Hata mimi yamenikuta nafikiri ni watu hao hao mmoja anayejiita Mr. Haule anatumia no. 0656 009 696 jana amenipigia kuniomba nimpigie kwani ana deal laku supply mikate anataka kuniunganisha na mtu ambaye ndiye muusika mkuu. Nikamwambia nipo barabarani ila nikifika ofisini nitampigia. Mambo yakawa...
Enzi hizo watu wengi wa Njombe na mikoa mingine ya kusini walikuwa wanaenda Tanga kufanya kazi kwenye mashamba ya mikonge, inasemekana babu yake Mh. naye alienda huko lakini hakurudi na chochote baada ya kufanyakazi muda mrefu huko na alipokuwa akiulizwa mali/vitu ulivyokuja navyo viko wapi...
Kipo Ukuni, Bagamoyo, mita 200 kutoka barabara ya Dar-Bagamoyo. Ukubwa wa Sq 628 @ Tshs. 17m Kimepimwa na kina document zote halali. Upo msingi wa nyumba ya vyumba vitatu, dining, etc. MIDDLEMEN ARE NOT ALLOWED. Only Serious Buyers Should Contact me on dcoletha@yahoo.com
Sijui wife na watoto wake wakisikia baba yao anavyoongea pumba wanajisikiaje. Yaani ni aibu aibu tupu. Jirekebishe Kibonde, au hilo DOMO ndio linalokuweka hapa mjini??
Mwenyekiti wa Vijana Kata ya Kijitonyama Ismail Mwenda, akipokea sehemu ya mipira 50 kutoka kwa Mgeni rasmi Ridhiwani Kikwete kwa ajili ya kusaidia timu za soka kwa matawi 9 ya Kata ya Kijitonyama. Mipira hiyo ilitolewa na Kamanda wa Kata ya Kijitonyama Tony Ngombale Mwiru (kulia) na Naibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.