Search results

  1. Ghost

    Robert Mugabe at 90 endorsed as Zanu-PF leader

    Wanazimbabwe wanatakiwa wafanye ki Burkinabe ndio mzee huyo kuondoka madarakani la sivyo anafia madarakani. Pia museveni naye bila mandamano hantoki
  2. Ghost

    Uliza chochote hapa kuhusu vingamuzi au dishi

    BEiN Sport mzee... Ukipata hiki king'amuzi, mechi zote duniani utazipata in HD quality. Isitoshe wana variety ya michezo from Basketball, NFL, Rugby, Tennis, F1, Baseball, n.k. Wako vizuri mkuu
  3. Ghost

    Ubora wa matangazo (TV ADVERTS) hapa Tanzania ukilinganisha na majirani zetu

    Huyo Joti hakushitakiwa? Au hamna copyright kwenye matangazo?
  4. Ghost

    Baada ya kuchukua mkopo Benki, mwezi wa pili sasa hawajanikata mshahara

    NMB tena?? Mbona unatafuta pressure mkuu
  5. Ghost

    Ubora wa matangazo (TV ADVERTS) hapa Tanzania ukilinganisha na majirani zetu

    Nakuambia hakuna afueni ndani ya nchi hii...kote kote tunaumia. Ukiamua kuangalia bunge - ni vita huko, Bongo Mouvi - ujinga, matangazo ndio hayo sasa...... Mwisho wa siku unaweza kupasua luniga yako kwa hasira. Sijui tupate wapi starehe>?
  6. Ghost

    African barrick gold yajiandaa kuondoka Tanzania

    Kuna cku nililala hapo nilikutana na jaama moja kiziwi....hasikii kwa sababu ya zile machine za underground za kuchimba. Cjui wana medical & life insurance maana naona watapata shida wengi.
  7. Ghost

    Ubora wa matangazo (TV ADVERTS) hapa Tanzania ukilinganisha na majirani zetu

    Na lile la TIGO vipi? Wekeza........ Matangazo ya Bongo bhana
  8. Ghost

    Baada ya kuchukua mkopo Benki, mwezi wa pili sasa hawajanikata mshahara

    Duh kama hali ndo hii.... Mwisho wa mwezi huu kama vp itabidi niwambie tuu.
  9. Ghost

    Baada ya kuchukua mkopo Benki, mwezi wa pili sasa hawajanikata mshahara

    Wakuu, Nilichukua mkopo kutoka benki moja hapa bongo, lakini ni mwezi wa pili sasa hawajakata hela kwenye mshara wangu. Bado hela zao sijazigusa, nachukua tuu ile balance yangu na kusepa. ila nashawishika sasa kugusa ile hela. Nishaurini wana JF.
  10. Ghost

    Subtitles kwenye movie za Kibongo

    Ukitaka kuenjoy Bongo muvi, usisome subtitle kabisa. Najua ni vigumu kujizuia esp nyie 'wasomi' lakini inasaidia kiasi kikubwa.
  11. Ghost

    Ubora wa matangazo (TV ADVERTS) hapa Tanzania ukilinganisha na majirani zetu

    Umeona bibie... Ukiangalia matangazo yao hutamani tena ya bongo. Mimi najiuliza kulikoni. Kuna lile tangazo la sabuni Family Medicated miaka nenda rudi ni lile lile...... Goddamn. Embu cheki mataganzo kupitia citizen, eeh banaee
  12. Ghost

    Ubora wa matangazo (TV ADVERTS) hapa Tanzania ukilinganisha na majirani zetu

    Mkuu asante kwa swali lako, na jibu lako ni hivi... Unajua matangazo yote ni kuwa na creativity na liwe linavutia waliyolengwa. Nani ameshawahi kuangalia series ya MAD MEN? Ukiagalia hiyo tamthilia utajua wat am talking about. Hapo juu mkuu sifongo kazungumzia pia clients wanaopenda adverts za...
  13. Ghost

    Ubora wa matangazo (TV ADVERTS) hapa Tanzania ukilinganisha na majirani zetu

    Hapo umenena mkuu.... Na hilo tangazo la majuto na kijana wake ni hopeless kabisa..
  14. Ghost

    Ubora wa matangazo (TV ADVERTS) hapa Tanzania ukilinganisha na majirani zetu

    hahahahaha... Mama nanihi ~~~~~~ BABYYYY
  15. Ghost

    Ubora wa matangazo (TV ADVERTS) hapa Tanzania ukilinganisha na majirani zetu

    Au ile ya chocolate za ivory - DUDE akigombeza wanae kutokufanya homework kisa wanakula chocolate. Sincerely mm naona aibu sana.
  16. Ghost

    Ubora wa matangazo (TV ADVERTS) hapa Tanzania ukilinganisha na majirani zetu

    Kuna tangazo la unga wa Azam....jaama kaigiza kama baniani, eti na mpishi naye kaweka mbwembwe..... Full vituko haki ya nani.... Advert ipi ni kituko kuliko zote kwako?
Back
Top Bottom