Search results

  1. basheer

    Baada ya Afrika Kusini, Tanzania ni destination ya pili ya wahamiaji haramu Afrika?

    Unamuitaje muafrika mwenzako muhamiaji Haramu? Kuna watanzania kibao wapo nje na wengi wamedanganya mpaka uraia wao ili waweze kuishi tena huko South Africa ulipotolea ndio wengi sana hawana hata vitambulisho. Africa ni moja kaka
  2. basheer

    Siasa Michezoni (Simba vs Al Ahly): Azam TV wanapaswa kuonywa, kuadhibiwa au kufungiwa!

    Mbona laliga wanaweka mpaka bendera ya Ukraine [emoji1255]
  3. basheer

    Tanzania ya Magufuli ilikuwa ya Viwanda. Je, Tanzania ya Mama ni ya nini?

    Tutajie viwanda gani vilijengwa kipindi chake au ndio cherehani 3 kiwanda
  4. basheer

    Mbowe: Hata wa serikalini hawaukubali mkataba wa DPW

    Kwani Katiba ni ya chadema peke yao au ya wananchi wote
  5. basheer

    Mkuu wa Mkoa Songwe ni Mtanzania? Jina kama Mkongo au Mrundi?

    Uraia haumundolei mtu asili yake ndio maana kuna watanzania wenye asili ya Asia
  6. basheer

    Mkuu wa Mkoa Songwe ni Mtanzania? Jina kama Mkongo au Mrundi?

    Sidhani kama Jina la mtu ndio linahalalisha uraia wake, navyojua mimi Kasavubu kwa ni kigoma amewahi kuwa mwalimu wa secondary ya Mlole kigoma kabla hajajiendeleza kielimu udsm, pia amewahi kuwa coach wa soccer pia mwamuzi wa soccer
  7. basheer

    Mkuu wa Mkoa Songwe ni Mtanzania? Jina kama Mkongo au Mrundi?

    Aliejitangazia uhuru wa jimbo la katanga alikuwa Tchombe Bali kasavubu alikuwa Rais wa kwanza wa [emoji1078]
  8. basheer

    Kwanini CHADEMA wanawatukana sana watu wa kanda ya ziwa na kuwaita Sukuma gang?

    Mtaje kiongozi wa chadema aliesema hayo maneno
  9. basheer

    Hivi Serikali ya Tanzania imeshindwa kukaa meza moja na Ethiopia kujadili wapita njia (wahamihaji haramu) wanaopita hapa nchini?

    Sio vizuri kumuita muafrica mwenzako muhamiaji haramu Africa ni moja
  10. basheer

    Juhudi zipi za kidiplomasia zilitumika kuizuia vita ya Kagera?

    Hakuna ushahidi katika hili waulize waganda watakuambia sio kweli
  11. basheer

    Uhamiaji Musoma, huyu mama kutoka Burundi angefariki damu yake ingewalilia

    Hakuna muhamiaji haramu ndani ya Africa kumbuka mipaka imewekwa na wakoloni
  12. basheer

    Kwani ''Mama'' amemalizana na sisi tuliokuwa tunaitwa ''sukuma gang''; Je, kwa sasa ni zamu ya waliokuwa wanafurahia na kufanya sherehe!

    Mimi siwezi kumkumbuka magufuli kwa roho yake mbaya huyo mama hata aboronge vipi hatofikia nusu ya magu
  13. basheer

    Trump amtaka Biden ajiuzulu kwa kuruhusu Taliban kuteka Afghanistan

    Taliban wameahidi kuheshimu haki za binadamu
  14. basheer

    Maandamano yaendelea kushika kazi Afrika Kusini kufuatia kukamatwa kwa Jacob Zuma

    Sababu kubwa wanataka Zuma aachiwe huru kwamba kifungo chake ni uonevu, tatizo maandamano yametawaliwa na vurugu na uporaji.
  15. basheer

    Maandamano ya kudai katiba mpya Eswatini yadaiwa kumfanya Mfalme Mswati III kukimbia nchi

    Nipo swaziland kwasasa hali ya usalama ni mbaya sana police wameishiwa nguvu, waandamanaji wanapeana zamu kuingia barabarani usiku na mchana
  16. basheer

    Viongozi wa Uamsho wapo huru?

    Kama serikali inajua kuna mabaya walifanya kwanini wasihukumiwe kama Kweli wanahatia
  17. basheer

    Watanzania, tumpongeze Yusuf Manji kwa kuwa mzalendo na kurudi nyumbani. Rais Samia asichelewe, amuite Ikulu wazungumze

    Mbona hujawahi kujiuliza watu masikini wanautoa wapi umasikini Ila mtu akibadikika kuwa tajiri ndio mnauliza hela kapata wapi
Back
Top Bottom