Search results

  1. Akili Pesa

    Uzi unaohusu mapishi ya uyoga

    Wadau habari? Naomba kujua namna nzuri ya kuandaa UYOGA maan ni kitu ninachotamani sana kujua maandalizi yake ya upishi hasa uyoga ambao umechumwa kutoka shambani sio wa kukaushwa. Mwenye kuweza kutoa darasa nasubiri kutoka kwenu wakufunzi. Hata maandalizi ya supu yake tu itasaidia kujua.
  2. Akili Pesa

    Mishahara ya wakufunzi wa vyuo vya ualimu ni tofauti na waalimu wa secondary?

    Kwahiyo BAED hawezi kufundisha Chuo?? Kama anaweza anaomba kwa kupitia njia zipi??
  3. Akili Pesa

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Kwa Niaba yupo Mwalimu anataka kubadilishana yeye Yupo Muleba Kagera ili Aje POPOTE PALE NDANI YA TANZANIA ISIPOKUWA Ukanda wa ZIWA VICTORIA Jamaa hataki kukaa karibu na Ukweni. Idara sekondari
  4. Akili Pesa

    JamiiForums Usiku wa manane

    Mororgoro nipeni Location ya kuviriga akili kwnza maan May Mosi hapa ilikuw bize mbaya
  5. Akili Pesa

    JamiiForums Usiku wa manane

    Nipo Nimeshaagiza Krwt ya Soda Coca Cola tupu Baridiiiiii na Fuko kubwaa la Peremende Ivory. Kukesha mpk asbh.
  6. Akili Pesa

    Je, Ualimu ni daraja la mwisho kwa utumishi?

    Mkono Mmoja hujui unachokiongea, laiti ungejua Hawa wapo Asilimia Ngapi ya Watumishi wa Umma wote katika serkali halafu wanalipa sh. ngapi kwa serkali kila mwezi usingesema hivi. Jamaa wapo wengi na wanalipa kwa mwezi serkal zaid ya Bilion kadhaa ukiwekewa hesabu hapa utajikuta kila mwalimu...
  7. Akili Pesa

    DOKEZO Muleba inanuka ufisadi, TARURA imeoza

    Picha ingependeza kuleta uhalisia wa kinachoongelewa. Nashauri piga icha Taa zilizowekwa na zilizotarajiwa kuwekwa katika mradi husika. Najua uchungu wako lakin njia rahis ya kulisukuma hili ili waliojfanya wakubwaaa wapoteane.
  8. Akili Pesa

    Chalamila amesema watu wa Kagera wanaongoza kwa fitina na majungu kuliko mikoa yote

    Kina namna flani hivi yupo sahihi maan kiukwel Wahaya ni Watu wa Fursa mnoo, hivyo kunafikia mwenzake ili afaidike ni jambo dogo sana kwake.
  9. Akili Pesa

    Hizi ndizo Shahada za Heshima na Tuzo alizotunukiwa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

    Watakosea wakimuita kwa Dr. Inabidi atambulike Kwa Jina lake halafu pale mwisho ndio waweke brackets (PhD) ndio usahihi.
  10. Akili Pesa

    Kanuni ya haki ya msingi haikufuatwa kuwafukuza uanachama Halima Mdee na wenzake 18

    Mbona Wao hawakuandika barua kutaarifu chama kuwa wanaenda kuapishwa dodoma kwa thupikyaaa.
  11. Akili Pesa

    Uchaguzi 2020 CCM wanapotosha. Haiwezekani kuwa 70 % ya Wapiga kura ni Wana CCM

    Kuna Msemaji wa Familia ya Marehemu [emoji23] yan huwa wanakuwa na sentensi ndefuu
  12. Akili Pesa

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Muleba Kagera Idara sekondari, Yeye Aje Korogwe,Same na Bagamoyo
  13. Akili Pesa

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Maendeleo hayana vyama lakin tumeambiwa tukikosea kuchagua itakula kwetu.
  14. Akili Pesa

    Uchaguzi 2020 Kawe: Askofu Gwajima (CCM) atakuwa Tanganyika Packers na kundi la wasomi na wasanii wote wa Dar

    Naomba niwape taarifa kuwa KIGOGO ndio binadamu wa kwanza kupata Taarifa yoyote nchi hii ukiacha walioshiriki tu kweny hyo taarifa. Hii habari niliona jana amepost.
  15. Akili Pesa

    Suzan Kiwanga: Makato ya wabunge wa CHADEMA yako kikatiba na Spika Ndugai ameyabariki na hutukata sh 530,000 kila mwezi pale Bungeni

    Nchi iliyowahi kupita kwenye siasa hizi za kuchafuana haijawahi kubaki salama hata kwa dakika moja zaidi ya kutafuta suluhu mbali na kwao.
  16. Akili Pesa

    Suzan Kiwanga: Makato ya wabunge wa CHADEMA yako kikatiba na Spika Ndugai ameyabariki na hutukata sh 530,000 kila mwezi pale Bungeni

    Hii ni sawa na kuuliza mzazi wakp umetumia sh ngap tangu umenizaa mpk sasa!!. Kukatwa lazima sababu wakati unakuja kuwa kiongozi tayar watu walishatoa jasho lao na kuhusu matumizi nahisi chama kabla ya kuwachangisha walikubaliana tu hzo hela ni kwaajili ya nini na ndio maana wote wakakubal...
Back
Top Bottom