Search results

  1. domokaya

    Zitto Kabwe amekiuza ACT Wazalendo, ameuza upinzani, ameiuza Zanzibar

    Hatua ya Zitto Kabwe kufanikiwa kuwapokea wanachama wa CUF karibu wote walioshusha tanga, ilikuwa turufu kubwa ya kisiasa kwa upande wake! Hatua ya pili ilikuwa ya kumuweka Othman Masoud Othman katika nafasi ya Makamu wa Kwanza wa Rais baada ya kifo cha Maalim Seif Shariff Hamad. Hapa Zitto...
  2. domokaya

    Kuisafisha CHADEMA na tuhuma za 'usanii' na rushwa ya ngono, Wajumbe Kamati Kuu wajitokeze ku-declare interests

    Sintofahamu inayoendelea katika Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimegubikwa na sarakasi na nadharia nyingi. Moja ikiwa viongozi wa kamati kuu wanafanya usanii kwa kujidai kuwafukuza wabunge wale 19 uanachama wakati walifahamu fika mchezo mzima na walikuwa wakifahamu wale wabunge...
  3. domokaya

    Abdul Nondo na ACT Wazalendo acheni kuwalaghai vijana wa Tanzania

    Abdul Nondo acha kuwalaghai vijana! Baada ya chama cha ACT Wazalendo kutangaza mchakato wa kuchukua fomu za kuomba uteuzi wa kugombea nafasi za urais, ubunge na udiwani, Abdul Nondo, kiongozi mwandamizi wa vijana wa chama hicho alitoa shime kwa vijana kuchukua fomu kwa wingi kuwania uteuzi...
  4. domokaya

    Ifanyike tathmini ya zile Albadir za kuwaadhibu waliompiga risasi Lissu tuwafahamu waliodhurika

    Baada ya muheshimiwa Tundu Lissu kupigwa risasi zilisomwa na kufanyika dua za kuadhibu na madhehebu ya dini nchini yakiwemo madhehebu ya kiislamu na KKKT. Sasa ni muda muafaka wa kufanya tathmini kwa watu waliodhurika na kupata mabalaa kutokana na dua hizo. Kila mmoja kwa mtazamo wake aeleze...
  5. domokaya

    Mtanganyika (Mtanzania bara) anaweza kugombea ubunge Zanzibar? Katiba inasemaje?

    Wataalamu wa sheria na katiba naomba mnijulishe. Hivi Mtanganyika, yaani Mtanzania bara anaweza kugombea ubunge Zanzibar? Sheria imekaaje? Vipi Mzanzibari anaweza kugombea ubunge Tanzania bara? Hapa napo sheria na katiba inasemaje? Wenye weledi tafadhali.
  6. domokaya

    Kumbe kufilisika kupo? Kama hili linawatokea Roman Catholic, sisi wengine je?

    Sio siri tena wafanyakazi wa Kanisa la Roman Catholic hasa wahadhiri katika vyuo vikuu vinavyimilikiwa na Kanisa hilo wameonja joto ya jiwe kwa kukaa miezi minne bila mshahara. Kama taasisi hiyo kubwa duniani inaweza kukumbwa na mtikisiko Wa kiychumi hali ikoje kwa sisi akina yakhe? Jamani...
  7. domokaya

    Wamiliki wa SAUTI wamefilisika? Wahadhiri hawajalipwa mishara miezi minne sasa!

    Wahadhiri wa Chuo kikuu cha Mtakatifu Augustine tawi la Mtwara hawajalipwa mishahara yao kwa muda wa miezi minne sasa kwa kile kinachoelezwa mmiliki hana fedha kwa sasa.
  8. domokaya

    RC Makonda na Msama Promotions and auctions wasiachwe wajichukulie sheria mikononi

    Msama Auctions wamejipachika mamlaka ya kutafuta na kutaifisha vifaa na kompyuta zinazodaiwa kudurufu kazi za wasanii. Mkuu wa Mkoa wa Dar Mh Makonda amempa Msama milioni kumi kuhakikisha kompyuta zote za kudurufu zinakusanywa na kutaifishwa. Hili si sawa, anachofanya Msama na kuungwa mkono na...
  9. domokaya

    Magufuli Awasaidie Waliodhulumiwa Kanisa lake na Sumaye Mloganzira Kibamba Tabata

    Rais John Pombe Magufuli ana wajibu wa kuwasaidia wananchi waliodhulumiwa maeneo yao maeneo ya Mloganzira, Kisopwa na Tondoloni na aliyekuwa waziri Mkuu Frederick Sumaye kwa kivuli cha eneo la jeshi. Eneo hilo liliporwa kupitia jeshi ili baadae limilikishwe kwa waziri mkuu huyo kwani alifahamu...
  10. domokaya

    BOT Inashirikiana na wezi kuua mabenki?

