Search results

  1. Mr.Black

    Hadithi: Kesi ya Mzee Mnyoka

    Story nzuri
  2. Mr.Black

    Plot4Sale Shamba kufuga ng'ombe ekal 1500 inauzwa Iringa

    Kama upo serious Mzee karibu other details nimesema Kuna maji na vyanzo vya maji vipo Kuna umeme Na jamaa alibuni Kwa ajili ya ranch
  3. Mr.Black

    Plot4Sale Shamba kufuga ng'ombe ekal 1500 inauzwa Iringa

    Mzee hakuna Cha utapel kila kitu kimoja na kinaenda uhakika upo mtu anaenda serikali kuhakikisha
  4. Mr.Black

    Plot4Sale Shamba kufuga ng'ombe ekal 1500 inauzwa Iringa

    Hii ni biashara Mkuu thamani iliyopo ni Kwa kuwa Hilo sio pori hiyo Ina miundombinu na Ndiyo maana imefikia hapo . Na documents Halali Zipo ukitaka kulima sawa au unataka kuishi pia sawa inauzwa Kwa masharti hayo niliyosema
  5. Mr.Black

    Plot4Sale Shamba kufuga ng'ombe ekal 1500 inauzwa Iringa

    [emoji230] Nauza Shamba Ekari 1500 [emoji424] Lilikuwa linatumika Kwa ufugaji wa ng'ombe wa kisasa wa maziwa(linafaa pia kuweka ranch ya mifugo) [emoji2515] LINA NYUMBA ZA MAKAZI yenye vyumba 4 vya kulala [emoji117][emoji609] Ukinunua Unapata trekta na miundombinu mingine [emoji117][emoji230]...
  6. Mr.Black

    Wanafunzi wa Social Protection wamlilia Rais Samia kutatua kero yao ya Tume ya Ajira

    Tunaomba Msaada Rais Samia Utusadie wahitimu wa Social Protection kupata fursa za Ajira serikalin Kwanza nianze Kwa kupongeza utendaji kazi wako Mh Rais umekuwa mwanga na Tumaini la wengi ikiwemo sisi wanafunzi wa vyuo vikuu umekuwa na jitihada za kutoa Fursa za Ajira Kwa vijana ila kwa wasomi...
  7. Mr.Black

    Rais Samia jitahidi ukiwa na 'Jazba' Kauli hii usiwe unaisema

    Raisi samia hataki ujinga kabisa
  8. Mr.Black

    Rais Samia usilalamike, unachokisikia ndio kinasemwa nchi nzima, kubali tu yaishe!

    Kama ni kweli hii kauli alikosea Sana kusema hivyo
  9. Mr.Black

    Uganda yasalimisha umiliki uwanja wa ndege Entebbe kwa Wachina

    fursa za uchumi hizo wahi kiwanja bagamoyo
  10. Mr.Black

    Kwanini Mh. Rais Hutafanikiwa Kwenye Wazo la Nchi ya Viwanda

    Tunahitaji kuwekeza kwenye Elimu na kuwekeza katika Economic propaganda nzuri yenye kushawishi watz wajue uchumi wa Nchi yetu utaletwa na watz wenyewe na kuondoa ile inferiority complex tujiamin na kujenga taifa letu
  11. Mr.Black

    Are spies made or born?

    Kufanya hizo kazi unatakiwa kuwa na Uzalendo , mungu awape maisha marefu waliopo huko ,wamejitoa kwa ajili ya taifa letu
  12. Mr.Black

    Hivi kumbe katika Majeshi yetu hakuna Karakana na magari hutengenezwa na Kampuni za Wahindi zitakazojitokeza

    Ni bonge la mradi mzuri unatakiwa tu kuwekezwa pesa ya kutosha na new technology katika utengenezaji afu upo chini ya usimamizi wa watu ambao asilimia 80% ni wazalendo , Kwahiyo uwezekano wa kufanikiwa ni Mkubwa zaidi
  13. Mr.Black

    Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) limetangaza nafasi za kujiunga na mafunzo kwa wakujitolea, 2017

    Kule sio kwenda kutafuta ajira nenda kajitolee kulitumikia taifa maslahi weka pembeni kwanza ila uzalendo ndiyo utangulie uwe kitu cha kwanza na cha muhimu kupita akili za kuwaza kupata pesa. Nenda mkuu ni ndoto nzuri ukifanikisha
  14. Mr.Black

    Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) limetangaza nafasi za kujiunga na mafunzo kwa wakujitolea, 2017

    Aisee tokea nimemaliza chuo nimekuwa nasubir kwa hamu hii nafasi na nilikuwa natamani sana kujiunga na kulitumikia taifa langu si kwa sababu ya ajira( kuna biashara za familia) ila ni kwa sababu moyo wangu napenda kuwa sehemu ya kizazi kilichojitoa kulinda Taifa langu . ila tatizo huo umri...
Back
Top Bottom