Search results

  1. hassan kisabya

    Taifa linaendelea kuwa na TATIZO LA wasomi /wataalamu

    Nimekaa na kufikiria kwa KIPINDI sasa,mwisho Nimegundua ukweli kuwa tatizo la wasomi Tanzania BADO lipo. Kwa akili yangu, mtaalamu ni mtu huru asiye na ushabiki Wala upande kwa nafasi YAKE ya utaalam. Mfano, daktari bila kujali Hali ya mgonjwa anastahili kuokoa MAISHA YAKE kwa kumtibia kwa...
  2. hassan kisabya

    Taifa letu lina mapungufu makubwa ya wasomi/wataalamu

    Nimekaa na kufikiria kwa kipindi sasa,mwisho nimegundua ukweli kuwa tatizo la wasomi tanzania bado lipo. Kwa akili yangu, mtaalamu ni mtu huru asiye na ushabiki wala upande kwa nafasi yake ya utaalam. Mfano, daktari bila kujali hali ya mgonjwa anastahili kuokoa maisha yake kwa kumtibia kwa...
  3. hassan kisabya

    From CNN: New ANC leader: 'We are in a new era'

    Cyril Ramaphosa, who is also South African deputy president and was Mandela's choice as successor, says that his message of reform is "not a flash in the pan."
  4. hassan kisabya

    Mwanasiasa nguli Tanzania,Mhe Dr Agostino Mrema kuunguruma Leo JIMBO LA kinondoni

    KATIBU MKUU WA TLP, Mhe Nancy Mrikaria,anapenda kuwataarifu akina mama na akina baba kuwa Mhe.Dr Augustino Lyatonga Mrema Mwenyekiti Wa Taifa wa bodi ya Parole na ambaye pia ni Mwenyekiti wa Taifa TLP atafanya mkutano mkubwa wa adhara utakao leo tarehe 01/02/2018 muda saa nane kamili mchana...
  5. hassan kisabya

    Augustino Lyatonga Mrema kuunguruma leo Clouds juu ya wazee

    Habari! Leo hii tar-2/10/2017 jumatatu kuanzia saa 10:30 jioni (saa kumi na nusu jioni) na kuendelea,kupitia Clouds TV Mhe. Augustino Lyatonga Mrema atakuwepo "mubashara" kwenye TV hiyo akizungumzia maazimisho ya siku ya Wazee duniani.Usikose kuangalia.
  6. hassan kisabya

    Matukio ya uvamizi yanaichafua nchi

    Mimi na chama changu cha NRA,tunaungana na watanzania wote tunalaani MATUKIO ya mashambulizi ya kutumia silaha, yaliyotokea hapa nchini. MATUKIO hawa yanafanywa na watu wasioitakia mema Tanzania,yana LENGO la kuitia doa NCHI yetu. hivyo naamini kuwa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama...
  7. hassan kisabya

    Mhe. Agustino Mrema awafunda wajumbe mkutano mkuu wa chama cha NRA

    Chama cha NRA -National Reconstruction Alliance, kimefanya mkutano wake mkuu 27/8/2017 wa kuchagua viongozi wao wa kitaifa, kwa miaka mitano 2017/22. Katika mkutano huo baadhi ya wageni waalikwa walikuwa ni Msajili msaidizi wa vyama vya siasa ndg. Sisty Nyahoza, Mwenyekiti wa chama cha TLP na...
  8. hassan kisabya

    MWENYEKITI WA BODI YA PAROLE Mhe Augustino Mrema-Mubashara TBC 1 kesho asubuh

    Kesho tar 16/6/2017 kuanzia saa 12:00 (saa kumi na mbili asubuhi) Mfuatilie Gwiji la Siasa nchini,Mw.kiti wa Bodi ya Parole Mhe. Dr. Augustino Lyatonga Mrema atakuwa na kipindi mubashara kwenye TV ya Taifa TBC 1 na baadae kwenye Radio TBC 1, akizungumzia mambo mbalimbali yanayoendelea hivi sasa...
  9. hassan kisabya

    Tetesi: kifo cha Philemon Ndesamburo ni Pigo kwa Wanasiasa Tz

    NRA WAMLILIA PHILEMON NDESAMBURO MICHUZI BLOG: NRA WAMLILIA PHILEMON NDESAMBURO MSIBA HUU SIO KWA chadema pekee ni pigo kwa wanamageuzi wote na wapenda demokrasia wote
  10. hassan kisabya

    Mgogoro wa CUF ,nini hatma yake kwa Taufa?

