Search results

  1. E

    Mama mjamzito : mambo ya kufanya na mambo ya kuepuka kufanya

    Makala hii imeletwa kwako na AFYA ZAIDI CONSULTANTS, Wataalam na washauri wa afya na vipodozi. Kwa elimu na ushauri zaidi tafadhali tembelea website yaowww.afyazaidi.org Kuwa mjamzito ni kitu cha furaha sana kwa wengi. Ni mafanikio. Huongeza upendo na furaha. Kwa wachache huwa ni kama ajali...
  2. E

    Ushauri: Barabara ya Msimbazi Kariakoo ifungwe kuepusha mauaji

    Kweli kabisa. Maana kuendesha gari kutoka kipande cha Gold Star kupitia mataa ya uhuru hadi pale sheli ya Big Bon ni changamoto sana kwa kweli.
  3. E

    Natafuta Namba ya kituo cha polisi Kawe

    Anza kwa mwenye nyumba kwanza, kama bado nenda serikali za mitaa, ikishindikana ndo uende polisi
  4. E

    OPTOMETRIST NEEDED

    Optometrist job position is available at ALFA SPECIALIZED MEDICAL CLINIC. Any candidate interested with the above position is warmly welcomed to apply and work with us. He/She is needed as soon as possible. The good working environment and salary is guaranteed. MODES OF APPLICATION 1. You...
  5. E

    Nahitaji mtu wa kunifundisha SALES and MARKETING

    Awe ni mtaalam na mjuzi wa sales and marketing. Atanifundisha privately, Dar es Salaam. Jumatatu mpaka Jumamosi. Malipo na terms zingine ni kama tutakavyoelewana na kukubaliana. Awe na Diploma au Degree na uwezo mzuri wa kumfundisha mtu. Pia awe committed, asiwe na excuses na kushindwa...
  6. E

    Special Thread: Mrejesho wa huduma za hoteli, baa na guest house nchini

    Mimi ninazo tatu za kuchangia kwa leo 1. GOLDEN VIEW HOTEL Hii ipo Moshi Mjini. Huwa nafikia nikienda Moshi kikazi. Huduma zao ni nzuri kwa kweli kuanzia Vyumba mpaka Vyakula. Gharama zao haziumizi kichwa - Sh. 30,000/= Chumba comfortable kabisa na papo cool kiasi kwamba amani ya akili na...
  7. E

    Kumbe watu wa kawaida hawaruhusiwi kukaa kwenye mabasi ya mwendokasi?

    Nimemsikia kupitia redio kiongozi wa mradi wa mabasi ya mwendo kasi (DART) aitwaye Bwana William leo asubuhi akisema kwamba vile viti sio kwa ajili ya watu wa kawaida. Bali ni kwa ajili ya watu wa makundi maalum kama vile wazee, wagonjwa, akina mama wajawazito, walemavu nk. Watu wengine wote...
  8. E

    Nimepata tenda ya uzoaji taka, natafuta gari

    Haa Haa Haaaa.............. Hii ndio bongo bhana! Mtu anapata tenda wakati vifaa hana, ujuzi hana. Kufa na njaa bongo ni kupenda kwako tu
  9. E

    Vidonge vya viagra vyamtoa mtu uhai

    R.I.P. Marehemu. Kwa wanaume tuliobaki tuelewe kwamba dawa za kuongeza nguvu za kiume ni hatari na zinaathari nyingi sana, ni vyema kupata ushauri wa kitaalam ndipo ufanye uamuzi sahihi. Kiasili kabisa dawa hizi (Sildenafil) zilikuwa kwa ajili ya watu ambao walikuwa na tatizo la moyo na...
  10. E

    Ushuhuda: Bila uvumilivu biashara, ujasiriamali vitakushinda

    Siku za mwanzo za kuanza kujitegemea na kufanya shughuli binafsi (Biashara, Ujasiriamali nk) ni ngumu sana. Hili nimelishuhudia mimi mwenyewe "personally". Changamoto ni nyingi na mambo mengi ambayo mtu uliyapanga au uliyatarajia hayatokei. Inaweza ikakuchukua siku, wiki, miezi, mwaka nk...
  11. E

