Search results

  1. domokaya

    Zitto Kabwe amekiuza ACT Wazalendo, ameuza upinzani, ameiuza Zanzibar

    Ungefahamu kwa nini Mbowe alimshukuru Zitto na ndiye mtu aliyeonana nae mwanzo baada ya kutoka gerezani kabla hata hajaonana na viongozi wa CDM ungejua kwa hakika nini kilifanyika
  2. domokaya

    Zitto Kabwe amekiuza ACT Wazalendo, ameuza upinzani, ameiuza Zanzibar

    Hatua ya Zitto Kabwe kufanikiwa kuwapokea wanachama wa CUF karibu wote walioshusha tanga, ilikuwa turufu kubwa ya kisiasa kwa upande wake! Hatua ya pili ilikuwa ya kumuweka Othman Masoud Othman katika nafasi ya Makamu wa Kwanza wa Rais baada ya kifo cha Maalim Seif Shariff Hamad. Hapa Zitto...
  3. domokaya

    Masimulizi ya John Perkins na hatima ya Magufuli

    Economic Hitmen wamemaliza kazi, sasa wanaimarisha uchumi wa nchi zao na waliowasaidi...
  4. domokaya

    Justine Eliya Kaaya anayetoa ushahidi kwenye kesi ya Mbowe ni nani?

    Subiri uone!! Utachekea chooni.
  5. domokaya

    CHADEMA hii si ile iliyokuwa enzi za Dkt. Wilbroad Slaa

    Mabadiliko sio dhambi, ni vipindi tu vya Mungu. 1977 isingekuwa rahisi kuwa na mbunge shoga ambaye video yake akishughulikiwa itambe halafu chama kibaki nae na mpaka leo adumu akikisemea chama akiwa kaolewa ughaibuni. Lakini sasa imewezekana. Isingekuwa rahisi, ulaya hata Marekani, nini...
  6. domokaya

    Siasa za Bongo: Lowassa alikuwa anasimama jukwaani na kusalimia tu kapata 42%. Tundu Lissu hotuba ndefu kapata 13%

    Watanzania kabisa? Wamchague Lissu awe Rais, aaaah, jamani, tuwe serious kidogo, hata kama tunawaona watz ni mazuzu, lakini si kwa kiasi hicho!!! Khaaaaa
  7. domokaya

    Askofu Gwajima: Vita ya kwanza ya dunia iliizaa UN, vita ya pili ikazaa taifa la Israel, Je Corona itazaa nini? Watu wenye akili tunajiuliza

    Mbona hujasema kitu? Sema kitu, kuwa mahsusi na wewe ufahamu wako ujulikane, acha kujificha.
  8. domokaya

    CHADEMA hii si ile iliyokuwa enzi za Dkt. Wilbroad Slaa

    Maisha ya mwaka 1977, sio maisha ya leo. Mahitaji, changamoto na hata tekinolojia ni tofauti. Ulimwengu unabadilika hivyo, yafaa kubadilika kuendana nayo
  9. domokaya

    CHADEMA hii si ile iliyokuwa enzi za Dkt. Wilbroad Slaa

    Kwani kamati kuu inakaa lini kujadili rufaa za wake zao, wale wabunge 19 wanaowalisha? Itaweza kweli kuwafukuza wakati wale ndio ma bread winners wa kamati kuu kwa Sasa? Hivi Joyce Mukya yupo? Sijamsikia kwenda kutembelea mahabusu na watoto wake!!
  10. domokaya

    Ikiwa leo ni hukumu ya Mbowe na wenzake, anatukumbusha mwandishi huyu wa 1980

    Do you really know who is the system provider? Until you know.....
  11. domokaya

    Ally Bananga: Nipo tayari kurudi CCM kama mtanionesha waliomuua Alphonce Mawazo

    Hahahahahahaha, makamanda bana! Sijui tukoje, anyway, yote maisha!!
  12. domokaya

    Hii inatokea na inawezekana tu Tanzania, hivyo acheni wenye Akili watucheke na watudharau kwani tumejitakia na tunastahili

    Kwanza fahamu, awamu si neno rasmi katika medani za kiutawala wa nchi. Ni neno la wana CCM kueleza ni hatamu ya uongozi wa nani katika chama chao. Uchaguzi wa Tanzania hauweki awamu, unaweka idadi tu ya uchaguzi. Huwezi kujadili jambo bila ya kufahamu misingi au taratibu ya jambo hilo...
  13. domokaya

    Masimulizi ya John Perkins na hatima ya Magufuli

    Wewe unajua sana! Hongera!
  14. domokaya

    Masimulizi ya John Perkins na hatima ya Magufuli

    Hakuna jipya chini ya jua! Watu masikini Duniani bado tunaendelea kuwa mifugo ya nchi tajiri. Wanatufuga na kutufanya watakacho wao. Hilo si jambo baya angalau. Jambo baya kuliko ni watu masikini kutofahamu kuwa wao ni mifugo ifugwayo!
  15. domokaya

    Masimulizi ya John Perkins na hatima ya Magufuli

    Jambo la msingi ni kujitoa katika dunia waliyokutengenezea. Unaweza kujiona unajua kumbe umetengenezwa uwe hivyo. Kama hujui umeshakuwa enslaved utaanzia wapi?
  16. domokaya

    Masimulizi ya John Perkins na hatima ya Magufuli

    Hitmen uwashinde kwa chambo walotengeneza wao? Jitahidi kujifahamisha zaidi ya dunia
  17. domokaya

    Rais Magufuli anaingizwa 'mkenge' na washauri?

    Vipi yana kanuni pia watu fulani wasilipe Kodi japo wanaingiza kipato tena kikubwa?
  18. domokaya

    Baba yake Freeman Mbowe ndie aliempatia Mwalimu Nyerere Fedha katika siasa za uhuru

    Kitabu gani cha historia? Uzuri vitabu vina majina na mchapaji wake vitaje? Baba yake Freeman ametajwa kwa jina gani hata tukisoma hivyo vitabu tuweze kumfahamu?
  19. domokaya

    RC Mongella marehemu Omela Wangwe hakupigwa na wananchi wenye hasira. Simamia haki ili waliomuua wakamatwe

    Sijui ndugu yangu, ndio maana umesoma nilichoandika ukaniuliza!
Back
Top Bottom