Search results

  1. G

    Arsenal

    poleni sana mashabiki wa arsenal popote mlipo.......... that's how football is..
  2. G

    Kweli slaa alishinda urais!!

    kukimbia tatizo si njia ya kulitatua.
  3. G

    naomba msaada

    achana na hayo mambo rafiki, kama unadinda wakati wa kusex, inatosha. Unataka Mungu akupe nini zaidi?
  4. G

    Top ten wonderful names from Tanzania

    nimeipenda hiyo ya mwisho "tyetyetye" ha ha haaaa
  5. G

    Kuanzisha Biashara

    kwa ishu ya capital, nakushauri utafute mkopo toka bank, au financial institution yeyote. kama utakua na assets kama vile nyumba au plot, itakua rahisi zaidi kupata mkopo.
  6. G

    New proverb

    A single drop does not make a rainfall. "WE ARE WHAT WE ARE AND WHERE WE ARE, BECAUSE OF OUR OWN ACTIONS"
  7. G

    hodi hodi

    karibu sana jamani! jiskie Home jamani.
  8. G

    More Job Opportunities - 10/05/2010

    ahsante sana mtu wangu. ila naomba nifafanulie kidogo hapo kwenye Sales Representative, ni sifa zipi zinatakiwa? organization gani inahitaji huyo sales rep? na pia naomba utusaidie contacts zao. thanks!
  9. G

    Hellow

    U are warmly welcome!
  10. G

    Hivi kujua lugha ya kiingereza ndiyo usomi Tanzania?

    Ukisikia 'kutawaliwa kifikra' ndio huku. Sijui wabongo tukoje...!? Ndivyo ilivyo hata huku mtaani kwetu, ukipiga maneno mawili matatu ya kimombo, basi macho yote kwako. Wanakuona ndio msooomi. Kujua lugha flani ni sehemu tu ya ujuzi na si kila kitu. Ni kweli kuwa Englsh iko juu sana na ni muhimu...
  11. G

    Mgeni

    Karibu saaana mgeni wetu! :-) Tupo pamoja na wewe!
  12. G

    Mbu anauma au anadunga?

    Mara chache chache, nimekua nikiwafuatilia akina Kibonde na Gadna, Clouds FM, ktk kipindi chao kinachoanza karibu kila siku jioni. Siku moja waligusia utofauti wa matumizi na utofauti wa maana ya maneno kati ya lugha moja na nyingine, au sehemu moja na nyingine. Hapo ndipo waligusia kuwa, wakati...
  13. G

    Lugha

    Naskia hao BRTSH CONC. wanamkasi mrefu ( tuition fee) ukiogopa 'mkasi' rafiki yangu unaweza usifikie lengo lako. Mambo mazuri yana gharama. Hizi kozi za bei rahisi nyingi "za kichina". Napenda pia kukushauri kuwa, wakati au baada ya kupiga kozi yako, jiweke ktk mazingira flani...
  14. G

    CCJ yazidi kukomba... usajili wa kudumu wanukia!

    Mh! Nina wasiwasi hapa yatajirudia yaleyale ya NCCR na baadaye TLP. Au kama si hivyo hawa 'wahamaji' naona wanatafuta njia ya 'kujitafunia', nadhani CCM kumebana sana. Hii point ya kusema kitu kama 'tunahama kwa sababu tumechoshwa na ahadi hewa za CCM..' na vitu kama hivyo, sioni kama ina-sound...
  15. G

    Uzuri

    Mambo mengine ambayo wanadamu tunafanya, inabidi tujifikirie mara mbilimbili. Ishu ya kujichubua ngozi yako na vitu kama hivyo, ni sawa na kumwambia 'Sir God' "HAPA ULIKOSEA ULIPOKUWA UNANIUMBA. INATAKIWA NIWE HIVI..". Sikilizeni dada zangu mnaofanya hivi... Nyinyi ni wazuri sana kuliko huo...
  16. G

    Msaada wa ugonjwa sugu wa ghonorea

    Dah! Pole sana ndugu yangu! Huu ndio ulimwengu, una raha na machungu yake. Ningependa kuungana na ushauri uliopewa na wanaJF wenzangu hasa hasa huyo Mwana wa Mungu. Of course kwa asilimia ZOTE I believe in God, kwamba hakuna jambo linalomshinda. Hebu imagine, YEYE ndiye kaumba dunia, mbingu na...
  17. G

    Nimejiunga nanyi

    Karibu sana JF The home of Great Thinkers!
  18. G

    Elections 2010 Hakuna uchaguzi mkuu Tz 2010

    Huwa nahisi kichefuchefu nisikiapo 'kitu' kama vile CCM! Aagh...! Hata kuitaja naona kero. Yani sijui wametuona watoto wadogo, kutupa ahadi za uongo. Eti 'maisha bora kwa kila mtanzania'. Mara 'ari mpya, nguvu mpya na kasi mpya'. Labda kasi ya kujaza matumbo yao! Lakini naamini mwisho wao...
  19. G

    Kikwete azungumza na wazee wa Dar; ajiandaa kwa mgongano na TUCTA

    We! Wakikusikiaaa..! hilo ni darasa la nne la mjerumani (mkoloni) !
Back
Top Bottom