Search results

  1. NAJA

    Maajabu, Mti una sura kama ya binadamu na viungo vinavyofanana na mwanamke

    Watafiti wa mambo Kaskazini mwa Misri wameshikwa na butwaa baada ya kuugundua mti mmoja mkubwa wenye umbo kama la binadamu tena mwanamke wa kike na kusababisha taharuki kubwan nchini humo Habari juu ya maajabu hayo zilirushwa kwenye televisheni moja ya nchini humo na kusababisha wananchi nchini...
  2. NAJA

    Usiku mwema

    Usiku mwema jamani mwenyezi mungu awalinde. Nawapenda wote
  3. NAJA

    Kasinde wapi?

    Nimekumis sana kasinde na post zako ndo mambo ya ughaibuni nini? Japo salam tu tukumbukage
  4. NAJA

    Nikaribisheni jamani

    Hodi wenyeji! Mie mwezenu mgeni humu ndani nahitaji kukaribishwa na kupewa maelekezo. Asanteni kwa ukarimu wenu
Back
Top Bottom