanzisha biashara ya spare za magari kama option no. 1 n.a. option no 2 ninayoifikiria ni biashara ya construction Hardware 3. Biashara ya kilimo. Naomba ushauri nipewe na changamoto zake , risk zake n.a. dada zake n.a. namna ambavyo hasira inaweza kupokea.
  2. H

    Ni halali kisheria kushikilia gari kwa makosa ya dereva?

    Wadau , kuna jambo ambalo binafsi silielewi, mmiliki wa gari amemkodisha mtu ambae katika hoja yangu nitamwita Dereva kwa mkataba uliosainiwa kisheria na kuainisha haki za Dereva na Haki za mmiliki na wajibu wa Dereva na Wajibu wa mmiliki. Sasa inakuwaje unakuta Dereva amefanya makosa kwa...
  3. H

    Hivi zoezi la utoaji wa vitambulisho ulikuwa una haraka yoyote kwa sasa?

    WADAU...huwa najiuliza sana hivi zile kashkash na pirikapirika za vitambulisho iliishia wapi sipati jibu... vilevile nimekuwa nikijiuliza ni kwanini tumekimbilia katika zoezi hilo kwa sasa hali kuna priorities kama barabara maji na umeme?...na kama kulikuwa na umuhimu mkubwa kwanini zoezi...
  4. H

    Hivi kumbe manispaa za jiji la Dar zinaweza kushindana kwa usafi na Moshi

    Imenishangaza sana kwa jinsi jiji lilivyosafishwa na kupendeza just for a week...hivi kwa nini haya yalikuwa hayafannyiki? Kitendo cha rais obama kusema nakuja dar...hakukuwa na tatizo la bajeti swala la usafi wa jiji na imewezekana ....au hizo fedha jamani zimetolewa na ubalozi wa marekani?
  5. H

    Hasara zinazosababishwa na umeme wa TANESCO tupeleke wapi madai ?

    Wana JF salaam, naomba nipate mchango wa mawazo juu ya hili. Umeme wa Tanesco sasa umekuwa ni umeme usiyo salama tena kufuatilia hasara mbalimbali tunazozipata kutokana na kupungua au kuongezeka kwa nguvu ya nishati hii. Hasara hizi ni kama kuunguliwa na tv set, home theater, fridge na vitu...
  6. H

    Mh. Magufuli tembelea kituo cha mabasi Ubungo ujionee

    Mh. Magufuli kituo cha mabasi yaendayo mkoani ni kichafu hakifai sijui pesa zinazokusanywa pale zinafanya kazi gani. Leo nimebahatika kuingia kituoni pale nikakutana na bango FUATA TARATIBU ZAKITUO PARK GARI YAKO HAPA... Well mara moja nikajua sasa pameadvance...lol. sasa huko ninapotakiwa...
  7. H

    Dah...sikuwa najua hili...msamaa wa gharama za matibabu muhimbili

    Kwakweli jambo usilolijua ni kama usiku wa giza...siku zooote tunaposikia misamaha ya kodi tunaelewa na ndivyo ilivyo there is some one who is paying that tax on behalf of the person who is exempted...sasa hili kwa upande wa Hospitali zetu nchini kumbe ni tofauti .... Mgonjwa anapopewa msamaha...
  8. H

    Kuendelea kupanda kwa gharama za maisha ....

    Kuendelea kupanda kwa gharama zao maisha nini kifanyike?? Maoni wanaume jf
  9. H

    Kama mh. Lema amepoteza ubunge kwa kosa la lugha chafu jukwaani..je..lusinde!

    Habari za siku wana jf na watanzania wenzangu, kwakweli nilikuwa sijawahi kufuatilia kile kilichokuwa kikizungumzwa mtaani kwa masikitiko makubwa juu ya mh. Lusinde kwa kile kilichoitwa lugha chafu katika jukwaa la siasa huko Arumeru, uvumi huu ulipozidi kuenea mpaka maofisini dhidi ya mbunge...
  10. H

    Wizara ya elimu na utamaduni na.adhabu dhidi ya wandanganyifu wa mitihani

    Wana Jamii na watanzania kwa ujumla nimesikiliza hotuba mbalimbali za viongozi wa wizara ya elimu waliopewa dhamana. Hotuba walizotoa kimsingi sioni kama zina tija kwa twigs letu juu ya udhibiti wa udanganyifu wa mitihani..ninasema hivi nikimaanisha kuwa, adhabu iliyotajwa yakumfungia mtoto...
  11. H

    Hotuba ya kamanda Mwema na yanayotekelezwa na askari wake yanafananA??

    Ndg zangu wana Jf nimekuwa nikitafakari vurugu zinazotokea kati ya jeshi la polisi na wanainchi kila panapokuwa na ama maandamano au mpango wa maandamano kwa kile kinachoitwa kufikisha ujumbe serekalini na ulimwenguni kero sugu.... Hivi ni nani mwenye ushahidi hata sikumoja palipotokea...
  12. H

    Sakata la umeme nchini sasa limeingia ktk sura nyingine - LUKU

    Habari za asubuhi wana jamii wenzangu, hivi, mna habari kuwa kama tatizo halitatatuliwa Leo itakuwa ni siku ya nne tangu kukosekana kwa mauzo ya umeme nchi nzima...na sababu network hakuna. Hii nimeshuhudia mwenyewe jana mara baada ya kuzunguka mji mzima na kukuta kundi la watu wakisubiri...
Back
Top Bottom