Search results

  1. little hulk

    Iran vs. US military capabilities

    Ila tambua kuwa Iran ana ushirika wa karibu na China na Russia kwa kuwa wao ndo wateja wakubwa wa mafuta nchini Iran. Wana mikataba ya nuda mrefu wa mabilioni ya dollar katika biashara ya mafuta baina yaho.. hivo kuna uwezekano mkubwa wa kumsaidia Iran. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. little hulk

    Baadhi ya wanaume waliooa hawana haya wala soni

    Stop acting normal on bed.... be nasty utaona hadi ATM card yake anakupa. Hiyo ndo siri ya kunyimwa hivyo vitu
  3. little hulk

    Bomoabomoa Mwanza: Rais Magufuli omba radhi kama....

    Waliobomolewa nyumba pia walilipa kodi ya majengo....
  4. little hulk

    Bomoabomoa Mwanza: Rais Magufuli omba radhi kama....

    Kimara wengi ni wa kaskazini... hakuna huruma juu yao
  5. little hulk

    Ongezeko la ngono maofisini nini sababu?

    Ngono ya kujificha ficha ... yani unafanya kwa kuibia... haraka haraka watu wasije wakatuona... ni tamu sana... So kale ka hali ka kupiga mara moja bila kumaliza haja zote, hufanya watu hao kujiiba tena na kufanya tena... Hii hali haitakaa iishee esp kama ofs haina cctv camera
  6. little hulk

    Tamko la CHADEMA kuhusu kauli ya Raisi Magufuli ya kutowarudisha shule wanafunzi waliobeba ujauzito

    Basic Human Needs 1. Food 2. Cloth 3. Shelter 4. Education 5. Sex
  7. little hulk

    Bongo Movies kumshitaki DJ Mark (Anayetafsiri movies za nje)

    Miaka 8000+ bongo movie haitapasua anga za kimataifa.... unless waache kujifanya wanajua na wapewe shule ya uigizaji na production inafanyikaje... Huyo mlela ndo kabisa hajui kuigiza ...
  8. little hulk

    Rais Magufuli amteua Prof. Kitila A. Mkumbo kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji

    Hapo sasa.... na juzi alikuwa anamsema mkulu kuhusu kuchelewa kutoa maamuzi ya kumwajibisha paul makonda. Na alishawah kumshaur mkulu asiteue wahadhili wa vyuoni..
  9. little hulk

    Haya hapa maujanja ya kutengeneza Natural Viagra, Mademu lazima wakukome!

    Vijana wa dar kwa bashite hii kwao ni neno la uzima... Yani hata ukiwaambia upepo wa ufukweni kuanzia saa 11 alfajr had saa 12 na nusu huimarisha nguvu za kiume lazima utawakuta na wengine kukupongeza mapema kwa kuwafungua macho...[emoji23][emoji23][emoji23]
  10. little hulk

    Ulifanyaje kukabiliana na maumivu ya mapenzi?

    Hahahahahaha sawasawa Mkuu
  11. little hulk

    Ulifanyaje kukabiliana na maumivu ya mapenzi?

    Mm sio wa namna hiyo... nisije chezewa mm
  12. little hulk

    Ulifanyaje kukabiliana na maumivu ya mapenzi?

    Hahaha... yeah... dunia ishabadilika katka sehemu mingi... hata humuhumu unaweza mpata atakayekupa haja za moyo wako[emoji6]
  13. little hulk

    Ulifanyaje kukabiliana na maumivu ya mapenzi?

    Mkuu .... u never know...
  14. little hulk

    Ulifanyaje kukabiliana na maumivu ya mapenzi?

    Hahaha ni tag nao mkuu... u never know[emoji2]
Back
Top Bottom