Search results

  1. tz2015

    Mkutano wa kumtambulisha Mgombea Urais UKAWA-Mbeya

    Kutokana na tukio la jana kule Mwanga, nashauri mheshimiwa EL atumie Helkopta kwenda kwenye viwanja vya mikutano anakotarajiwa kuhutubia wananchi. Upenzi kwa ndugu yetu EL unaweza kutumiwa vibaya na maadui zake,kuleta vurugu ili mikutano isifanyike. nawaomba wapenzi wote na wananchi kwa ujumla...
  2. tz2015

    Dawa ya Lowassa yapatikana

    VUTA-NKUVUTE Mgombea wa ccm aliahidi kutofanya kampeni za kuchafuana, je wameamua kumuasi hata kabla kampeni hazijaanza? Na je lowasa akiwavua nguo zaidi itakuwaje? maana katika list uliyoitaja hakuna aliyewahi kuwa karibu na ikulu kuliko lowasa,ukombozi wa tanzania tuitakayo umekaribia.
  3. tz2015

    Paul Sozigwa amepotea katika mazingira ya kitatanishi

    Ongera sana Kiwi kwa kupatikana kwa mzee Sozigwa Mungu aendelee kuwapa namna na njia za kumtunza hadi mwisho wa maisha yake,kama apendavyo Mungu.
  4. tz2015

    Paul Sozigwa amepotea katika mazingira ya kitatanishi

    Poleni sana,Mungu ni mwema atawasaidia. Huyo mama nashauri atafutwe asadie polisi Haya mambo yameanza na mzee mwenyewe yanaweza pia kuhatarisha maisha ya huyo mwanae aliyemlithisha nyumba, Naomba vyombo vya dola vimfuatilie huyo mama na wanunuzi wa nyumba ili kujiridhisha.
  5. tz2015

    CCM hamtaweza kumshinda Lowassa kwa kumtukana

    Mkuu kama vile ulikuwepo moyoni mwangu,binafsi nimeshajua ukiona kitu kinapingwa na watawala ujue hicho ndo sahihi. EL mimi nilianza kumpenda kwa kasi pindi walipoanza kumuandama kwamba ni fisadi wakati Mramba na Yona ndo wameshtakiwa na kufungwa na huyu Bwana yupo huru tena anawaomba wamshtaki...
  6. tz2015

    WanaCCM tupaze sauti zetu hali ni ngumu huku mtaani

    Mkuu umesema Ukweli,habari za kujifariji na misemo kama vile oil chafu,makapi n.k ni mdhaa ambao unabomoa nyumba msimu wa kiangaziambayo utaikumbuka mvua ikianza kunyesha msimu wa masika, Ushauri wangu ni kwamba muongeze nguvu ya usingizi,ili hiyo oil chafu imwagikie suti nyeupe ndo mziki wake...
  7. tz2015

    Alinialika tuishi wote nimsitiri, sasa anadai nichangie kodi ya nyumba

    Huyo dada kagundua mnafanana, wakati yeye alikuwa anatafuta mwanaume wa kumtuliza.
  8. tz2015

    Alinialika tuishi wote nimsitiri, sasa anadai nichangie kodi ya nyumba

    Umeeleza upande mmoja,je kilichokuleta hapo unakimudu? au ameona unamtia hasara akaona akufukuze kiaina?
  9. tz2015

    Viongozi wa kamati za Dini ya kiislam wamlipua Lowassa, Wasema hatoshi kuwa Rais

    Kumbe ndo wamemshinikiza li-pumba!!!!!
  10. tz2015

    Huyu ndiye Mwenyekiti wa CHADEMA aliyekuwa apinduliwe kwa kuwa too local

    Kama angemsamehe si chama chenu cha act kingekufa? ndo maana nasema yule jamaa ana akili sana.Leo mnazunguka nhi nzima si raha hiyo amewapa?
  11. tz2015

    Ukawa leo imeimalika zaidi, ahsante mungu.