    Mwili kutoa harufu (body odor): Chanzo, jinsi ya kuzuia na matibabu yake

    Kama unasumbuliwa na tatizo lolote la muonekano, harufu, rangi nk kwenye ngozi na mwili wako kwa ujumla basi sasa ndo muda wako wa kuondokana nalo na kufurahi. Karibu sana tukusaidie kuondoa matatizo ya Chunusi, Makunyanzi, Michirizi, Makovu ya Chunusi, Mwili kuwa na rangi tofauti tofauti...
  12. E

    Karibu sana upendeze na kuvutia

    Kama unasumbuliwa na tatizo lolote la muonekano, harufu, rangi nk kwenye ngozi na mwili wako kwa ujumla basi sasa ndo muda wako wa kuondokana nalo na kufurahi. Karibu sana tukusaidie kuondoa matatizo ya Chunusi, Makunyanzi, Michirizi, Makovu ya Chunusi, Mwili kuwa na rangi tofauti tofauti...
  13. E

    Unataka kumvutia zaidi mpenzi wako?

    Kama ngozi yako ni kikwazo pata ufumbuzi na uwe na amani. Wanawake wengi wanakosa amani kabisa mbele za jamii au wanaume wao pindi ngozi zao zinapokuwa na chunusi, makunyanzi, rangi tofauti tofauti, madoa, makovu ya chunusi na kadhalika. Kama matatizo hayo yanakusumbua basi ni bora kutafuta...
  14. E

    KUNYWA MAJI ZAIDI KWA AFYA NA UZURI WA NGOZI YAKO

    Miongoni mwa changamoto kubwa kwa watu wanaoshinda mbali na nyumbani ni kunywa maji ya kutosha. Hii hutokana na kulazimika kuyanunua kwa bei kuanzia sh 500/= hadi 1,500/= kwa chupa moja; akinywa chupa 1-3 kwa siku inakuwa ni pesa nyingi zaidi. Leo nashauri watu kunywa maji zaidi kwa sababu kuu...
  15. E

    Chunusi, makunyanzi na makovu ya chunusi si tatizo tena

    Karibu uwezeshwe kuondoa Chunusi, Makunyanzi, Ngozi yenye rangi zisizopendeza, Madoa, Makovu ya Chunusi nk Kwa uhakika na ndani ya muda mfupi. Tunapatikana Ilala na Upanga, Dar es salaam. Mawasiliano : 0659528724, 0784082847 E-mail : tecetra@gmail.com Karibu Sana
  16. E

    IFANYE NGOZI YAKO KUWA MPYA, CHANGA NA NZURI ZAIDI

    SULUHISHO SAHIHI LA MATATIZO YOTE YA NGOZI Karibu uwezeshwe kuondoa Chunusi, Makunyanzi, Ngozi yenye rangi zisizopendeza, Madoa, Makovu ya Chunusi nk Kwa uhakika na ndani ya muda mfupi. Tunapatikana Ilala na Upanga, Dar es salaam. Mawasiliano : 0659528724, 0784082847 E-mail ...
  17. E

    IFANYE NGOZI YAKO KUWA MPYA, CHANGA NA NZURI

    SULUHISHO SAHIHI LA MATATIZO YOTE YA NGOZI Karibu uwezeshwe kuondoa Chunusi, Makunyanzi, Ngozi yenye rangi zisizopendeza, Madoa, Makovu ya Chunusi nk Kwa uhakika na ndani ya muda mfupi. Tunapatikana Ilala na Upanga, Dar es salaam. Mawasiliano : 0659528724, 0784082847 E-mail ...
  18. E

    Kinga`amuzi cha ting nauza

    Namba za simu mpaka tuombe?
Back
Top Bottom