Search results

  1. M

    Hiki si kisasi huu ni unyama!

    Duu! Kweli dunia ina mambo na ukiyastaajabu ya Musa utayaona ya Firauni.
  2. M

    World Cup Lies

    FL1 Asante kwa kunistua
  3. M

    World Cup Lies

    :lying:Don't even try!! Wanawake wa sasa wanajua kipi kinaendelea katika soka. "Egypt wasn't qualify for this 2010 WC"
  4. M

    Ninayempenda Nisiyemjua Kanitolea Nje

    GS I know what you're going through trust me. I was in the same situation like yours some 10 years back, loving someone so deeply and when I opened up to her gently she turned me down. To make the story short I came to find the love of my life to the woman I hardly know and now enjoy life to the...
  5. M

    Nimempenda Mtu Nisiyemfahamu-Sijawahi Kumuona

    Kupenda ni maumbile ya binadamu hivyo ni haki yako. Cha msingi pata habari zake zaidi kama yuko single and available jaribu bahati yako if its work out atakuwa wako. Na ikishindikana na kwakuwa wampenda mwache aende kwani huwa tunawatakia furaha tuwapendao. Kila la heri
  6. M

    my wife has fallen out of love with me, now what??

    I can imagine its hard and hurt, but the truth is she can't be with you anymore. Everything happen for reason, believe in yourself and let her go. You're afraid that you will be included in that group of divorced, Please be happy atleast your not the one who engineer the process.
  7. M

    Soma unyama wa barcelona;etoo ashikiliwa kwa muda kulipa tax ya 2005

    "Today we have experienced the cruel face of football, but now we have need to lift ourselves and think about the league," he said. "We have a key game against Villarreal in order to have have some joy in La Liga. "The team deserve an ovation and all our gratitude. They deserve our applause...
  8. M

    Broken hearted

    FL1 hilo nalo neno, wakati mwingine wanawake ambao hawajaolewa na umri umesonga wanakubali kuolewa hata kama anajua mumewe hatobadilika
  9. M

    Broken hearted

    Asante sana Dear kwa ushauri nitamfowardia haya maushauri.
  10. M

    Urembo wa nywele za wanawake na haiba yake katika mahusiano

    Mwana umegonga kunako, siku moja nusura nitapike katika daladala tulikuwa tumeshonana alafu bidada ndio yuko usoni kwaku, balaa
  11. M

    Broken hearted

    bht umenikosha na hiyo chipolopolo nimecheka mpaka basi. Ni kweli kabisa kuna wengine wanaoa/olewa bila kujua sababu ya ndo.
  12. M

    Broken hearted

    Nimetumiwa email na mdada mmoja akitaka nione kwa jinsi gani sisi wanaume tunawaumiza wake zetu. Yeye ameipata kutoka katika blogu moja ya kitanzania. Wadau tumshauri huyu dada katika hili lililomsibu......... Mimi ni mdada wa miaka 28 nimeolewa na ndoa yangu ina mwaka 1. Nilianza kuishi na...
  13. M

    Nilichokoza, sasa sijui nifanyeje....!

    Pamoja na complication zilizopo huna budi kufanya hivyo vipimo for her sake and yours as well. Hata utani huwa hautokei tu hivihivi(the same mzaha wako unasababu ambayo wewe unaijua).
  14. M

    Zijue mali za maselebu wa Bongo

    Kwa mantiki ya kuangalia wasanii wa tasnia hizo ulizozitaja toka siku za nyuma mpaka sasa, hili la kumiliki nyumba na gari ni mafanikio ya kupigiwa mfano. Na hasa maisha yetu ya kitanzania kwanza sehemu ya kulala kisha usafiri . Mambo ya kuwa na hisa London/Tokyo/New york stock exchange na lebo...
  15. M

    Enzi zetu zile sio kama leo

    Ni kweli hao ni madada wa Zanaki wa Kisutu wao walikuwa wanavaa tunaita sketi za rangi ya zambarau. Mdau umepatia Zanaki walikuwa na Tambaza, Jangwani na Azania. Ujiko ilikuwa kumpata mtoto wa Forodhani(wao ndio walikuwa watoto wa kishua aka ndizi nyama)
  16. M

    kati ya hawa nani mkali?....na kwa nini?

    Dr. Licky ni mkali zaidi hasa anapoingiza na mambo ya historia ya mji, kiwanja au mchezaji huwa inaleta ladha sana. Na kuna mwingine Rishard Adolf yeye mara nyingi huwa katika maswala ya kiufundi zaidi. Bila kumsahau Ally Mayai Tembele.
  17. M

    Kwani lazima kuoana?

    Ukitazama jamii yetu ya kitanzania kuolewa ama kuoa imekaa kiwajibu zaidi ya hiyari. Kwani mara nyingi kwa sisi wanaume mara baada ya kufikia hatua ya kuanza kujitegemea linalofuata kutoka kwa ndugu, jamaa na marafiki huwa ni swali "Utaoa(utachukua jiko) lini bwana?"
  18. M

    The power of music in ur love life.....

    Kina sisi nao tuna miziki yetu. Mfano sikinde ngoma ya ukae na wimbo HUBA......Huba nimelibeba pendo lako kama mwana na mbelekooo x 2, nina maana kukwambia mchana usiku silali natafuta pesa, ili tuishi vizuri na kujenga famila bora yenye thamani na penzi.....
  19. M

    Kuandamana na mpenzi au mke wako popote,kila inapobidi.

    Nadhani ya kila sehemu kuwa pamoja iko unrealistic sana, bali kama ni mitoko ya kwenda katika msiba au kanisani/msikitini hiyo inakuwa mwake sana.
Back
Top Bottom