Search results

  1. TIASSA

    Je kwh wanazio andika kwenye mafriji ni za kweli?

    Salam kwenu wakuu Je ni kweli kilowatt zinazoandikwa kwenye mafrige ni za kweli kuanzia ni nunue kifrige changu tena kipya matumizi ya umeme ya mepaa sana Kimeandikwa kwh113 kwa mwaka am ago ukigawanya kwa siku ni uniti 0.3 lakini inakula karibia unit 2
  2. TIASSA

    Ni kwanini Barabara ya Mbezi ya Mwendokasi haitumiki?

    Ni kwanini Barabara ya Mbezi ya Mwendokasi haitumiki ilihali ilihali Kamilika muda mrefu?
  3. TIASSA

    Naacha Pombe kuanzia leo

    Nimekuwa mnywaji nisiye na kiasi, hivyo naona pombe siyo salama tena kwangu, hivyo kuanzia leo Jumatano tarehe 25 August 21 nimeamua kuacha pombe bye bye Safari lager
  4. TIASSA

    Mwigulu Nchemba hafai kuongoza Wizara ya Fedha

    mfumuko wa bei doble taxation hapa anawakamua sana wananchi, madhara yake ni kupungua mzunguko wa pesa, uzalishaji deni la taifa limeongezeka kwa zaidi ya asilimia 10
  5. TIASSA

    Uzi maalum kwaajili ya picha za watu wanao fanana

    Peter Msechu aka Tumbo naona kama kafanana kidogo na Mheshimiwa Tundu Lissu
  6. TIASSA

    Kuna foleni kubwa Ubungo hadi Kimara

    shida nini tumekaa kwenye foleni zaidi ya dakika 40
  7. TIASSA

    Bureau de change zimerudi?

    Nimeona bureau de change moja inaitwa Kadco. Je hawa wameufata vigezo gani hadi kuruhusiwa?
  8. TIASSA

    Tunaomba ufafanuzi kutoka TBC: Ni kwanini picha zenu za video sio ng'aavu

    Ukiangalia picha za TBC ni kama picha zaoni kati ya 144p au 360p je ni kwanini picha zenu siyo HD kuendana na technologia ya sasa!
  9. TIASSA

    Peter Msechu akiwa Dodoma kumuaga Hayati Magufuli

    Huu unene wa Msechu naona umepitiliza Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
  10. TIASSA

    Gharama za Ujenzi wa culverts

    Je nitumie mbinu gani kupunguza Gharama ya kutengeneza kalavati Kivuko cha kuingia nyumbani Kuna mtaro huwa unapitisha mafuriko
  11. TIASSA

    Kumbe zimbabwe Wana kampuni ya smartphone?

    Wazimbabwe wanakampuni ya kutengeneza simu inaitwa gtel https://gtel.co.zw/ Brand zao za simu ni infinity8s X7plus na pro Kwamujibu wa wikipedia https://en.m.wikipedia.org/wiki/GTel_Zimbabwe Inadai mwaka 2014 ilitengeneza simu nyembamba kuliko zote duniani
  12. TIASSA

    Mbona viwanda Arusha vinazidi kufa na hakuna hata kimoja kilichofufuliwa?

    Inasikitisha kuona viwanda vikifungwa na kugeuka magodown, viwanda vingi maeneo ya njiro vimefungwa, huku mamia ya watu wakikosa ajira, Kwa mfano kiwanda cha general tire kulikuwa na dalili za kukifufua na wawekezaji ambao walikuwa wageruman walikuwa tayari lakini sijui wamekwama wapi, Kuna...
  13. TIASSA

    Mchango wa Technologia katika kukabili uhalifu Tanzania bado tupo nyuma

    Sayansi imesaidia Sana KWA kiasi kikubwa kukabili uhalifu, Hasa KWA nchi zilizo endelea, pia imesaidia kupunguza wanaokwenda gerezani bila hatia, hapa naongelea maswala mazma ya kibiometric, Kama fingerprint, facial recognition, retina, dna, Hapa kwetu bongo inashangaza , bado ukienda kwenye...
  14. TIASSA

    Je, kuna Kilimo cha Cactus Tanzania?

    Hivi hapa Bongo kuna watu wanao lima haya mafraisha kama kilimo biashara?
  15. TIASSA

    Arusha: Askari aua mwananchi, nao wananchi wakachoma office za misitu

    Katika hali isiyo ya kawaida, Askari wa Suma JKT, wilayani Arumeru, ambao wanafanya Kazi ya ulinzi wa msitu wa Mlima Meru katika eneo la Bangata, wamepiga risasi ya kichwa Mwananchi mmoja ambaye alikuwa shambani, akilima mchana wa Leo tarehe 23/11/2020, inaelezwa kuwa, kulikuwa na mzozo Kati ya...
  16. TIASSA

    Jinsi gani nitatoa sim card lock?

    Nimenunua line mpya ya Halotel 4g Ila imekuja na pin code. Je, nitawezaje kuonfoa hizo pin code yaani kuweka off isiwe inaniuliza pin code
  17. TIASSA

    Bachelor of science in biotechnology and laboratory sciences

    Wakuu naomba mbili tatu za hii kozi Soko lake kwa Tanzania Ajira zake ni zipi na wapi? Ugumu wake Je Kama kunauwezekano wa kubadilisha na kwenda kozi nyingine?
  18. TIASSA

    Compost toilet, aina mpya ya choo ambacho kimekuja, ambacho hakiitaji uchimbaji wa shimo au maji ya kuflash

    Kuna aina mpya ya choo ambacho kimekuja, ambacho hakiitaji uchimbaji wa shimo au maji ya kuflash Pia wataalamu wanadai ni kiboko ya harufu, yaani hauwezi kuhisi harufu ya gogo, Mwenye ujuvi zaidi atuelimishe Ufanyaji wake wakazi ======= The City of Syracuse Chose Sun-Mar to Protect Its...
  19. TIASSA

    Venus: Utafiti mpya waonyesha uwezekano waviumbe hai kwenye sayari ya venus

    Wanasayansi wamegundua uwepo wa gas ya phosphine, kwenye mawingu ya venus , wamehusisha gas hiyo na uwezekano wa uwepo wa viumbe hai Kama [emoji89] bacteria wadogo wadogo ambao huwa wana ustahimilivu wa mazngira magumu Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
  20. TIASSA

    Marehemu Mengi alikuwa kwenye mkakati wa kuanzisha kiwanda cha smartphone na magari

    Wakuu mzee mengi kabla ya kuondoka, alikuwa kwenye mkakati wa kuanzisha kiwanda cha simu janja na kingine cha magari na tuliona alikuja na wawekezaji, Je, ndiyo mpango wake ule umeondoka naye au bado mchakato unaendelea!
Back
Top Bottom