Ewaa.. iko DREAMBOY kwa mujibu wa serikali wanasema, "Mtu yeyote atakayekwepa kwenda jkt atashitakiwa kwa mujibu wa sheria so hakuna namna yakukwepa ndugu yangu. Issue imekaa kisheria sana
Kwa jinsi ilivyokaa system, itawahusu watu wote wanaosoma kozi zenye ajira ya moja kwa moja serikalini mfano education, afya n.k
Lakin pia ukiangalia kwa makini hiki kitakuja kuwa utaratibu kwa wahitimu wote wanaomaliza vyuo ambao hawajapitia haya mafunzo baada yakumaliza form six...
Utaratibu huu wakujinga na jeshi la kujenga taifa(JKT) linawahusu wahitimu wote kidato cha sita na vyuo bila kujali umefaulu au umefeli. Kwa hiyo ndugu uliyeuliza kuhusu watu waliofeli wanatakiwa kuhudhuria mafunzo kama kawaida kwa mujibu wa sheria. Kutokwenda kwako unakaribisha mashitaka juu...
Intake ya pili inawahusu form six wote waliobaki, certificate wote na diploma watu kama elfu tatu hivi herufi A-J.
Wengine wote waliobaki wanaingia intake ya tatu january 2015
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.