Search results

  1. W

    Uhalisia wa maisha ya kila siku

    Umeandika kimzaha ila ujumbe wako una ukweli mchungu, hongera
  2. W

    Maisha yanatutaka nini.. ?

    Huo ni mtazamo wako
  3. W

    Tukumbushane kidogo

    Tayari uzi
  4. W

    Wale tuliopitia Tabora boys (boyzee) na Majirani zetu Osso hebu tukumbushane

    Walimu Mr Mrisho, Madafu, Mombeki, makali, masele, kila mmoja na vituko vyake, kusoma boys kumenifunza mengi kwa kweli
  5. W

    Equity Bank mnatuangusha sana kwenye online payment refunds

    Mjomba malalamiko kama haya ungeanzia kwao, sio kuja kuwaanika hapa
  6. W

    Kwanini ukiwa mtanzania tayari wewe ni janga

    Watanzania wengi hatujiamini katika lolote lile, ni ujanja ujanja tu
  7. W

    Leo Feb 2018 nimeamua kubadilika na kuanza maisha mapya

    be yourself always positive! Jikubali utashinda
  8. W

    Mambo ya kuzingatia kulinda heshima yako

    Kwenye kuzingatia, hiyo no.4, iko pw sana
  9. W

    Wanaume wengi hawajui mapenzi

    umetuvuta vizuuuri kisha ukatumwaga!
  10. W

    CHEKA UONGEZE SIKU ZA KUISHI

    Umenipotezea mb zangu tu
  11. W

    QUOTERS Toka kwenu wana JF

    "Ondoa uchafu wako hapa" by mimi
  12. W

    LINDI: Magunia 375 ya Korosho yakamatwa yakisafirishwa kimagendo kwenda Dar

    Habari za kwetu kusini ni korosho na gesi tu hakuna la maana, wenzetu wanaibua matatizo ya watu wao hadi watawala wanapandwa jazba
  13. W

    Kitu gani kilikusikitisha zaidi 2016?

    Bunge kutokuwa live! Nimejikuta namsahau M bunge wangu had nilipomwona majuz anakomalia tamthilia ya faru john
  14. W

    Yaliyojiri kwenye ukaguzi wa Polisi katika Ofisi za JamiiForums na Nyumbani kwa Mkurugenzi, Maxence

    Tabia za mabavu,uonevu, unyanyasiji na ushirikinaMungu alishatuacha watz siku nyingi, tusubiri gharika tu
  15. W

    TAHARIRI: Miili Iliyopatikana Ruvu Ifukuliwe; Ben Saanane apatikane - Ni Utu Huu!

    Damu ya mtu haipotei bure! Yote yatakuwa wazi hata baada ya kizazi hiki kuisha, heri zaidi ni kwamba wachache ndo watavuka 100yrs kwa shida sana
  16. W

    Waziri Mkuu Majaliwa: Wananchi fichueni matukio ya kihalifu

    Tukatoe taarifa wapi? Siamini taasisi yoyote labda JWTZ
  17. W

    Waziri Angela Kairuki atofautiana kauli na Katibu Mkuu Utumishi Dr. Ndumbaro

    Mambo haya ndo yanashusha uzalendo na kuzalisha rushwa na ufisadi Africa
  18. W

    The Bold: Shukrani Wakuu

    Mkuu nafatilia sana makala zako na umenigusa kwenye maisha yangu,na nimeandaa jina PABLO for my comming son if God Wishes, yote ni kuguswa kwa simulizi yako juu ya huyu mtu, urithi wa kudumu ni ule uliachwa kwenye maandishi, BIG UP BRO!
  19. W

    Siyo Maigizo ni Maisha ya Watanzania Hadi Leo.

    Vinasaidia sana kwa wababa kwenye shughuli ya ufyatuaji watoto coz vina sehemu ya kujishikizia
Back
Top Bottom