Search results

  1. M

    Msaada wa haraka kuhusu WhatsApp yangu kudaiwa kutuma sms ambazo sijatuma mimi

    Habari ndugu zangu. Jioni ya leo nimekuwa nikipokea simu kutoka kwa watu nisiowafahamu, wakidai kuwa wamepokea ujumbe kwa njia ya WhatsApp kutoka kwenye namba yangu unaozungumzia nafasi za kazi. Ujumbe ambao binafsi siufahamu na sijaandika chochote katika WhatsApp yangu siku ya Leo. Cha ajabu...
  2. M

    Mtazamo: Mabinti wa Kitanga wanakuwa Over-rated

    Ndugu Wana jamvi, ni kwa miaka nimekuwa nikisikia sifa kem kem kuwahusu Mabinti wa Kitanga hasa kuhusiana na uzuri wao wa sura na maumbo na Mambo ya "kwichikwichi'. Wiki kadhaa zilizopita nikapata safari ya kuja Tanga. Hasa Tanga mjini, nimetembelea na kuingia viwanja kadha wa kadha vya starehe...
  3. M

    Msaada: Mabaka ya shingoni na mikononi

    Habari zenu Wana JF, Nina mdogo wangu (sio wa damu) anasumbuliwa na kinachodaiwa kuwa ni fangasi. Kwa maelezo yake ni kwamba Hali hiyo imekuwa ikimsumbua tangu akiwa mdogo. Kwanza anapatwa na muwasho hasa maeneo ya shingoni na mikononi. Halafu unamtokea upele. Baada ya siku kadhaa upele...
  4. M

    Msaada; Jambo la mahari hufanyikaje kwa Wasukuma..?

    Habari za jumapili ndugu zangu..! Katika mihangaiko ya hapa na pale suala la familia ni muhimu. Nipo katika harakati za kuyafanya mahusiano yangu na binti wa kisukuma kufikia hatua ya ndoa. Jambo linalonifanya nije hapa jukwaani naomba mnisaidie mambo yafuatayo maana huyu binti kwa kiasi Fulani...
  5. M

    Ushauri wa Haraka: Ameambiwa ana jipu Kichwani

    Habari za majukumu wana Jf. Moja kwa moja niende kwenye dhumuni. Rafiki yangu amepatwa na hali ambayo kwangu Mimi ni ya kushangaza lakini pia inaogofya kidogo. Amekuwa akitokwa na aina fulani ya kamasi ambayo anadai inachangamana na vijidamu puani, hasa hasa pale anapojaribu kupenga zile kamasi...
  6. M

    Mwenye uelewa zaidi kuhusu Walden university

    Habarini za asubuhi wana JF. Katika jitihada za kujaribu kutafuta namna ya kujiendeleza kimasomo, nilifikia uamuzi wa kutafuta walau chuo kinachotoa online Courses hasa kwa Second degree. Katika pitapita zangu mitandaoni nikakutana na hiki chuo (Walden University). Ndugu zangu ningependa...
  7. M

    Ushauri wa Haraka: Anategemea kustaafu kaambiwa file halionekani

    Habari za usiku huu wana JF na poleni kwa uchovu wa mihangaiko ya maisha. Nina Mzee wangu ambaye anategemea kustaafu utumishi wa umma mwanzoni mwa mwaka ujao. Kama zilivyo taratibu, mtumishi anatakiwa kufanya maandalizi mapema miezi sita kabla ya tarehe ya kustaafu ili aweze kuandaliwa mambo...
  8. M

    Msaada: Nimekwama katika application za NACTE

    Wasalaam ndugu zangu watanzania. Jana usiku nilikuwa nikimfanyia mdogo wangu application kupitia Nacte. Baada ya kujaza taarifa za awali ilifikia mahali ambapo nilitakiwa kuhakiki taarifa za awali nilizojaza kama ziko sahihi ikihusisha jina lake kamili, jina la shule, pamoja na namba ya...
  9. M

    External Hard Disc inahitajika

    Heshima kwenu wakuu Nahitaji Hard Disc yenye ukubwa walau kuanzia GB500- 1Tb. Kwa yeyote aliyenayo anaweza kuni-Pm tukaongea biashara. Ahsante.!
  10. M

    Msaada Tadadhali wapendwa

    Habarini wapendwa. Niende moja kwa moja kwenye tatizo langu. Nina simu moja ambayo ni Vodafone 785 kwa muda Wa Mwaka mmoja na miezi kadhaa imekuwa ikifanya kazi vzuri sana. Lakini tangu juzi imekuwa ikipoteza network na huduma ya internet imekuwa hafifu sana. Ninapopiga simu mda mwingine...
  11. M

    Ni teknolojia gani aliyotumia huyu mwanamazingaombwe?

    Amani iwe kwenu nyote Wakati nikiwa shule ya msingi aliwahi kuja mwanamazingaombwe mmoja..alionesha michezo mbalimbali ambayo hivi sasa kwa jinsi nilivyojaribu kuulizia ni kwa namna gani aliweza kufanya mambo Yale nilipata ufafanuzi isipokuwa katika hili moja.. Kuna onesho moja ambalo...
  12. M

    Msaada wa kupata hii Link Tafadhali...

    Habari zenu wakuu... naomba kusaidiwa Link ambayo nitaweza kupata English Subtitles za Series inayoitwa ARROWS ON THE BOWSTRING-season 1..ni ya muda kidogo kwa anayeweza kunisaidia tafadhali.
  13. M

    Usafiri: Dodoma-Njombe kupitia Iringa

    Habari zenu wakuu.. Napenda mnisaidie ni basi gani la uhakika linalotoka Dodoma kwenda Njombe kupitia Iringa..?? Natanguliza shukrani kwa msaada wako.
  14. M

    Uvimbe katika Ovari tiba yake ni IPI?

    Heshima kwenu wakuu.. Ndugu zangu kuna Dada yangu juzi ameenda hospitali kufanya vipimo, baada ya vipimo amegundulika kuwa ana Uvimbe katika ovari kwani alianza kudai kuwa anasikia maumivu upande wa kulia chini ya kitovu... Ndugu zangu naomba msaada wenu 1. Hali hii husababishwa na nini..?? 2...
Back
Top Bottom