Search results

  1. N

    Hukumu ya bomoabomoa kutolewa saa nane

    Asate kwa taarifa
  2. N

    TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

    Yaani wao jf wameshindwa kufika eneo la tukio lkn taarifa ya wako salama imeonekana kwenye taarifa ya habari ya itv.
  3. N

    Ungekuwa wewe ungemfanya nini mlevi huyu?

    Ningefurahi kwakua amenipunguzia kazi maana nibora kumsukuma mtu alie kwenye bembea kuliko alie kwenye gali. kazi rahis kuliko nilivyo fikiria.
  4. N

    Mchungaji Lusekelo anawaponda Mitume na Manabii feki Channel 10

    Tena huyo Geodarvie, nahis anawatoa akili waumini wake. Maana ukiwa timam sidhani Kama unaweza kumuamini na kumuelewa, eti anawaambia waumini wake waandike shida na maombi yao kwenye karatasi kisha wakusanye kwake, na watajibiwa PAMBAF,
  5. N

    Kangi Lugora: Nikikemea ufisadi wana CCM wananishambulia eti mpinzani!

    Namkubali sana k.lugola. nashauri asiogope, aendelee kusimamia ukweli. Kama wakimtosa kwenye kura ya maoni ccm atapita kupitia ukawa. Naamini anamengi moyoni mwake lakini anahofu kuyatoa kwasababu tu! ni chama chake.
  6. N

    Lazima mjue kutofautisha

    Kati ya COKA na PEPS
  7. N

    CHADEMA Sombetini Arusha washiriki mazishi ya Edward Mgogo

    R.I.P Bab bab, hongera watu wa mungu, hongera chadema.
  8. N

    Wenje na Heche washikiliwa na polisi

    amemshindwa lema hadi kahamishwa, ameanza na wengine. hivi anafikiri anaongeza kiki kumbe anawapaisha anaowatesa.
  9. N

    Je, unajua kuna Phd ya kutunza VIPORO Tanzania?

    Haa!!! mrisho alipo jiwekeza muhogo wake.
  10. N

    Sheria 13 za mpira wakati tukiwa watoto

    mpira ukipita katikati ya miguu ya golikipa na kuingia golini, yanahesabiwa magoli mawili.
  11. N

    Mwenyekiti Mmakonde anapotoa salamu za Mwenge

    Kwi! kwi! kwi! kw!!!
  12. N

    World's Shortest girl turns 24

    hivi huyo anakua na akili timamu?
  13. N

    Imebidi niache bia yangu mezani nisepe

    Vibaa medi hivyo.
  14. N

    Bring back our money Campaign yatinga Mwanza kesho

    Jamani jina hilo!!!
  15. N

    Kufanya mapenzi ukiwa na sare ni kosa kubwa kuliko kuua raia wasio na hatia,hii ni kwa tanzania tu!!

    Aliye wafukuza kazi nae alikua anamtaka huyo dem ila alimtisa. So! niwivu tu!
  16. N

    Wagombea urais kuigawa CCM vipande vipande

    Hata mimi nilikua nakipenda sana enzi hizo lakini kwa ujumla wa vitendo vya viongozi na watu wake wa sasa kwa ujumla siwezi fumba macho na kuziba masikio eti nijifanye siyaoni yale yanayo fanywa na ccm. Kwa sasa siipendi hata kidogo.
  17. N

    Uharamia wa CCM: Mbunge Highness Kiwia afanyiwa operesheni masaa 6

    Ninapo ona mtu anasingizia rugha ya kigeni (ki ingeteza) kujifanya ndiye anajua kitu' huwa napuuza yote aliyo maanisha labda tu niamini mtu huyo siyo MTanzania.
  18. N

    Uharamia wa CCM: Mbunge Highness Kiwia afanyiwa operesheni masaa 6

    Pesa zinazo tumika ni za walipa kodi na sio pesa za ccm.
Back
Top Bottom