    Take a look at @KisabyaHassan's Tweet:
  11. hassan kisabya

    Mwenyekiti wa Parole (Mhe. Augustino Mrema )atema cheche

    Mwanasiasa mgongwe hapa nchini Mhe Augustino MREMA akiongea ktk kipindi maalum cha Radio UFM (ya Azm Tv),kuhusu hali ya SIASA, majukumu yake ya Parole, changamoto na USHAURI wake kwa serikali kuhusu hali ya wafungwa nchini na mchakato wa kuwatoa wafungwa walio katika HATUA ZA kisheria za Parole...
  12. hassan kisabya

    Klabu ya Viongozi wa Vyama vya siasa Kukutana Dar 24.3.2017

    Klabu ya viongozi wa vyama vya siasa(political parties leaders club) ni KIKAO kikubwa kabisa cha viongozi wa vyama vya siasa vyenye usajili wa kudumu hapa nchini.KILA chama kinawakilishwa na wajumbe 2. wajumbe wa kikao hiki toka kila chama ni MWENYEKITI TAIFA na KATIBU MKUU TAIFA . KIKAO hiki...
  13. hassan kisabya

    Klabu ya viongozi wa vyama vya siasa kukutana Dar

    Political Leaders Club ni chombo cha viongozi wa vyama vya siasa kinachoundwa na wenyeviti wa vyama vya siasa taifa na makatibu wakuu wa vyama taifa. Kila chama cha siasa katika club hii kinawakilishwa na viongozi hao wakuu wawili wa juu yaani Mwenyekiti na Katibu Mkuu. Chombo hili kina...
  14. hassan kisabya

    Kwa nini Simba na Yanga zinawashughulisha sana?

    Kila nikizipima timu hizi huwa naona ndio kikwazo cha soka letu, naamini timu hizi zimepoteza sifa ya kuwa timu za soka. Zimekuwa zikileta migongano, chuki na hata uhasama nashauri kwa wapenda soka kuzitenga timu hizi. Kuziombea dua mbaya zife ili kizazi kipya kije na sisi kama taifa siku moja...
  15. hassan kisabya

    Valentine's day: Kweli moyo kichaka, kumbe upendo wenu ni wa siku moja tu!

    Habari kwenu, Kweli moyo kichaka! Nimepokea kwa masikitiko maelezo yenu na misimamo yenu ya tarehe ya leo toka kwenu wote, naamini hisia hizo ndio ukweli mliobeba mioyoni mwenu. Nimegundua kumbe siku zote tuliishi pamoja na kushirikiana pamoja kinafiki. Nimekosa amani, matumaini na kwa kweli...
  16. hassan kisabya

    Wenye busara kwa sasa sharti tukae kimya, muda utawadia na muda utasema!

    Katika mambo muhimu AMBAYO MUUMBA alimpa MWANADAMU ni BUSARA,UFAHAMU,Heshima,huruma,uoga na HAYA. NA katika Qur'an, imeandika ili mtu awe mwanadamu kamili sharti awe na mambo 5. 1.heshima/Hekma/busara-mtu aliyekamikika sharti alinde heshima yake na ya mwenzie.Heahima ndio kipima cha utu,mtu...
  17. hassan kisabya

    Azam FC 2 vs. WAO 0

    Tuwe mashahidi hapa baada ya Dk 90
  18. hassan kisabya

    Nitagombea jimbo la Kigoma Mjini 2015

    NITAGOMBEA UBUNGE JIMBO LA Kigoma mjini(NRA) Vijana wa kigoma,akinamama,wazee naomba idhini YENU,lengo Kuu kuwaunganisha wanakigoma. Twende na Hassan 2015
  19. hassan kisabya

    NRA inazidi kujipanga Kigoma na kuahidi amani kwa jamii

    Chama cha Ujenzi wa Taifa NRA (National Reconstruction Alliance),mimezidi kuweka mizizi thabiti ktk mkoa wa kigoma,Akihutubia mikutano ya Hadhara mkoani humo, NAIBU KATIBU MKUU TAIFA NA KATIBU MKUU WA BODI YA CHAMA ndugu HASSAN KISABYA aliwaambia wanakigoma kuwa lengo na NRA ni kuwaweka...
Back
Top Bottom