Search results

  1. 124 Ali

    Upi ni umri muafaka kwa mtoto kumiliki simu ya mkononi

    Pale atakapoweza kuinunua kwa pesa yake mwenyewe
  2. 124 Ali

    Kubali ukatae, Makonda ndio Rais ajae Tanzania baada ya Samia

    Tena hiyon"equlizer"si yankitoto!
  3. 124 Ali

    Kubali ukatae, Makonda ndio Rais ajae Tanzania baada ya Samia

    Hiyo "eq"aliyonayo ina "equlize" nini?
  4. 124 Ali

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    You are the one ( kama nimepatia title) y lionel Richie
  5. 124 Ali

    Fahamu kwanini iphone inabaki kuwa bora kuliko simu za android

    Rekebisha zinamilikiwa na wanaume ila zinatumiwa na wanawake wenye zero security kwenye marinda yao
  6. 124 Ali

    Nawezaje kutengeneza Internet?

    Wao ndio walioleta hilo swali kwa hiyo nina haki zote waniambie maana ya hicho walichokileta ili niwafundishe au niwaambie kwamba hakiwezekani kwa sababhu moja mbili tatu. Tukirudi kwenye hoja yako waliokuuliza wako sahihi maana ungekuwa unajua nini Internet usingekuja na hilo suala. Labda kama...
  7. 124 Ali

    Unatumiaje laki tatu kwa mwezi?

    Nilidhani bado nilitaka kuanza ligi ya posa na mwamba hapo!
  8. 124 Ali

    Hii hali ukilala usingizi huwa mnaiitaje

    Mbwiga utawajua tu sasa aliyekuambia redio ni device obsolete ni nani?
  9. 124 Ali

    Bado Hamuuoni Mwisho Wa Diamond?

    Vyovyote iwavyo the dude hqd good life now and blessed somehow!
  10. 124 Ali

    Nina wasiwasi kuna Bia za kuchakachua hapa mjini

    Umeona eh?toka lini safari ikawa na undimu ndimu?
  11. 124 Ali

    Mshahara kiasi gani unatosha kwa baba wa familia ya watoto watatu?

    Sioni tatizo hapo ,maana anaweza kutumia kama overview muhusika atajipangia mwenyewe binafsi nimeilewa na nimetumia kwa baadhi ya mambo ila sasa nitafanya na zaidi kutokea humu kwa mfano sijawahi weka pocket money kwa wife matumizi yake binafsi huwa nasubiri mpaka aniombe ,sijawahi fikiria kumpa...
  12. 124 Ali

    Atembea tena baada ya miaka kumi kupita

    Ndio hapo akili ziwakae sawa watu!aende tu MOI akawaponye wana
  13. 124 Ali

    Nilivyozidiwa kete na mganga wa kwenye kipeperushi

    Hapana matapeli ni waganga sana!
  14. 124 Ali

    Atakayeweza kuniloga nitamlipa Milioni 25

    Acha mbambamba watu tunazitaka hizo 25m Nipo hapa na mjukuu wa adui chongo Zenji anasubiria data lete jina yako na la bi mdashi wako. Ila kama unajiamini wewe ni mtoto wa baba ako kweli hata la mdingi litafaa. Majini wanatembelea ramani ya nasaba
  15. 124 Ali

    Kwanini walimu wa Biology na chemistry Huwa hawajijali?

    Hata ingekuwa wewe mwl wa bailojia kutwa kucha kuchezea mataco ya chura panya mende au wa kemia kutwa kunusa mikojo ya panya mende utaweza kuwa smart?
  16. 124 Ali

    Aliyeamua kuchukua hii Route ya Johannesburg to Dar Es Salaam ni Mtanzania Kweli?

    Hapo anapiga na wateja wa hizo nchi tajwa ambao pengine nao wanatakankwenda south! Sidhani kama tz zambia zim atapata abiria wa kutosha on weekly or daily basis
  17. 124 Ali

    Nionyeshe couple moja ya Mhindi na Mwafrika hapa Tanzania nami nikuoneshe couple 1000 za Waarabu na Waafrika

    Zipo ila wanapitia mazingira magumu! I have a female friend indian married to mswahili of Zanzibar origin they had to have a government mariage as their culture wont allow it and they have to elope abroad!
  18. 124 Ali

    Utajiri wa Magofu ya Rapta

    Got no time for this shit!
  19. 124 Ali

    Natubu: Nilikuwa simuelewi Mwamposa, ila kwa idadi ya viwete walioponyeshwa Songea naanza kumuamini

    Hivi kwa nini hawa waponyaji wa miujiza hawana huruma? Waende ti mahospitalini kwanza waanze pale ocean road kwa wagonjwa wa cancer. Wawashughulikie wenye maradhi ya figo ,moyo waende mirembe wakawatoe mapepo ya wazimu wagonjwa wa akili Wapitilize mpaka bumgeni wakawatoe maradhi ya unafiki...
Back
Top Bottom