Search results

  1. J

    Mwanachdema unayemtetea zzk na timu zake ni mwanaccm halali kabisa.

    mkuu umenena! chama lazima kichukue hatua kali ili iwe fundisho!kama watu wanamfuata mtu na wao waliwe vichwa! kinyume na hapo ni sawa na una malaria halafu hunywi dawa unategemea nini!
  2. J

    Mwanamke anavyotaka mwenyewe kuvunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe (kwa wanaume tu)

    Mkuu umeanalyze vizuri! Ina maana wanaume tubalance love na baba kama kichwa cha nyumba!!!
  3. J

    Ndoa nyingi zimevunjika.....inasikitisha!

    Mke mwenye busara mtu hupewa na Bwana" (Mithali 18:22; 19:14). Mwanamke wa siku hizi (my opinion) hawana busara, unakuta kama umerudi home unakuta kanuna tu au ukimsemesha kama umechelewa toka kwenye mishemishe zako hata kama ulimpa taarifa ni kununa tu. Yaani kimsingi hawaeleweki kabisa...
  4. J

    Mwanamke anavyotaka mwenyewe kuvunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe (kwa wanaume tu)

    Chema kinaweza kugeuka na kuwa kibaya! Hivi mfano ukimpa pet (mbwa) mfupa halafu ukimnyang'anya si anakuuma?
  5. J

    Mwanamke anavyotaka mwenyewe kuvunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe (kwa wanaume tu)

    Naanza kwa kusema "Si vema huyu mtu awe peke yake", na kwa sababu hiyo Mungu aliweka ndoa (Mwanzo 2:18-24). Kwa hiyo,"Apataye mke apata kitu chema; naye ajipatia kibali kwa Bwana……. Mke mwenye busara mtu hupewa na Bwana" (Mithali 18:22; 19:14). Mwanamke wa siku hizi (my opinion) hawana busara...
  6. J

    Uchakachuaji mpya wa mafuta-ewura/weight and measures mko wapi?

    Kwenye baadhi ya vituo vya mafuta hapa dar wanachakachua pump bei inaandikwa sawasawa mfano 1993 tsh kwa lita ya petrol. Chukua mfano umenunua mafuta ya 15000. Hizo pump unakuta inaandika kwenye lita ulizonunua 7.52 wakati ilitakiwa iwe 7.53 kwa hiyo unakuwa umeibiwa shiling tatu kwa kila lita...
  7. J

    PLOT FOR SALE 30mil-mwongozo kigamboni-890 sqm

    PLOT FOR SALE 30mil-mwongozo kigamboni-890 sqm with title deed
  8. J

    Msaada-shule za watoto watukutu na wakorofi

    mkuu nilikuwa nahitaji primary school
  9. J

    Msaada-shule za watoto watukutu na wakorofi

    asante- mkuu hii ni primary au secondary kwa sababu mimi nahitaji primary.
  10. J

    Msaada-shule za watoto watukutu na wakorofi

    msaada wadau kwa anayejua shule za msingi zinazorekebisha watoto watukutu!
  11. J

    Nipo chuo kikuu ( MZUMBE ) Morogoro; Naombeni msaada kwa moyo mmoja

    kijana hilo ni jambo la kwaida kuwa na fear what byou have to do is to think of your role model like obama or oprah and then it is done. utakuwa na confidence ya kufa mtu lakini ucisahau what you are talking about!!
  12. J

    Msaada wa matlab

    ok ngoja nikutumie private message
  13. J

    Msaada wa matlab

    mkuu kama uko tayari niutakusaidia. unataka simulation ya kitu gani nipe mfano.
  14. J

    Hakuna Fao la Kujitoa NSSF duniani kote - Ramadhan Dau

    48. Theprinciple act is amended by repealing section 18 and substitung for it the following new sections RECOVERY OF CONTRIBUTION CAP 33 18.(1) Every statutory contribution due to the fund may be recovered by way of summary suit underorder XXXV of civil procedure code at any time after the...
  15. J

    Naingia Chunvini

    bwana ndie mchungaji wangu sitapungukiwa na kitu!
  16. J

    Vurugu za Mbagala ni zaidi ya mnachokifahamu - Oh Tanzania!

    Hadith; vol.8:796: Muhammad deprived people of water until they died. Hadith; vol.1:28,301 vol.2:161:...the majority of people in hell are women. Hadith; vol.9:162,163: Muhammad warned that dreams of black women meant disease was forthcoming. TAFAKARI CHUKUA HATUA
  17. J

    Tigo matapeli-msaada wa wajameni_nikiweka hela kwenye line yangu ya tigo inakata hela

    wadau naombeni msaada nikiweka hela kwenye line ya tigo inakata hela na kuniambia umejiunga na internet megaboksi sikujiunga nao wala nini. nifanyeje niweze ku-unsubscibe na hiyo service yao. Tigo ni matapeli nini!!
  18. J

    Mtoto na wali!!

    Mtoto mmoja kule kijijini alikuwa amepewa chakula na mama yake. Chakula chenyewe kilikuwa wali sasa mama akamsikia mtoto wake analia akamuuliza kwanini unalia mtoto akamwambia naomba chakula. mama yake kama kawaida akamwongezea ili mtoto ale ashibe na kusaza lakini baadaye mtoto akaanza kulia...
  19. J

    Mhaya tapeli na mchaga

    Mhaya aliingia baa akaanza kuagiza vinywaji huku akiwa nasimu ya nne! Akaagiza heineken baridi. Wee mudada hebu kuja hapa, leta ile bia yawazee! Leta Heineken baridi kwa kweli! Mara simu ikaita, halloo rushoberahabari za hapo, sasa ile milioni ishirin utanieletea lini, ok basi tuwasilianeniko...
  20. J

    Mauaji ya Mwangosi: Ushahidi zaidi wa picha

    wanajukwaa kwenye hizo picha kuna ushahidi tosha! Marehemu amefia mikononi mwa maaskari wenye vyeo kwani jaribuni kuchunguza hizo kofia za maaskari.mlipuaji ni mmoja waliobaki ni wale viongozi wa wale maaskari waliokuwa wanapiga mabomu
Back
Top Bottom