Search results

  1. B

    Ni zaidi ya kinga ya UKIMWI - TAFAKARI

    Enyi Wanadamu, Mtafakarini Mungu na kuachana na Tamaa za Mwili. Hata ukifanya Ngono vipi huwezi kuridhika na utatamani zaidi tu! Hebu mwangalie suleimani aliyekuwa na wanawake 1000 lakini mwishoni alikiri ni kama kufukuza Upepo! Kuna aliyepata medali ya kuzini isipokuwa Mauti tu?
  2. B

    Expatriates hawana sifa

    Mishahara wanayolipwa hawa 'vihiyo' hupelekwa nje ktk nchi zao, ni uporaji wa ki-haina haina!. Ni vema viongozi wetu watunge sera zinazolinda ajira kwa ajili ya wazalendo. Wazalendo hawana pa kwenda. Hawa watanzania wa kawaida ndio mtaji wa taifa hili. Mbona kwenye uchaguzi wanatunyenyekea...
  3. B

    Kanisa nililosali jana na changamoto zake

    Tufuateni biblia wala sio wahubiri kama hawa, weeengi watamwita Bwana! Bwana! Naye atawaambia ondokeni siwajui! Huyo atakua Tapeli. Afadhali aanzishe bendi ya mndundiko!!!!
  4. B

    Expatriates hawana sifa

    Basi tutakapoungana nchi za africa mashariki, watanzania wengi wanaweza kupoteza hata hizo kazi walizo nazo. Wakenya watakubali kuwa cheap labour mwanzoni ili kumeza nafasi zote, hafu wengi tunaenda kuchunga ng'ombe(monduli) au kulima mbamia (tanga). Mungu atusaidie!
  5. B

    Expatriates hawana sifa

    NINACHOONA NI KUWA HAKUNA WATU WENYE UCHUNGU NA HII NCHI. Unapomwajiri mgeni na wenyeji wapo, wenye sifa zote, mimi sipati picha, inamaana wabongo hawaaminiki, yaani ni matapeli au. Waangalie wachina walivyojaa, hata watoto wa kichina + kitanzania wapo sasa hivi mitaa ya buguruni etc...
  6. B

    Mlokole na biashara

    Safi sana, hataki watu wapatie virusi kwake. Ana nia nzuri
  7. B

    Expatriates hawana sifa

    Wageni wanaoletwa nchini kufanya kazi kama expatriates ni mbumbumbu wa kutupwa. Eti utamwona mhasibu katoka india hajui hata kazi ya uhasibu huku Cv yake inaonesha ana masters. Kunani huku!! Ninavyoona hata baadaye wauza vitumbua watatoka nje km expats!!!!!!! :mad2:
  8. B

    Mke wangu anataka kula tunda kila siku kutwa mara 2!

    UNA BAHATI, MSHUKURU MUNGU! WENGINE TUNAOMBA TUPATE KAMA WEWE. HIYO IFANYE IWE GYM. YAKO! Cha msingi ni afya njema na mazoezi.
  9. B

    knock knock

    Karibu aise!
  10. B

    Wanaoambukiza vvu

    Kuna baadhi ya watu wanaoambukiza-ambukiza virusi vya ukimwi makusudi-cally. Je, Wana JF, sheria kwa sasa inasemaje. Kuna mama mmoja amefiwa na mmeo kwa hilo gonjwa hafu yeye anahama maeneo anayojulikana na kujichimbia asikofahamika hafu kazi yake ni kusambaza tu. Naomba ushauri ili niwatume...
  11. B

    gudi moningi

    Shukrani PakaJimmy, wiki hii nitachangia chochote, kuanzia kesho. Nawaombea woote, Mungu awabariki.
  12. B

    gudi moningi

    Ubarikiwe saaaaaaaaaaaaaaaaaaaana preta!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  13. B

    gudi moningi

    Ahsante Preta, ahsante Jile 79. Sijui nianzie wapi! Nipeni Ushauri
  14. B

    gudi moningi

    Ngo! ngo! ngo! ngo! ngo! ngooooooooooo! mpaka sebuleni!! Ni mimi wenu, ufahamu
Back
Top Bottom