    Benki Kuu ya Tanzania ndio taasisi yenye usimamizi wa taasisi za kifedha zifanyazo kazi nchini zikiwemo mabenki. Moja ya jukumu la Benji Kuu ya Tanzania ni kui endorse maafisa wakuu wanaotaka kuajiriwa na benki hizo. Jukumu hili Benki Kuu imeonekana kutolitilia maanani na badala take...
  11. domokaya

    Shule isiyojulikana, watu wasiojulikana!

    Watu wasiojulikana wameshika hatamu, wameiteka nchi. Kila mtu anatamani awatambue hawa watu wasiojulikana. Kila mmoja wetu anajifanya hawafahamu hawa watu wasiojulikana, lakini kweli hatuwafahamu hawa watu wasiojulikana? Hivi tukikaa chini tuna 'probe' kwa facts kweli tutashindwa kuwafahamu hawa...
  12. domokaya

    Tundu Lissu ni wakala wa 'Economic Hit Men' au Mzalendo?

    Ukimsoma jasusi aliyeamua kuasi John Perkins katika masimulizi take ya Economic Hit Men utaona wakili msomi muheshimiwa Tundu Lisu ana sifa zote za uwakala wa Economic Hit Men. Ukimuona Tundu Lisu anavyo present na kutabiri matatizo yanayoweza kuipata Tanzania na mtiririko unavyokwenda unaweza...
  13. domokaya

    WABUNGE MAVUNO YAMEFIKA, TUCHANGAMKE KUUTETEA UNGA

    Dhahiri Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda amewapelekea Neema Bungeni wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kumaliza njaa yao iliyokuwa ikiwakabili baada ya ofisi ya Bunge na ofisi nyingine za serikali kuamua kubana matumizi hivyo wabunge hao kunyimwa posho, takrima, bakshishi na...
  14. domokaya

    Rais Magufuli anashtuka wakati kiwanja cha jeshi 'maji chumvi' kimeshauzwa!

    Rais Magufuli amepiga marufuku majeshi kuuza maeneo yao au kuingia ubia na watu binafsi kufanya biashara. Rais Magufuli amechelewa kutoa amri hiyo kwani eneo la jeshi maeneo ya maji chumvi limeuzwa kwa muwekezaji na ujenzi wa kituo cha mafuta (Filling Station) Unaendelea kwa kasi. Licha ya eneo...
  15. domokaya

    Serikali ya Magufuli imetiwa mfukoni na StarTimes

    Nchi ilipobadili utaratibu wa kurusha matangazo ya Televisheni kutoka katika mfumo wa analogi kwenda digitali, iliwalazimu wananchi wa Tanzania kuingia gharama zakununua vinga'muzi na hata wengine televisheni mpya kuendana na mfumo huo wa kidigitali. Wananchi wakaingiwa na hofu kuwa itawapasa...
  16. domokaya

    Magic FM: Rais asifikirie Wananchi watafuata sheria wakati yeye mwenyewe anazivunja sheria

    Katika segment yao ya kupaka rangi katika Morning Magic watangazaji Horace Kawawu, Mkambala na Maria wa MAGIC FM wamemtolea uvivu Rais Magufuli kwa kumwambia asifikirie kama wananchi watafuata sharia wakati yeye mwenyewe amekuwa mstari wa mbele wa kuvunja sheria. Wakatoa mfano wa Rais Magufuli...
  17. domokaya

    Masimulizi ya John Perkins na hatima ya Magufuli

    John Perkins, kachero wa National Security Agancey (NSA) ya U. S anasimulia jinsi ambavyo US huzifanyia nchi masikini duniani ili kuweza kuzinyonya na kupata rasilimali zake. Katika kitabu chake cha Economic Hit Men, Perkins anaeleza mbinu mbalimbali hasa kupitia mitambo ya umeme na uzalishaji...
  18. domokaya

    Vyeti Feki vitampa Magufuli maadui wengi kuliko hata "Ufisadi"

    Kama kweli Rais Magufuli atahamia katika ukaguzi wa vyeti feki akimaliza ishu ya watumishi hewa ni wazi atapata maadui wengi na idadi yao itakuwa kubwa kuliko anaowapata katika vita yake dhidi ya ubadhirifu. Watumishi wenye vyeti feki katika utumishi wa umma na makampuni binafsi ni wengi mno...
  19. domokaya

    Shule ya Sekondari Swila inaminya uhuru wa kuabudu

    Swila Sekondari iliyopo Mbalizi jijini Mbeya haijasajiliwa kama shule ya kidini kwa maana ya religious school, imesajiliwa kama secular school lakini wanafunzi wote wanaosoma shule hiyo wanalazimishwa kuabudu katika madhehebu ya Moravian. Mwanafunzi yeyote asiyeshiriki katika ibada za Moravian...
  20. domokaya

    Kumbe kazi za Election observers za RIO Zanzibar utapeli

    Taasisi inayojiita ya kimataifa inayofanya kazi bila kujulikana (anonymous organization) imewataka candidate 'waliofanikiwa' kupata kazi hizo kulipa sh 52,000 zikiwa ni gharama ya ku verify vyeti vyao na kuwapa vyeti vya kuwafanya watambulike na European Union kama waangalizi wa uchaguzi...
Back
Top Bottom