Search results

  1. SirChief

    Dola vs Shilingi hali inazidi kuwa tete. Serikali chukueni hatua

    BOT huwa wanakuaga off market kabisa,sijui rates zao huwa wanapataga wapi
  2. SirChief

    Majeshi ya Urusi yameukimbia mji wa KHERSON

    Tukiacha ground offensive,sehemu nyingine Ukraine wapo vizuri ni military intelligence,Toka wazingirwe Mariupol kwenye Azov steel plant, haijawahi tokea tena Ukraine kuzingirwa namna ile,this means Ukraine military intelligence wame improve sana, ofcause pia kwa kusaidiwa na satellites za...
  3. SirChief

    Maoni: Soko la silaha la Marekani kupanda maradufu

    Hata wanajeshi wa Urusi hasa wale waliokuwa Belarus walikuwa hawajui kwamba wataingia vitani,walijua wanafanya mazoezi kisha warudi Russia,ila wakaambiwa wama match waingie Ukraine,hii imepunguza morali sana.
  4. SirChief

    Maoni: Soko la silaha la Marekani kupanda maradufu

    Kosa kubwa walilofanya Russia toka vita inaanza ni vitu viwili vikubwa 1.Poor logistics (Russia is heavily depend on railway networks for supplies,Ila sasa reilway bridges nyingi Ukraine walishazivunja ili ku destrupt russia logistics system) 2.Failure to dominate Ukraine airspace (Russia...
  5. SirChief

    Kiongozi wa Chechnya aponda na kukosoa majeshi ya Urusi kwa wao kukimbia uwanja wa mapambano

    Correction,Russia is regional power with 19th century logistic command,Huwezi pigana modern warfare with outdated logistic strategy.Hii vita imeonyesha weakness kubwa sana kwenye jeshi la Urusi hasa logistics. There is a say ""Soldiers win battles,logistics win wars"Ukifeli logistics umefeli...
  6. SirChief

    Suala la Gender

    Stupid feminist with American far left social ideology,kama hawa ndio wale wanasumbua kule USA wanasema there is plenty of genders,eti gender is how you feel idendified, what a crap🗑️🗑️🗑. Anakuja hapa na hizi ideology za kusema men and women are equal.🗑️
  7. SirChief

    ANUNNAKI: Nadharia za Mungu, miungu, fumbo la sciencenscience na Teknolojia kubwa katika Dunia ya kale, kuanguka Kwa civilization na kuinuka Tena

    Kwa anayetaka pia kujifunza kuhusu siri ya ujenzi wa Pyramids aangalie hii dicumentary hapa chini.Kuna maswali mengi sana mchambuzi anauliza,ila mwishoni utagundua Pyramid hazikujengwa na Egyptians kama Egyptology wanavyotuaminisha kwamba zilijengwa kwa kukata mawe kwa kugonga na kipande cha...
  8. SirChief

    Silaha za Masafa Marefu Zinazomilikiwa na JWTZ

    I've got your point
  9. SirChief

    Silaha za Masafa Marefu Zinazomilikiwa na JWTZ

    Tuna dedicated special unit kwa ajili ya counter terrorism?,Au unafikri ukishakuwa na special forces(Makomandoo) basi inatosha?.
  10. SirChief

    Dunia haiambiwi ukweli kinachoendelea vita ya Ukraine na Urusi

    Kwamba umeamua kumpa anachokitaka kuskia sio? 😅 😅
  11. SirChief

    Urusi imeuvunja moyo wangu

    😅 😅 😅 😅 😅,Aisee nmecheka sana,eti kuifuta NATO ndani ya dk 5.Ndio wanavywadanganya uko vijiweni kwamba NATO ni sawa na kanchi kama Burundi?.. Russia anatengeneza silaha mwenyewe kwa kutumia nini,upepo?Kwamba hazina production cost za materials?. Tumieninna akili kidogo
  12. SirChief

    KLM Royal Dutch Airlines: Bonge la ndege

    Au utakuwa unasemea Boeing 747-800 yenye double decker.
  13. SirChief

    Silaha za Masafa Marefu Zinazomilikiwa na JWTZ

    Mimi nimemjibu nikaishia kuambiwa sijui kitu,..N.Korea leo ana hypersonic cruise missiles sijui amezipata lini.
  14. SirChief

    Finland formally confirms NATO membership bid

    Fact: Russia hana uwezo wa kupigana vita mbili kwa sasa (Ukraine & Finland),sababu hawakujiandaa kwa hilo. Fact : Finland wameshaanza hatua za awali za kujiunga na NATO ,Sweden nao wata confirm kuanza hatua week chache zijazo. Fact: Finland ni nchi tajiri na yenye jeshi imara well trained kuliko...
  15. SirChief

    Bwawa la The Three Gorges la China limepunguza kasi ya mzunguko wa dunia

    Uzito wa shavu utakuwa tofauti obviously, BUT re-positioning ya izo nyama haiwezi kuathiri speed yangu ya kutembea/kukimbia.
  16. SirChief

    Silaha za Masafa Marefu Zinazomilikiwa na JWTZ

    Kiduku hana hypersonic cruise missiles bana. Wewe utakuwa unaongelea ICBM zinazobeba Nuclear warhead.
  17. SirChief

    Kambi za Jeshi Tanzania zina vizuizi vya kuzuia picha zipigwazo na satelite?

    Kuona picha ya jengo tu lilivyo na pembe tano😅😅
  18. SirChief

    Wale tulio-Park Magari tujuane hapa.

    Inaonekana una stress sana..Relux boss,gari zipo hata za 4M,tafuta hela tu.
Back
Top Bottom