    Nimekupenda ghafla Bintiwangara wiki ijayo nakuja Rulenge hope nitakutafuta.
  12. tz2015

    Huyu ndiye Mwenyekiti wa CHADEMA aliyekuwa apinduliwe kwa kuwa too local

    Mh.Mbowe nio mpinzani wa ukweli,anajua siasa ukiangalia Mwl.Nyerere katika kudai uhuru alitumia mpaka vilabu vya michezo lakini katika uhai wake sikuwahi kumuona uwanjani amevaa jezi ya mpira lakini alijua siasa ni watu na alijua kutumia hisia za watu kupata kuungwa mkono,Mbowe ametambua siasa...
  13. tz2015

    Men only (inahusu wanaume)

    Koromeo ubarikiwe,Thread yako ina maana sana. Hivi leo mabinti wengi wanakaribia kutupita sisi wanaume,kwa kujitoa muhanga kujishughulisha wakati wanaume wanaona soo,eti watachekwa. Binafsi naona ni heri uchekwe ukitumia nguvu zako kutafuta kipato,kuliko kuchekwa unapoenda mahali kuombafedha...
  14. tz2015

    Sheria ya Uchaguzi ya Uchaguzi kuhusu Askari Polisi na Wanajeshi Kupiga Kura

    Ndugu mimi nadhani hii kauli mbiu ya utii wa sheria bila shurti inatumika kwa raia na si kwa polisi. Kuna sheria nyingi za haki ya raia zinavunjwa na polisi hasa wa usalama barabarani,na ukitaka akuonyeshe kazi onyesha kwamba unajua haki yako,hapo ndo utamtambua polisi ni nani. Nimekuwa...
  15. tz2015

    Sheria ya Uchaguzi ya Uchaguzi kuhusu Askari Polisi na Wanajeshi Kupiga Kura

    Mkuu sawa ni haki yao kujiandikisha,swali la kujiuliza:ni kipengere gani cha sheria kinatumika IGP kuhakiki vitambulisho vyao vya kupiga kura?
  16. tz2015

    Madiwani wote wa CCM manispaa ya Tabora, leo wamehamia CHADEMA

    Mkuu si wametoke kipande ile inaitwa ''nyonya damu'' unatumiwa tuu heshima unapata siku ya mazishi,ndo utasikia sifa kemkem,sasa wamejiunga na ukombozi.Peoples' poweeeeer!
  17. tz2015

    Prof. Ibrahim Lipumba atangaza kujiuzulu nafasi ya Uenyekiti wa CUF Taifa

    Mkuu UKAWA haifi,cha msingi ni sisi wananchi kumpa kura mgombea wa ukawa, ili aingie madarakani,na huo utakuwa mwisho wa mapandikizi yaliyopandikizwa kutulaghai tudhani kuwa ni wapinzani kumbe ni mawakala,sasa wameona kweli chama chao kinan'goka wameanza mizengwe ili tuteteleke.Kweli mwalimu...
  18. tz2015

    Prof. Ibrahim Lipumba atangaza kujiuzulu nafasi ya Uenyekiti wa CUF Taifa

    Mamuluki woote wameishaona moto mkubwa,wanaogopa kunybanikwa,bila kunyonyolewa, si mliwaweka mkidhani wataendeleza ukoloni mambo leo huku wakitulaghai,asante Mungu kwa kutupatia Mbowe.
  19. tz2015

    Prof. Ibrahim Lipumba atangaza kujiuzulu nafasi ya Uenyekiti wa CUF Taifa

    Kinachofurahisha wanaomeguka upinzani wanabaki nyumbani, wanaomeguka ccm wanajiunga UKAWA.
  20. tz2015

    Mkutano wa Baraza Kuu CHADEMA - Agosti 03, 2015

    Serikali ya ccm ilituamisha kwamba mabepari ni wabaya,leo hii imewasafisha wanaitwa wawekezaji, wamekabidhiwa njia kuu ya kumiliki uchumi wa nchi,sasa kuna ubaya gani CDM kumsafisha Lowasa ambaye ni mtanzania wa kuzaliwa?
Back
Top Bottom