Search results

  1. Ballac

    Msaada: Namna ya kuwasiliana na Lumumba driving school

    naomba contacts za lumumba driving school please.
  2. Ballac

    Nakusalimu Mhe. Rais mstaafu, Kikwete

    [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji2] daah
  3. Ballac

    North Korea sasa inastahili ichapwe

    Tupe athari za H2 bomb kama kweli wew ni unaongea ukijuacho? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Ballac

    Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

    Kwamba siku hizi ....wanaume wanawaomba wake zao.....jicho?
  5. Ballac

    MSAADA iOS device

    Daaaah.....9.3.3 kushuka chini ndo naona walijail-brake.....sjui hiz 4 na 5 wamweshindwa nn[emoji51][emoji51][emoji51] ngoja tuzid kuwa na subira
  6. Ballac

    Msaada: wrong pattern

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  7. Ballac

    MSAADA iOS device

    Naomba procedures za kujail-break ipad angu ios 9.3.4 ili niweke whatsapp version ya jailbreak......
  8. Ballac

    Msaada kuhusu mkopo

    Wanajamvi naombeni msaada mzee wangu anataka achukue mkopo.....salary yake 900k takehome naombeni mchanganuo wa ni anaweza kopeshwa maximum kiasi gan kwa slip hyo hapo. Na kutoka bank ipi...?
  9. Ballac

    Naomba ushauri juu ya taasisi au bank ya kuchukua mkopo

    Nisaidie swali langu hapo juu mkuu
  10. Ballac

    Naomba ushauri juu ya taasisi au bank ya kuchukua mkopo

    Mzee wangu anataka achukue mkopo ....ana salary ya 900k.....naomba wanaojua wanipe mchanganuo wa maximum amout anayoweza kukopeshwa na kwa benki ipi.....ana miaka 7 tu asitaafu kazi.....ushauri naouomba ni kias gani cha juu anaweza pewa?
  11. Ballac

    Rais Magufuli ndiye Rais anayeongea lugha nyingi duniani, 83 za ndani na 3 za kimataifa

    [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
  12. Ballac

    iPhone na matatizo yake: Ushauri, maujanja, matengenezo na mengineyo

    Mbna swali langu hamna response au ni gumu sana
  13. Ballac

    iPhone na matatizo yake: Ushauri, maujanja, matengenezo na mengineyo

    Jaman naset vip i cloud kwenye ipad 3 yangu??
  14. Ballac

    NECTA mnawaonea watoto

    Mkuu hata private vyuo hawapokei hiyo div 4? Aau unaongelea kupata nafas chuo cha serikali
  15. Ballac

    USHAURI: Tubadili mfumo wa viti maalum, vifutwe!

    kwa nilivokuelewa mkiwa na majimbo mengi ndvyo na vti maalum vnavozdi kuwa vingi na kwamba idadi ya majimbo mlopata ndo inalimit idad ya vt maalum... Mkuu em fafanua uwt ni nn??
  16. Ballac

    USHAURI: Tubadili mfumo wa viti maalum, vifutwe!

    Wana jamvi nisaidien utaratibu wa jinsi ya kuwapata wabunge wa vitu maalum! wanateuliwa na rais kwa utaratibu upi na vigezo gani. Je ni kulingana na uwioano wa majimbo waliyochukua chama tawala na vyama pinzani?au mh.anateua tu randomly? Mwenye uelewa juu ya utaratibu huo aweke hadharan
  17. Ballac

    MSAADA HTC Kuflash

    mkuu simu haiwaki ndo maana siwez kufany chochote
  18. Ballac

    MSAADA HTC Kuflash

    naomba contacts zako mkuu nikutafte....maana simu ilikuwa ina runn slow sana nikaamua kui restart ilipozma haikuwaka tena mkuu..sasa ttzo litakuwa nn hapo mkuu
Back
Top Bottom